Posts

ANGALIA PICHA ZA KWANZA SHEREHE YA WASANII KUMUAGA RAIS KIKWETE.

Image
  

RAIS KIKWETE AAGA RASMI IDARA YA MAHAKAMA, YAMPA TUZO KWA MAKUBWA ALIYOFANYA KATIKA MIAKA 10

Image
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu kutokana na mambo makubwa liyoifanyia idara hiyo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.  PICHA ZOTE NA IKULU   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akionesha  tuzo maalumu aliyoipokea kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama R...

IBRAHIMU LIPUMBA AJIUZULU UENYEKITI KATIKA CHAMA CHA CUF LEO

Image
Aliyekuwa  Mwenyekiti wa chama cha CUF taifa, Profesa Ibrahimu Lipumba akizungumza ngumza na waandishi wa habari kuhusiana na kung'atua rasmi umwenyekiti wa chama hicho na kuendelea kuwa mwanachama wakawaida wa chama hicho ikiwa atakuwa mwanachama halali kwani kadi yake ya uanachama ameshailipia mpaka mwaka 2020 hayo ameyasema katika ukumbi wa mikutano wa Peacock hoteli jijini Dar es Salaam leo.   Aliyekuwa  Mwenyekiti wa chama cha CUF taifa, Profesa Ibrahimu Lipumba akiwa na wananchi wa kawaida kulia, Abdala Shabani  pamoja na mdogo wake,Shabaani Miraji wakiwa wamemsindikiza aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF taifa ili kuzungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya wananchi katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam leo.  Waandishi wa habari wakimsikiliza  Aliyekuwa  mwenyekiti wa chama cha CUF taifa, Profesa Iblahimu Lipumba akitanga kujihuzuru wadhifa wake  katika mkutano ...

ZITTO KABWE AWAPONDA LOWASSA NA MAGUFULI

Image
Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe. Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema hakuna tofauti kati ya mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa aliyechukua fomu ya kugombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutokana na wote kutokuwa na ubavu wa kupambana na ufisadi. Zitto alisema hayo jana katika mkutano mkuu wa ACT- Wazalendo Jimbo la Kigoma Mjini, uliokuwa maalum kwa ajili ya kupiga kura ya maoni ili kupata mgombea wa ubunge wa chama hicho Jimbo la Kigoma Mjini. Alisema katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini, ni ACT-Wazalendo pekee ambacho kinaweza kusimama na kusema kinapambana na ufisadi. Alisema kutokana na chama hicho kuchukia rushwa ndiyo maana kimetoa msimamo kuwa hakiwezi kushirikiana na chama chochote ambacho maadili ya viongozi wake yanatia shaka. Zitto alisema uchaguzi mkuu wa mwaka huu utakuwa mgumu na ushindani m...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya August 4

Image