IBRAHIMU LIPUMBA AJIUZULU UENYEKITI KATIKA CHAMA CHA CUF LEO
Aliyekuwa
Mwenyekiti wa chama cha CUF taifa, Profesa Ibrahimu Lipumba akizungumza
ngumza na waandishi wa habari kuhusiana na kung'atua rasmi umwenyekiti
wa chama hicho na kuendelea kuwa mwanachama wakawaida wa chama hicho
ikiwa atakuwa mwanachama halali kwani kadi yake ya uanachama
ameshailipia mpaka mwaka 2020 hayo ameyasema katika ukumbi wa mikutano
wa Peacock hoteli jijini Dar es Salaam leo.
Aliyekuwa
Mwenyekiti wa chama cha CUF taifa, Profesa Ibrahimu Lipumba akiwa na
wananchi wa kawaida kulia, Abdala Shabani pamoja na mdogo wake,Shabaani
Miraji wakiwa wamemsindikiza aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF taifa ili
kuzungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya wananchi katika mkutano
uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Peacock jijini Dar es
Salaam leo.
Waandishi wa habari wakimsikiliza Aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha CUF taifa, Profesa Iblahimu Lipumba akitanga kujihuzuru wadhifa wake katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam leo.
Aliyekuwa
Mwenyekiti wa chama cha CUF taifa, Profesa Ibrahimu Lipumba akionyesha
Rasmu ya Katiba pendekezwa ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa ndio
iliyosababisha kuungana na kuunda umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA) katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam leo.
Aliyekuwa
Mwenyekiti wa chama cha CUF taifa, Profesa Ibrahimu Lipumba akionyesha
Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ambayo katika mkutano wa
kujivua uenyekiti wa chama cha CUF leo jijini Dar es Salaam.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha CUF taifa, Profesa Ibrahimu Lipumba akikusanya makabrasha yake mara baada ya kumaliza mkutano wa kujivua uanachama wa chama cha CUF taifa katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.
Comments
Post a Comment