HII NDIO SABABU YA WANAUME WENGI WANAPENDA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA
Wanaume wanapendelea wanawake wenya makalio makubwa Je wajua kwanini wanaume wanawapenda wanawake waliojaliwa na makalio makubwa ? Katika majarida mengi umewaona wanaume wakikodolea macho picha za wanawake wenye makalio makubwa iwe ni kim Kardashian, Jenipher Lopez Nicki Minaj na Vera Sidika kutoka Kenya . Sasa basi Utafiti umedhibitisha kuwa ni kweli wanaume wanapenda wanawake waliojaaliwa sehemu ya nyuma. Kulingana na utafiti wa chuo kikuu Bilkent , chuo kikuu cha Texas, na chuo kikuu cha American University kilichoko mjini Beirut Wanaume wanakisia kuwa mwanamke mwenye makalio makubwa anaweza kufanya kazi kwa bidii zaidi ya mwanamke ambaye hana makalio makubwa. Hata hivyo kinachowavutia wanaume si makalio haswa bali ni kupinda kwa uti wa mgongo unaosababisha tako kuonekana zaidi. Kim Kardashian Utafiti huo unasema kuwa upinde wa 45.5 ndio unaovutia wanaume zaidi. Wanaume walioneshwa picha za makalio ya wanawake wengi na asilimia kubwa iliwapendelea wanawake wenye makalio