TAZAMA TAMASHA LA PASAKA LILIVYOFANA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR!

Kuna Siasa Katika Tamasha la Pasaka?,Siku ya Jana Katika Tamasha la Pasaka wananchi walitaarifiwa kuwa Mwanamuziki wa Injili Munishi aliyeimba wimbo wa “Malebo”.
Pamoja na Makelele ya watu kudai Munishi apande jukwaani jambo hilo lilipotezewa mazima mazima. Mpaka tamasha linaisha saa 3 Usiku Mwanamuziki wa Injili aliyekuwa Backstage alikuwa ni Munishi Pekee.
Mwandishi wetu alitaka kujua je! kutokuimba kwake kunatokana na ugomvi wake na CCM na tukiwa tunajua fika Msama ni Supporter wa Chama Tawala? Pengine kuimba kwake siku ya jana kungemuharibia Msama pengine Munishi angesimama na Kuongea maneno yake against CCM mbele ya Mhe. Membe kungechafua hali ya hewa uwanjani nahisi.
Ugomvi wa Msama na Munishi ni rahisi kusovika kuliko wa Msama na Watawala. Pole Munishi
Picha zifatazo hapo chini ni Solly Mahlangu toka South Africa alipofanya kweli siku ya jana…..
-Via unclejimmytemu
Comments
Post a Comment