Posts

Bedroom Tips Girls Secretly Want a Guy to Do

Image
1.Openness Every woman wants to reveal her partner her deepest naughty fantasies, but not every woman can entrust her secret dreams. That’s why a man must be totally open in bed. The more open a guy is about his intimate desires, the more open a woman will be with hers. 2. Listening To be heard is one of those things women always want to get from guys, even under the sheets. We know exactly what we love doing in bed. Guys should just listen to us and respond to our guidance on how to satisfy us best. Of course, their efforts will be rewarded. 3. Passion There is no doubt women dream about all sorts of romance, candles, flowers, gentle words etc. But men should not forget about passion as well, raw passion. Sometimes the best way to satisfy a woman is to just take her, kiss her hard, and make no apologies for how desperately he needs all of you. 4. Aggressiveness We, women, are quite enthusiastic about aggressive sex, aren’t we? Even a...

HATIMAYE DIAMOND AONYESHA NYUMBA YAKE IKIWA TAYARI IMEKAMILIKA NDANI NA NJE.

Image

ZITTO AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KUJIUNGA ACT

Image
Ndugu Waandishi wa habari, wanachama na wapenzi wa ACT-Wazalendo na wote mliohudhuria mkutano huu, Kama mnavyojua siku ya Ijumaa tarehe 19 Machi 2015 ilikuwa siku yangu ya mwisho kuhudhuria bunge la kumi linaloendelea Mjini Dodoma.  Baada ya kung’atuka ubunge kufuatia kukoma uanachama wangu wa chama nilichotumia kuingia Bungeni, wengi mliniuliza ‘what is next?’ Sasa ninapenda kuwataarifu, kama ambavyo baadhi yenu tayari mnajua, kwamba jana siku ya Jumamosi tarehe 20 Machi 2015 nilijiunga rasmi na Chama cha ACT - Wazalendo na kukabidhiwa kadi na Mwenyekti wa Tawi la Tegeta. Hii ilikuwa ni moja kati ya siku muhimu kabisa katika maisha yangu ya kisiasa. Na kwa leo kwa kweli nisingependa nizungumzie mgogoro uliokuwepo kati yangu na viongozi wangu wa chama cha zamani wala kile kilichotokea Bungeni. Hayo yote mnayajua, yameandikwa sana na yameshapita. Sasa ni wakati wa kusonga mbele. Rais Kwame Nkrumah alipata kusema "forward ever, backward never". Na ka...

NEWZZ....MTANGAZAJI MAARUFU WA TV ACHOMWA VISU NA KUUWAWA HAPOHAPO

Image
One of Silverbird’s Staff with the name –  Aishat Noble Mustapha  was stabbedto death near her home.  Aishat who had driven home from her work around 8pm got stabbed multiple times by her killer. According to a report by Silverbird TV, the police have confirmed the arrest of a suspect after getting useful  statements from neighbours. The suspect is someone known to her

MTOTO WA MIAKA 3 BONGO ANAYEFUNDISHA SEKONDARI

Image
  MTOTO Nice Valentino mwenye umri wa miaka mitatu na miezi tisa, ambaye ana vitu vingi vya kushangaza, ikiwemo kufundisha wanafunzi wa shule za sekondari, ameibuka ndani ya mjengo wa Global Publishers Ltd, Bamaga-Mwenge akiwa na baba yake mzazi na kuanika maajabu saba ya kushangaza, Risasi Jumamosi linakujuza. Mtoto Nice Valentino akikokotoa maswali aliyopewa na waandishi. AJABU LA KWANZA Kwa mujibu wa baba mzazi wa mtoto huyo, Valentino Swenya, aliyezaliwa katika wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, Nice alianza kuandika maneno na namba za Kiingereza akiwa na umri wa miezi sita, jambo ambalo liliwashangaza sana. AJABU LA PILI Kadiri alivyokuwa akikua, ndivyo uwezo wake wa kuzungumza kiingereza ulivyozidi, lakini katika hali ya kushangaza, Nice hafahamu kabisa kuzungumza Kiswahili, lugha ya wazazi wake na anapolazimika kuongea, basi huongea kwa shida kama inavyowatokea wageni wanaojifunza lugha hiyo ya t...

RAPPER FID Q APEWA TUZO YA `CHAMPION NA UMOJA WA NCHI ZA ULAYA EU

Image
Umoja wa nchi za ulaya EU wampa tuzo Fareed Kubanda a.k.a Fid Q ya CHAMPION of the 2015 Europe Year for Development in Tanzania ,Pia Fid Q alifunguka kwenye Amplifaya ya Cloudsfm nakusema amefarijika sana kupata Tuzo hiyo kwani itampa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii zaidi. Pia Fid Q alisema amepata Tuzo hiyo kutokana na kujitolea kusaidia vijana katika jamii ili waache miadarati na japo kuwa darasa kwa sasa limefungwa ila anampango wa kulifungua tena upya darasa hilo. (P.T)

MAELEZO BINAFSI YA MHE. ZITTO ZUBEIR KABWE, MB KUHUSU UANACHAMA WAKE KATIKA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) NA HATMA YAKE KAMA MBUNGE KATIKA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Image
1. Mheshimiwa Spika, ninakushukuru sana kwa fursa uliyonipa kutoa maelezo yangu binafsi katika Bunge lako Tukufu leo. Ninatoa maelezo haya kwa mujibu wa Kifungu cha 50 (1) cha Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Aprili, 2013 kinachosema kwamba, “Mbunge yeyote anaweza, kwa idhini ya Spika, kutoa maelezo binafsi Bungeni yanayolenga kufafanua kuhusu jambo lolote linalomhusu na lililoifikia jamii” 2. Mheshimiwa Spika, Nilijiunga na Bunge lako Tukufu kwa mara ya kwanza Mwaka 2015 nikiwa na lengo kuu la kupaza sauti ya vijana kwenye masuala yanayohusu nchi yetu na kutetea maslahi ya Watanzania hususani Wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini na Mkoa wa Kigoma, na Watanzania kwa ujumla. Nilichaguliwa na wananchi wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Wananchi wa Kigoma Kaskazini walinichagua tena Mwaka 2010 kupitia tiketi ya CHADEMA. 3. Mheshimiwa Spika, kupitia fursa ya ubunge niliyopewa na wananchi wa Kigoma Kaskazini k...

UKWELI JUU YA UTAFITI KUHUSU UKUBWA WA UUME SOMA KWA UMRI WA 21+

Image
Yafuatayo ni majumuisho ya matokeo ya tafiti mbalimbali juu ya ukweli juu ya ukubwa wa uume. Tafiti hizo zimefanywa na wanasayansi wa mapenzi toka nchi za Ujerumani, Uingereza, Sweden, Nigeria na Afrika ya kusini. Jisomee na uone mambo yalivyo matamu usifuate maneno ya mitaani na jichunguze uone kama uko katika kiwango au la. (1) Iwapo wewe ni mwanamke na hupendelei uume mkubwa basi wewe ni wa ajabu. (2) Wanawake wengi hupendelea uume mkubwa zaidi ya wanaume kupendelea matiti au makalio makubwa. (3) Kwa wastani wanaume wengi wana uume wenye urefu wa kati ya nchi 6 (CM 15) na nchi 7 (CM18) na unene kati ya nchi 5 (CM12) na nchi 51/2 (CM 131/2). (4) Unapofikiria kuwa uume wako ni mdogo mara nyingi unakuwa hujakosea. (5) Wanawake wengi hujali kuhusu ukubwa wa uume unapokuwa haujasimama. (6) Wanawake wanaojua mapenzi hupendelea kushika uume wa mwanaume unapokuwa umesimama na pia pale ambapo haujasimama. (7) Wanawake wanaojua mapenzi hupendelea kunyonya uum...

BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI

Image
Abiria wapatao 65 wamenusurika kifo baada ya dereva wa Bus la Nganga Express linalo fanya safari yake Mbeya - Dar, baada ya kulikwepa Lori uso kwa uso na kulitosa kwenye mtaro ilikoa roho za abiria wa Bus hilo.Majeruhi wa5 wamekimbizwa hospitali ya rufaa Mbeya. Ajari imetokea Mbeya kijiji cha Lilongo asbh hii majira ya 12.48.

EXCLUSIVE! KUMBE MUME WA BABY J AMEFUNGWA…

Image
Baby J ni miongoni mwa mastaa waliozaliwa mwezi wa tatu akiungana na mastaa wenzake  wakiwemo Bob Junior, Linah, Jokate, Menina, Peter Msechu na wengineo.Sasa hapa nakusogezea hii stori inayomuhusu msanii Baby J ambaye amefunguka kwenye Amplifaya ya Clouds FM kuhusiana na mume wake kufungwa pamoja na suprise ambayo hatoisahau katika maisha yake. “ …Baada ya kufanya suprise kubwa sana kwenye birthday yangu alipoamua kunivisha pete niliona kitu kubwa sana tofauti na vitu vingine, niliamini kweli hivi ni vitu nilivyokuwa naviwaza katika maisha yangu kwamba ipo siku mimi naweza nikawa mke wa mtu au nikapata mtu akanipenda kwa dhati, kwa hiyo kile kitu nilivyokiona pale nilikuwa nimefurahi sana na nilikuwa sijaamini… “ Millardayo: … Kwa hiyo uliolewa… ? Baby J: “ …Yes niliolewa lakini bahati mbaya siko naye baada ya kuoana maana yeye alikuwa anaishi Marekani lakini amepata matatizo, amekamatwa yuko mikononi mwa polisi hukohuko Marekani kwa kosa eti la madawa l...

WEMA SEPETU AGOMEA KAJALA KULISHWA KEKI UKUMBINI!

Image
Imelda mtema KATIKA kile kinachoonekana kuwa ugomvi wao bado ni mbichi kabisa, nyota wa filamu Bongo, Wema Sepetu Jumanne wiki hii akiwa ni mshehereshaji katika sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mtoto wa mtangazaji maarufu, Zamaradi Mketema, aligoma kumtaja Kajala Masanja kama mmoja wa watu waliotakiwa kula keki, Ijumaa lina mkanda kamili. Nyota wa filamu Bongo, Wema Sepetu. Kwenye sherehe hizo zilizofanyika nyumbani kwa mtangazaji huyo jijini Dar, baada ya mambo mengi kufanyika, ndipo ulipofika wakati wa mastaa kibao walioalikwa kuitwa majina yao kwa ajili ya kwenda kupewa keki katika meza kuu. Mshangao mkubwa ulikuja wakati Wema, akitangaza kwa mbwembwe aliporuka kutaja jina la Kajala aliyekuwa akionekana dhahiri na kumtaja aliyemfuatia, jambo ambalo lilizua minong’ono kutoka kwa waalikwa wengine kiasi kwamba mmoja wao alichomoka na kwenda kumnong’oneza Wema juu ya kitu hicho na kumtaka akirekebishe. Nyota wa filamu Bongo, Kajala Masanja. “Jamani mtaniudhi sasa...

MTOTO MZURI MENINA AFICHA KOVU PAJANI KWA TATUU!

Image
Binti anayekuja kwa kasi kwenye gemu la muziki, Menina Atick.Na Musa Mateja Binti anayekuja kwa kasi kwenye gemu la muziki, Menina Atick amelazimika kutumia mimu ya kujichora tatuu pajani ili kuziba kovu kubwa lililopo eneo hilo nyeti. Msanii huyo mwenye figa tata alinaswa na paparazi wetu maeneo ya Mikocheni kwenye Ukumbi wa Escape One akiwa amejichora tatuu na katika kufuatilia ikabainika kuwa, kovu kubwa lililoharibu eneo hilo ndilo lilisababisha urembo huo.   Akipiga stori na Ijumaa, Menina alisema ni kweli alikuwa na baka eneo hilo na katika kumfanya aendelee kuwa na mvuto, alitumia mbinu hiyo ya kuziba kwa tatuu.

SALMA DAKOTA WA ITV AVISHWA PETE, APOTEZA FAHAMU!

Image
Salma Dakota Akionyeshwa pete aliyovishwa.Na hamida hassan Mtangazaji wa ITV na redio, Salma Dakota hivi karibuni alipoteza fahamu baada ya kufanyiwa ‘sapraizi’ ya kuvishwa pete ya uchumba na mpenzi wake, Gharibu DumbaTukio hilo lilitokea kwenye Hoteli ya Protea iliyopo jijini Dar es Salaam ambapo alikwenda bila kujua kuwa mtu wake huyo alikuwa na jambo kubwa la kumfanyia. Ilielezwa kuwa, Salma akiwa hana hili wala lile, alishangaa akivishwa pete ya dhahabu yenye kito cha Tanzanite ambayo gharama yake ni takriban shilingi milioni 3. Mtangazaji wa ITV na redio, Salma Dakota akiwa kwenye pozi. Akizungumzia tukio hilo mtangazaji huyo alisema: “Nilipata mshituko kwani sikutarajia na ndiyo maana nikapatwa na hali ile. Namshukuru Mungu kwa hili lililonitokea, ni jambo la heri na Mungu aniongoze katika safari hii ya kuelekea kwenye maisha ya ndoa.

DIAMOND: HEE! MIMBA YA ZARI IMETOKA!

Image
Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa na mpenzi wake zari Mwanamuziki ambaye pia ni Rais wa Wasafi Classic Baby (WCB, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameshangazwa na madai kuwa eti mimba ya mpenzi wake Zarina Hassan ‘Zari’ imetoka na kuwataka Wabongo kuacha tabia ya uzushi. Akizungumzia madai yaliyokuwa yamezagaa mtandaoni kuwa ile mimba yake aliyokuwa akiilea kama yai kwa Zari imechoropoka, Diamond alisema: “Hee! Eti mimba ya Zari imetoka! Wanaosema hivyo walaaniwe. Mbona Wabongo wazushi sana, itakuwaje hivyo halafu nisijue. Zari yuko fiti na mimba inaendelea vizuri, ona picha za kitumbo (anamuonesha paparazi picha za Zari kwenye simu yake). “Kuna wapuuzi wachache tu wanakaa na kujitungia mambo yao ili wajenge mada zao, niliona sana watu wakijibizana na kubishana juu ya hilo, lakini nikutoe wasiwasi kuwa hakuna taarifa kama hizo.”

NAY WA MITEGO AMFUMANIA MCHUMBA'KE KITANDANI

Image
Mkali wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’.   NI MWANZA KABAANG! Mkali wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, amedaiwa kumfumania ‘laivu’ mchumba wake Siwema akiwa kitandani na ‘serengeti boy’ wake ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, Ijumaa lina full stori. Kwa mujibu wa chanzo kilichoshuhudia mwanzo mwisho, tukio hilo lilichukua nafasi Machi 15, mwaka huu maeneo ya Kitangiri jijini Mwanza ambako mrembo huyo alikuwa akiishi, baada ya Nay kupenyezewa ‘ubuyu’ kuwa mrembo huyo usiku wa Machi 14 alionekana akiponda raha ndani ya klabu moja iliyopo katika jengo la Hoteli ya Golden Crest. “Wambeya walimpenyezea habari Nay, kesho yake asubuhi sana akatimba Mwanza kwa ndenge na kumkuta laivu Siwema akiwa na seregeti boy wake kitandani,” kilisema chanzo hicho kilichoomba hifadhi ya jina lake. AMPOKONYA SIMU, AWAPIGA PICHA Chanzo hicho kilizidi kumwaga data kuwa, Nay baada ya kuwakuta wawili hao wakiwa katika hali ya taharuki katika ...

ACHOMWA MOTO NA WANANCHI BAADA YA KUMCHINJA MJOMBA WAKE HUKO MBEYA

Image
Tukio la mauaji limelotokea Mbeya, waliofariki ni mtoto mdogo mwenye umri wa miaka mitano ambaye ameuawa na mjomba wake, wananchi wenye hasira walimkamata mjomba huyo na kumuua pia.Watu hao waliokuja eneo hilo walimkuta mjomba huyo akiwa amemuua mtoto huyo, wakaamua kumpiga mtoto mjomba huyo ana yeye mpaka akafariki, baadaye wakamchoma na moto. Baba wa kijana huyo ambaye ni mjomba wa mtoto huyo amesema kijana huyo alikuwa na matatizo ya kifafa kwa muda mrefu. Baadae wananchi hao walianza kuvamia nyumba hiyo iliyokuwa ikijengwa na kuanza kuivunja na kuiba vitu mbalimbali kwa kuhusisha ujenzi wa nyumba aliyouawa mtoto huyo na imani za kishirikina hadi Polisi walipofika na kupiga bomu la machozi kutawanya watu hao. Fundi aliyekuwa eneo la tukio amesema mtoto huyo alifika eneo hilo wakawa wanazungumza nae, ghafla akatokea mjomba wake akiwa na fimbo akaanza kumuuliza maswali akakimbilia ndani kutafuta mlango wa kutokea, akamkimbiza na kumkamata wakasikia kelele na...

KANISA LAHALALISHA NDOA ZA JINSIA MOJA KUFUNGWA KANISANI

Image
Kanisa la Presbyterian nchini Marekani ambalo lina takriban wanachama millioni 2 ,limebadilisha sheria yake ya ndoa na kuwajumuisha watu wa jinsia moja. Kanisa hilo ambalo linashirikisha idadi kubwa ya wanachama wake duniani lilitoa tangazo hilo baada ya idadi kubwa ya magavana wa majimbo yake 171 kuidhinisha mabadiliko hayo. Sheria yake mpya sasa itasoma kwamba ndoa ni makubaliano ya kipekee kati ya watu wawili ikilinganishwa na makubaliano kati ya mume na mke. Sheria hiyo ilioidhinishwa na baraza kuu la kanis Dismiss a hilo mwaka uliopita ilikubaliwa na zaidi ya nusu ya majimbo ya kanisa hilo. Wapenzi wa jinsia moja Mkutano wa makundi katika jimbo la New Jersy ulikuwa wa 86 kuidhinisha sheria hiyo. Uamuzi huo unatarajiwa kuzua mgawanyiko mkubwa kati ya wanachama wa kanisa hilo ambao wanapinga sheria hiyo. Mwaka uliopita baraza kuu la kanisa hilo lilitoa idhini kwa wachungaji wake kuwafungisha ndoa wapenzi wa jinsia moja katika majimbo ambayo ndoa hizo zinaruhusiwa.

JAMAA AFARIKI DUNIA AKIWA ANAIBA MAFUTA YA TRANSFORMER

Image
KENYA: Mr. Johnson Waweru , is the courageous man who instantly died while stealing transformer oil in Dandora Phase 1… The man was found dangling from a transformer pole… ” The man stepped on live wires then fell onto other live wires leading to his instant death,” said Buruburu OCPD Richard Kerich. ** Warning! Graphic Photos **