Posts

MAELEZO BINAFSI YA MHE. ZITTO ZUBEIR KABWE, MB KUHUSU UANACHAMA WAKE KATIKA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) NA HATMA YAKE KAMA MBUNGE KATIKA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Image
1. Mheshimiwa Spika, ninakushukuru sana kwa fursa uliyonipa kutoa maelezo yangu binafsi katika Bunge lako Tukufu leo. Ninatoa maelezo haya kwa mujibu wa Kifungu cha 50 (1) cha Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Aprili, 2013 kinachosema kwamba, “Mbunge yeyote anaweza, kwa idhini ya Spika, kutoa maelezo binafsi Bungeni yanayolenga kufafanua kuhusu jambo lolote linalomhusu na lililoifikia jamii” 2. Mheshimiwa Spika, Nilijiunga na Bunge lako Tukufu kwa mara ya kwanza Mwaka 2015 nikiwa na lengo kuu la kupaza sauti ya vijana kwenye masuala yanayohusu nchi yetu na kutetea maslahi ya Watanzania hususani Wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini na Mkoa wa Kigoma, na Watanzania kwa ujumla. Nilichaguliwa na wananchi wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Wananchi wa Kigoma Kaskazini walinichagua tena Mwaka 2010 kupitia tiketi ya CHADEMA. 3. Mheshimiwa Spika, kupitia fursa ya ubunge niliyopewa na wananchi wa Kigoma Kaskazini k

UKWELI JUU YA UTAFITI KUHUSU UKUBWA WA UUME SOMA KWA UMRI WA 21+

Image
Yafuatayo ni majumuisho ya matokeo ya tafiti mbalimbali juu ya ukweli juu ya ukubwa wa uume. Tafiti hizo zimefanywa na wanasayansi wa mapenzi toka nchi za Ujerumani, Uingereza, Sweden, Nigeria na Afrika ya kusini. Jisomee na uone mambo yalivyo matamu usifuate maneno ya mitaani na jichunguze uone kama uko katika kiwango au la. (1) Iwapo wewe ni mwanamke na hupendelei uume mkubwa basi wewe ni wa ajabu. (2) Wanawake wengi hupendelea uume mkubwa zaidi ya wanaume kupendelea matiti au makalio makubwa. (3) Kwa wastani wanaume wengi wana uume wenye urefu wa kati ya nchi 6 (CM 15) na nchi 7 (CM18) na unene kati ya nchi 5 (CM12) na nchi 51/2 (CM 131/2). (4) Unapofikiria kuwa uume wako ni mdogo mara nyingi unakuwa hujakosea. (5) Wanawake wengi hujali kuhusu ukubwa wa uume unapokuwa haujasimama. (6) Wanawake wanaojua mapenzi hupendelea kushika uume wa mwanaume unapokuwa umesimama na pia pale ambapo haujasimama. (7) Wanawake wanaojua mapenzi hupendelea kunyonya uum

BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI

Image
Abiria wapatao 65 wamenusurika kifo baada ya dereva wa Bus la Nganga Express linalo fanya safari yake Mbeya - Dar, baada ya kulikwepa Lori uso kwa uso na kulitosa kwenye mtaro ilikoa roho za abiria wa Bus hilo.Majeruhi wa5 wamekimbizwa hospitali ya rufaa Mbeya. Ajari imetokea Mbeya kijiji cha Lilongo asbh hii majira ya 12.48.

EXCLUSIVE! KUMBE MUME WA BABY J AMEFUNGWA…

Image
Baby J ni miongoni mwa mastaa waliozaliwa mwezi wa tatu akiungana na mastaa wenzake  wakiwemo Bob Junior, Linah, Jokate, Menina, Peter Msechu na wengineo.Sasa hapa nakusogezea hii stori inayomuhusu msanii Baby J ambaye amefunguka kwenye Amplifaya ya Clouds FM kuhusiana na mume wake kufungwa pamoja na suprise ambayo hatoisahau katika maisha yake. “ …Baada ya kufanya suprise kubwa sana kwenye birthday yangu alipoamua kunivisha pete niliona kitu kubwa sana tofauti na vitu vingine, niliamini kweli hivi ni vitu nilivyokuwa naviwaza katika maisha yangu kwamba ipo siku mimi naweza nikawa mke wa mtu au nikapata mtu akanipenda kwa dhati, kwa hiyo kile kitu nilivyokiona pale nilikuwa nimefurahi sana na nilikuwa sijaamini… “ Millardayo: … Kwa hiyo uliolewa… ? Baby J: “ …Yes niliolewa lakini bahati mbaya siko naye baada ya kuoana maana yeye alikuwa anaishi Marekani lakini amepata matatizo, amekamatwa yuko mikononi mwa polisi hukohuko Marekani kwa kosa eti la madawa lakin

WEMA SEPETU AGOMEA KAJALA KULISHWA KEKI UKUMBINI!

Image
Imelda mtema KATIKA kile kinachoonekana kuwa ugomvi wao bado ni mbichi kabisa, nyota wa filamu Bongo, Wema Sepetu Jumanne wiki hii akiwa ni mshehereshaji katika sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mtoto wa mtangazaji maarufu, Zamaradi Mketema, aligoma kumtaja Kajala Masanja kama mmoja wa watu waliotakiwa kula keki, Ijumaa lina mkanda kamili. Nyota wa filamu Bongo, Wema Sepetu. Kwenye sherehe hizo zilizofanyika nyumbani kwa mtangazaji huyo jijini Dar, baada ya mambo mengi kufanyika, ndipo ulipofika wakati wa mastaa kibao walioalikwa kuitwa majina yao kwa ajili ya kwenda kupewa keki katika meza kuu. Mshangao mkubwa ulikuja wakati Wema, akitangaza kwa mbwembwe aliporuka kutaja jina la Kajala aliyekuwa akionekana dhahiri na kumtaja aliyemfuatia, jambo ambalo lilizua minong’ono kutoka kwa waalikwa wengine kiasi kwamba mmoja wao alichomoka na kwenda kumnong’oneza Wema juu ya kitu hicho na kumtaka akirekebishe. Nyota wa filamu Bongo, Kajala Masanja. “Jamani mtaniudhi sasa

MTOTO MZURI MENINA AFICHA KOVU PAJANI KWA TATUU!

Image
Binti anayekuja kwa kasi kwenye gemu la muziki, Menina Atick.Na Musa Mateja Binti anayekuja kwa kasi kwenye gemu la muziki, Menina Atick amelazimika kutumia mimu ya kujichora tatuu pajani ili kuziba kovu kubwa lililopo eneo hilo nyeti. Msanii huyo mwenye figa tata alinaswa na paparazi wetu maeneo ya Mikocheni kwenye Ukumbi wa Escape One akiwa amejichora tatuu na katika kufuatilia ikabainika kuwa, kovu kubwa lililoharibu eneo hilo ndilo lilisababisha urembo huo.   Akipiga stori na Ijumaa, Menina alisema ni kweli alikuwa na baka eneo hilo na katika kumfanya aendelee kuwa na mvuto, alitumia mbinu hiyo ya kuziba kwa tatuu.

SALMA DAKOTA WA ITV AVISHWA PETE, APOTEZA FAHAMU!

Image
Salma Dakota Akionyeshwa pete aliyovishwa.Na hamida hassan Mtangazaji wa ITV na redio, Salma Dakota hivi karibuni alipoteza fahamu baada ya kufanyiwa ‘sapraizi’ ya kuvishwa pete ya uchumba na mpenzi wake, Gharibu DumbaTukio hilo lilitokea kwenye Hoteli ya Protea iliyopo jijini Dar es Salaam ambapo alikwenda bila kujua kuwa mtu wake huyo alikuwa na jambo kubwa la kumfanyia. Ilielezwa kuwa, Salma akiwa hana hili wala lile, alishangaa akivishwa pete ya dhahabu yenye kito cha Tanzanite ambayo gharama yake ni takriban shilingi milioni 3. Mtangazaji wa ITV na redio, Salma Dakota akiwa kwenye pozi. Akizungumzia tukio hilo mtangazaji huyo alisema: “Nilipata mshituko kwani sikutarajia na ndiyo maana nikapatwa na hali ile. Namshukuru Mungu kwa hili lililonitokea, ni jambo la heri na Mungu aniongoze katika safari hii ya kuelekea kwenye maisha ya ndoa.

DIAMOND: HEE! MIMBA YA ZARI IMETOKA!

Image
Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa na mpenzi wake zari Mwanamuziki ambaye pia ni Rais wa Wasafi Classic Baby (WCB, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameshangazwa na madai kuwa eti mimba ya mpenzi wake Zarina Hassan ‘Zari’ imetoka na kuwataka Wabongo kuacha tabia ya uzushi. Akizungumzia madai yaliyokuwa yamezagaa mtandaoni kuwa ile mimba yake aliyokuwa akiilea kama yai kwa Zari imechoropoka, Diamond alisema: “Hee! Eti mimba ya Zari imetoka! Wanaosema hivyo walaaniwe. Mbona Wabongo wazushi sana, itakuwaje hivyo halafu nisijue. Zari yuko fiti na mimba inaendelea vizuri, ona picha za kitumbo (anamuonesha paparazi picha za Zari kwenye simu yake). “Kuna wapuuzi wachache tu wanakaa na kujitungia mambo yao ili wajenge mada zao, niliona sana watu wakijibizana na kubishana juu ya hilo, lakini nikutoe wasiwasi kuwa hakuna taarifa kama hizo.”

NAY WA MITEGO AMFUMANIA MCHUMBA'KE KITANDANI

Image
Mkali wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’.   NI MWANZA KABAANG! Mkali wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, amedaiwa kumfumania ‘laivu’ mchumba wake Siwema akiwa kitandani na ‘serengeti boy’ wake ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, Ijumaa lina full stori. Kwa mujibu wa chanzo kilichoshuhudia mwanzo mwisho, tukio hilo lilichukua nafasi Machi 15, mwaka huu maeneo ya Kitangiri jijini Mwanza ambako mrembo huyo alikuwa akiishi, baada ya Nay kupenyezewa ‘ubuyu’ kuwa mrembo huyo usiku wa Machi 14 alionekana akiponda raha ndani ya klabu moja iliyopo katika jengo la Hoteli ya Golden Crest. “Wambeya walimpenyezea habari Nay, kesho yake asubuhi sana akatimba Mwanza kwa ndenge na kumkuta laivu Siwema akiwa na seregeti boy wake kitandani,” kilisema chanzo hicho kilichoomba hifadhi ya jina lake. AMPOKONYA SIMU, AWAPIGA PICHA Chanzo hicho kilizidi kumwaga data kuwa, Nay baada ya kuwakuta wawili hao wakiwa katika hali ya taharuki katika chum

ACHOMWA MOTO NA WANANCHI BAADA YA KUMCHINJA MJOMBA WAKE HUKO MBEYA

Image
Tukio la mauaji limelotokea Mbeya, waliofariki ni mtoto mdogo mwenye umri wa miaka mitano ambaye ameuawa na mjomba wake, wananchi wenye hasira walimkamata mjomba huyo na kumuua pia.Watu hao waliokuja eneo hilo walimkuta mjomba huyo akiwa amemuua mtoto huyo, wakaamua kumpiga mtoto mjomba huyo ana yeye mpaka akafariki, baadaye wakamchoma na moto. Baba wa kijana huyo ambaye ni mjomba wa mtoto huyo amesema kijana huyo alikuwa na matatizo ya kifafa kwa muda mrefu. Baadae wananchi hao walianza kuvamia nyumba hiyo iliyokuwa ikijengwa na kuanza kuivunja na kuiba vitu mbalimbali kwa kuhusisha ujenzi wa nyumba aliyouawa mtoto huyo na imani za kishirikina hadi Polisi walipofika na kupiga bomu la machozi kutawanya watu hao. Fundi aliyekuwa eneo la tukio amesema mtoto huyo alifika eneo hilo wakawa wanazungumza nae, ghafla akatokea mjomba wake akiwa na fimbo akaanza kumuuliza maswali akakimbilia ndani kutafuta mlango wa kutokea, akamkimbiza na kumkamata wakasikia kelele na

KANISA LAHALALISHA NDOA ZA JINSIA MOJA KUFUNGWA KANISANI

Image
Kanisa la Presbyterian nchini Marekani ambalo lina takriban wanachama millioni 2 ,limebadilisha sheria yake ya ndoa na kuwajumuisha watu wa jinsia moja. Kanisa hilo ambalo linashirikisha idadi kubwa ya wanachama wake duniani lilitoa tangazo hilo baada ya idadi kubwa ya magavana wa majimbo yake 171 kuidhinisha mabadiliko hayo. Sheria yake mpya sasa itasoma kwamba ndoa ni makubaliano ya kipekee kati ya watu wawili ikilinganishwa na makubaliano kati ya mume na mke. Sheria hiyo ilioidhinishwa na baraza kuu la kanis Dismiss a hilo mwaka uliopita ilikubaliwa na zaidi ya nusu ya majimbo ya kanisa hilo. Wapenzi wa jinsia moja Mkutano wa makundi katika jimbo la New Jersy ulikuwa wa 86 kuidhinisha sheria hiyo. Uamuzi huo unatarajiwa kuzua mgawanyiko mkubwa kati ya wanachama wa kanisa hilo ambao wanapinga sheria hiyo. Mwaka uliopita baraza kuu la kanisa hilo lilitoa idhini kwa wachungaji wake kuwafungisha ndoa wapenzi wa jinsia moja katika majimbo ambayo ndoa hizo zinaruhusiwa.

JAMAA AFARIKI DUNIA AKIWA ANAIBA MAFUTA YA TRANSFORMER

Image
KENYA: Mr. Johnson Waweru , is the courageous man who instantly died while stealing transformer oil in Dandora Phase 1… The man was found dangling from a transformer pole… ” The man stepped on live wires then fell onto other live wires leading to his instant death,” said Buruburu OCPD Richard Kerich. ** Warning! Graphic Photos **

YEMI ATANGAZA SIKU YA KUZIKWA BABA YAKE.

Image
Baba yake Yemi Alade aliyekuwa Kamishna Mstaafu wa Polisi, J.A. Alade enzi za uhai wake. MWANAMUZIKI wa kike wa Nigeria, Yemi Alade,  na familia yake watafanya  maziko ya marehemu baba yake tarehe 7 na 8 Mei mwaka huu. Baba yake Alade aliuyekuwa Kamishna Mstaafu wa Polisi, J.A. Alade, alifariki  Januari 16 mwaka huu na binti yake huyo ambaye ni mtunzi wa wimbo maarufu wa ‘Johnny’, hajasema mengi kuhusiana na kifo hicho tangu kitokee. Mwanamziki wa kike wa Nigeria anayetamba kwa wimbo wa Jonny, Yemi Aladeakiwa katika pozi. Ni katika mahojiano ya gazeti la Tribune yaliyofanyika Machi 13, mwaka huu (siku ya kuzaliwa kwake) ndipo  aliposema maziko ya baba yake yatafanyika Mei 7 na 8. Yemi Alade ni mtoto wa mwisho kwa baba yake huyo kutoka kabila la Wayoruba na mama kutoka kabila la Waigbo.

MWANAFUNZI ATEKWA, AUAWA

Image
Na Waandishi Wetu DUNIA imekwisha jamani! Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Mabibo, Dar, Irene Said (15) ametekwa, amebakwa na kuuawa kikatili kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili huku ikidaiwa kuwa, kijana mmoja asiyejulikana alifika nyumbani kwao, Kigogo Luhanga na kutaka kiroba na mtu mmoja waongozane akabebe ndizi. Polisi wakiwa wamebeba mwili wa marehemu. Akizungumzia tukio hilo la kusikitisha sana, mama mdogo wa marehemu, Doto Lucas alisema:  “Siku ya tukio ambayo ni Alhamisi iliyopita (Machi 12), kijana mmoja ambaye hakuna aliyemfahamu alikuja hapa nyumbani na kumtaka mtu mmoja na kiroba ili akachukue ndizi ambazo kuna mtu aliagiza ziletwe. “Marehemu ndiye aliyekuwa karibu akijisomea baada ya kutoka shuleni. Mtu mkubwa aliyekuwa nyumbani muda huo ni bibi wa marehemu ambaye ni mtu mzima hivyo alimwambia Irene aongozane na mtu huyo akachukue mzigo akijua uk

MADAI: AK47 ALIPIGWA KABLA YA KIFO CHAKE

Image
Mwili wa AK47 ukitolewa katika mochwari ya Hospitali ya Nsambya. WAKATI wapenzi wa muziki nchini Uganda wakiwa bado wamegubikwa na simanzi kwa kuondokewa na mwanamuziki wa miondoko ya dancehall, Emmanuel Mayanja maarufu kwa jina la AK47, taarifa mpya zimeibuka kuwa kuna uwezekano kuwa alipigwa kabla ya kifo chake. Jose Chameleon (katikati) akiwa na simanzi baada ya kuondokewa na mdogo wake. AK47 amefariki dunia   usiku wa kuamkia leo akiwa hospitali baada ya kuanguka akiwa bafuni. Taarifa hizo zinadai kuwa atakuwa alipigwa katika baa aliyokuwemo iitwayo Dejavu, iliyopo eneo la Kabalagala kabla ya kupelekwa Hospitali ya Nsambya, Kampala ambapo mauti yalimkuta. Baa hiyo inamilikiwa na Jeff Kiwanuka, aliyekuwa meneja wa wasanii wawili Radio na Weasel. Pallaso (mwenye tisheti ya bluu) ambaye naye ni kaka wa marehemu akifarijiwa na mwanamuziki Bebe Cool. Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kabalagala, Nusulah Kemigisha

MWANAFUNZI ATEKWA, AUAWA

Image
Polisi wakiwa wamebeba mwili wa marehemu. DUNIA imekwisha jamani! Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Mabibo, Dar, Irene Said (15) ametekwa, amebakwa na kuuawa kikatili kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili huku ikidaiwa kuwa, kijana mmoja asiyejulikana alifika nyumbani kwao, Kigogo Luhanga na kutaka kiroba na mtu mmoja waongozane akabebe ndizi. Akizungumzia tukio hilo la kusikitisha sana, mama mdogo wa marehemu, Doto Lucas alisema: “Siku ya tukio ambayo ni Alhamisi iliyopita (Machi 12), kijana mmoja ambaye hakuna aliyemfahamu alikuja hapa nyumbani na kumtaka mtu mmoja na kiroba ili akachukue ndizi ambazo kuna mtu aliagiza ziletwe. “Marehemu ndiye aliyekuwa karibu akijisomea baada ya kutoka shuleni. Mtu mkubwa aliyekuwa nyumbani muda huo ni bibi wa marehemu ambaye ni mtu mzima hivyo alimwambia Irene aongozane na mtu huyo akachukue mzigo akijua uko jirani kwa mujibu wa mtu huyo. “Baada ya muda, yule kijana alirud

MAAJABU MAKUBWA DAR! MTOTO AZALIWA BILA UBONGO WA NYUMA!

Image
Mtoto anayedaiwa kuzaliwa bila ya ubongo wa nyuma(medulla oblongata).Na Haruni Sachawa NI maajabu! Mwanamke mmoja, Diana Dioniz mkazi wa Magomeni Makuti jijini Dar es Salaam, ameangua kilio cha kuomba msaada baada ya mtoto wake aliyezaliwa mwaka mmoja uliopita kugundulika kuwa hana ubongo wa nyuma (medulla oblongata), hali inayosababisha shingo kulegea na macho kutoona. Akizungumza na gazeti hili nyumbani kwake, Diana alisema alipata ujauzito wa mtoto huyo na kujikuta akiwa na furaha kubwa, lakini baada ya kuzaliwa na kumpa jina la John, amejikuta akipata mateso makubwa, kwani kwa muda wote, shingo yake inakuwa imelegea na macho yake hayaoni. “Majirani walinishauri nimpeleke hospitali kwa uangalizi zaidi, nilipomfikisha Muhimbili nikaambiwa suala la mwanangu linapaswa kushughulikiwa na daktari bingwa wa magonjwa ya watoto wa Kitengo cha Moi,” alisema mwanamke huyo. Aliongeza kuwa, baada ya kupelekwa huko na kuchunguzwa ndipo ilipojulikana kuwa na matatizo hayo, ambay

DIAMOND NUSURA AKATWE MGUU! KWA UGONJWA WA KISAHANI

Image
Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya na nyota wa Wimbo wa Nitampata, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya na nyota wa Wimbo wa Nitampata wapi aliyewahi kuwa mchumba wa Wema Sepetu, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amenusurika kukatwa mguu katika Hospitali ya TMJ, Mikocheni jijini Dar es Salaam kufuatia ugonjwa wa Foot Corn (maarufu kwa jina la kisahani) kumtesa kwa kipindi kirefu. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, Diamond ambaye kwa sasa anaminya kimalavidavi na mwanamama Zarina Hassan ‘Zari’, alianza kusumbuliwa na ugonjwa huo takribani siku 730 zilizopita (miaka miwili), huku mwenyewe akipuuzia matibabu yake na kuelekeza nguvu kwenye shoo za ndani na nje ya nchi. “Mara kwa mara alikuwa akilalamikia maumivu makali ya mguu lakini kwa kuwa yalikuwa yakija na kupotea, alikuwa akipuuzia kwenda hospitali mpaka juzi (Ijumaa) alipoamua kwenda TMJ,” kilisema chanzo chetu kwa masharti ya kutotajwa jina. WALICHOKIBAINI MADAKTARI “Madaktari walipompim

Haya ndiyo madhara ya kuitana 'Sweet, Dear, Baby' kwenye mapenzi

Image
BABY ni neno la Kiingereza lenye maana ya mtoto, tena mara nyingi linatumika kwa mtoto mdogo. Pia lina maana nyingine ya mpenzi. Ni neno maarufu sana siku hizi; hata wazee kabisa, utasikia wanaitana baby! Mbali na hilo, yapo maneno mengine kama sweet, dear, honey na mengine mengi. Maneno yote hayo ya Kiingereza, yana maana zaidi ya moja, lakini kubwa zaidi ni kumaanisha mpenzi, mpendwa (hutumika katika kuonesha mapenzi ya dhati kwa mwingine). Leo nataka kukupa kitu kipya kabisa kichwani mwako. Unahitaji utulivu wa hali ya juu ili kujifunza hili. Ni maneno mazuri sana, ya kipekee lakini kwa upande mwingine ni hatari kwa sababu hukaribisha matatizo ambayo hayakutarajiwa na mtumiaji. HUTUMIKA WAPI HASA? “Dear, naomba uniamshe saa 12:00 asubuhi, kesho nina vikao vingi sana asubuhi,” inaweza kuwa kauli ya mume akimwambia mkewe, ambaye naye anamjibu: “Sawa sweet, usijali.” Kwa hakika ndipo sehemu sahihi zaidi kutumika. Ni maneno yenye mshawasha mkubwa na huonesha pe