HAMISA MOBETO KUVISHWA PETE YA UCHUMBA TAREHE 2 YA MWEZI WA 8 NDANI ESCAPE 1.
Wanasema kimya kingi kina mshondo baada ya kudaiwa, hapo mwanzo ilidaiwa kua Hamisa Mobeto alikua akichepuka na Bwana Almas aka Dangote aka Diamond au Chibu kama mwenyewe anavyopenda kujiita. Lakini baada ikaja kujulikana kua yalikua ni maneno ya wabongo. Habari za kuaminika Bongoclan ilizozipata ni kua kwa sasa Mwanadada Hamisa kazama kabisa kwenye penzi zito la Seth De Jesus Giovan almaarufu kama Bikira wa kisukuma. Mmoja wa mashostito wa wapenzi hao ambaye hakupenda jina lake litajwe alisema kua Hamisa keshatambulishwa nyumbani kwao na Bikira na kilichobaki ni tukio la kuvishana pete ndo lililobakia. Team yetu iliamua kufatilia kama ni kuna ukweli kuhusiana na ishu ya kuvishana pete kwa wapenzi hao na kugundua ni kweli kua watavishana pete tarehe 2 ya mwezi wa 8 ndani ya Escape 1 ambako pia ndani ya siku hiyo kutakua na Instagram Party. Kupitia akaunti yake bikira wa kisukuma alifunguka haya kuhusiana na tukio hilo " Mungu anipe nini mie...