Posts

HOTUBA YA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2014/2015

Image
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya (MB) akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake kwa mwaka 2014/15 . UTANGULIZI  1.Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lijadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka 2014/2015. Pamoja na hotuba hii, nimewasilisha vitabu vinne vinavyoelezea kwa kina takwimu za Bajeti. Kitabu cha Kwanza ni makisio ya mapato; Kitabu chaPili ni makisio ya matumizi ya kawaida kwa wizara, idara za Serikali zinazojitegemea, wakala na taasisi za Serikali;  Kitabu cha Tatu ni makisio ya matumizi ya kawaida kwa mikoa na mamlaka za serikali za mitaa; na Kitabu cha Nne ni makadirio ya matumizi ya maendeleo kwa wizara, idara za Serikali zinazojitegemea, wakala na taasisi za Serikali, mikoa na mamlaka za serikali za mitaa.  Aidha, upo Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2014 ambao ni sehemu ya bajeti hii. <<BOFYA  HAPA  KUISOMA  HOTUBA  HIYO>> AU &

BREAKING NEWS: Chelsea ime msajili cesc Fabregas

Image
SHARE PICTURE           +10 Blue: Cesc Fabregas has signed for Chelsea from Barcelona on a five-year deal +10 New signing: Fabregas will wear the No 4 shirt and counts as a homegrown player for Chelsea +10 Make it official: Barcelona released an official statement thanking Fabregas for his time +10 Feud: Fabregas (right) has had several run-ins with Chelsea's players in the past +10 Raring to go: Fabregas and Spain face Holland on Friday night in their World Cup opener

KIJANA ANUSURIKA KUUAWA BAADA YA KUKUTWA AKITAKA KUMLAWITI KIJANA MDOGO ENEO LA RADIO ARUSHA

Image
Kijana mmoja muda huu ambaye jina lake halijafahamika Mara moja amekutwa Bila aibu Akimlawiti mtoto wa miaka 12 maeneo ya PPF Njiro.  Tukio zaidi tazama hapa chini  Amani Athumani aliyembaka Mtoto wa Miaka 12 muda mchache uliopita Huyu ndiye dogo ambaye amelawitiwa ana umri wa Miaka 12.  Amani Athumani akiwa Chini ya ulinzi baada ya kukamatwa akiwa anamlawiti kijana wa Miaka 12  Mashuhuda wakiwa wanamshangaa kijana huyo aliyebaka  Wananchi wenye Hasira kali wakiwa  wanataka kuanza kumtandika kijana huyo... Mpaka sasa kijana huyo yupo eneo alililo kamatwa Njiro karibu na PPF.  Picha na Arusha yetu Blog

MISS IRINGA KUFANYIKA JUNI 20

Image
Baadhi ya washiriki wa redds miss iringa wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mazoezi katika ukumbi wanakofanyia mazoezi hotel ya Gentle Hill iliyoko mkoani Iringa.  Na Denis Mlowe,Iringa   HATIMAYE kinyang’anyiro cha kumsaka Redds Miss Iringa kinatarajia kufanyika Juni 20 mwaka huu baada ya aliyekuwa mratibu wa kwanza Mohamed Mcholeka kutoweka katika mazingira ya kutatanisha na kushindwa kufanyika Juni 6 kama lilivyopangwa mwanzoni na Tanzania Daima kuwa la kwanza kuripoti kuhusiana kutoweka kwa shindano hilo.   Waandaji wa Redds Miss Tanzania chini ya Lino Agency Hashim Lundenga baaada ya kugundua hilo wamempatia kibali cha kuandaa shindano hilo ambalo lilikuwa linasubiriwa kwa hamu kubwa na wadau wa tasnia ya urembo na kwasasa Redds Miss Iringa imepata mratibu mwingine ambaye ni kutoka kampuni ya Chakudika Intertainment chini uongozi wake Victor Chakudika ambaye ni Meneja wa kituo cha radio ya Nuru Fm ya mjini Iringa.   Akizungumza na Tanzani

MWONEKANO WA SOKO LA KARUME ULIVYO BAADA YA KUUNGUA NA MOTO JANA

Image

SOMA JINSI WANAWAKE WANAVYO-SHAMBULIWA NA U.T.I

Image
U.T.I  kirefu chake ni Urinary Tract Infection ni maambukizi ya bakteria mbalimbali wanaoshambulia  mfumo wa mkojo, yaani kwenye figo (kidney), kibofu cha mkojo na mifereji inayotoa mkojo (urethra) Mifereji inayotoa mkojo kwenye figo (ureter) na mfereji unaotoa mkojo nje, mara nyingi bakteria hushambulia sehemu za chini za mfumo wa mkojo yaani urinary bladder na kitaalamu kuitwa bladder infection. Bakteria hao baada ya kumuingia binadamu hupona mara moja  pindi mgonjwa anapoanza dozi lakini kama wadudu hawa hawatatibiwa vizuri wanaweza kupanda na kushambulia figo na mshipa unaounga sehemu hiyo uitwao renal pelvis na kuleta madhara makubwa, hivyo kusababisha ugonjwa wa figo. Kuna wadudu wanaotoka kwenye utumbo mkubwa wa binadamu ambao kila binadamu anaishi nao, hawa husaidia kulinda mwili na kitaalamu hujulikana kama  normal flora na huwa ni askari wa mwili. Vijidudu hivyo hushuka hadi kwenye mlango wa  haja kubwa na kuenea mpaka sehemu za s

MAJAMBAZI WAVAMIA KITUO CHA POLISI KIMANZICHANA NA KUUA ASKARI

Image
Mnamo tarehe 11/06/14 majira ya 0100hrs huko kituo kidogo cha Kimanzichana Pwani,watu wasiojulikana waliojifanya kuwa ni raia wema waliingia kituo kidogo cha Polisi Kimanzi Chana huku wakikimbia wakiwa na silaha za jadi kiasi cha askari wa zamu kuamini kuwa ni watu wanaohitaji msaada.  Cha kushangaza watu hao walimvamia askari mwenye silaha ambaye amefahamika kwa jina la JOSEPH NGONYANI na kuanza kumkatakata mapanga na hatimaye kupora silaha aina ya SMG ikiwa na risasi 30. Ndipo walipoanza kushambulia kwa risasi askari wengine na kufanikiwa kupora SMG ya pili na risasi 30. Hatimaye watu hao wakapora risasi za akiba 41 na kutoweka kusikojulikana. Askari Ngonyani alifariki dunia alipokuwa anapatiwa matibabu kwenye hospitali ya wilaya ya Mkuranga. Askari mwingine aitwaye VENANCE amejeruhiwa mgongoni kwa risasi ambayo bado imo ndani, na kwenye paja la mguu wa kulia. Mgambo Mariam alijeruhiwa kichwani, shingoni na kuvimba bega kutokana na kupigwa sana mateke na kujeru

KITUKO CHA LEO BUNGENI: MH. LUGOLA ATINGA NA BANGO LA KUOMBA KURA BUNGENI DODOMA LEO.

Image
 Mh. Lugola baada ya kuingia Bungeni akiwa amevalia bango la kuomba Kura kwa wabunge wenzake  Mh . Lugola akiwa anavua bango lake Baada ya Mbunge Mh. Mchungaji Msigwa kuomba muongozo wa Mh. Spika na kuamuliwa avue bango hilo   Mh. Lugola baada ya kuvua bango hilo na kuendelea na kuomba Kura. Picha zote na Dodoma yetu Blog

MDADA ALIYEONEKANA KATIKA PICHA NA KOMBA AFUNGUKA, AZIMIA

Image
SIKU  chache zimekatika baada ya tukio la kusambaa mitandaoni kwa picha tata zenye pozi kati ya mheshimiwa Komba na mrembo aliyejulikana kwa jina moja la Angel.   Angel Kissanga, mkazi wa Kinondoni jijini Dar anayedaiwa kupiga picha tata na mheshimiwa Komba. Hatimaye mrembo huyo ameibuka na kuanika mambo mazito kama si makubwa, Risasi Mchanganyiko linakudadavulia. Awali katika gazeti hili toleo la Jumamosi iliyopita ukurasa wa mbele kulikuwa na habari hiyo ikiwa na kichwa; KHAA! KOMBA! Katika habari hiyo picha zilizomuonesha mheshimiwa Komba akiwa na mrembo huyo zilipamba ukurasa huku mwenyewe (Komba) akidai ni picha za kutengeneza). OFM YAINGIA MITAANI Kwa vile Komba alikataa picha si zake huku baadhi ya vyombo vya dola kama Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) vikitangaza kuingia kazini kumtafuta sosi wa picha hizo, ilibidi timu makini ya Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ kutoka Global Publishers iingie kazini kumsaka mrembo huyo kwa udi na u