Posts

CCM YASHINDA KWA KISHINDO KIKUU JIMBO LA KALENGA

Image
Mbunge mteule wa  jimbo la Kalenga kupitia CCM Bw. Godfrey Mgimwa akibebwa juu na wanachama wa CCM huku wakiserebuka kusherekea ushindi katika ofisi kuu ya CCM mkoa wa Iringa ambapo  CCM imeshinda kwa  mbali katika matokeo ya uchaguzi huo uliofanyika jana kwenye  jimbo la Kalenga  mkoni Iringa, Tume  ya taifa ya uchaguzi imemtangaza Godfrey Mgimwa kuwa mshindi katika uchaguzi huo ambapo CCM  imeshinda kwa kura 22962  huku CHADEMA ikipata 5853 na chama cha CHAUSTA kura 150 Chama cha Mapinduzi  kimefanikiwa kushinda katika kata zote kumi na tatu za jimbo hilo. Watu wengi walijitokeza asubuhi kupiga kura na hali ilikuwa ni ya utulivu kabisa na watu wengi waliopiga kura wameishukuru serikali na tume ya uchaguzi kwa kuandaa utaratibu mzuri na kufanyika kwa uchaguzi wenye utulivu..(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KAlENGA) Mbunge mteule wa jimbo la Kalenga kupitia CCM Bw. Godfrey Mgimwa akipiga picha na wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika ofisi za CCM mkoa wa Iringa a

MAUAJI YA KUTISHA : MWANAMKE AUAWA KWA KUKATWA NA PANGA SHINGONI.

Image
TAFADHARI PICHA ZILIZOPO HAPA ZINATISHA  Na Mwandishi wetu,Geita yetu Blog    WIKI moja baada ya Tanzania kuungana na nchi nyingine ulimwenguni kuadhimisha siku ya wanawake duniani,kauli mbiu ikiwa ni "chochea mabadiliko kuleta usawa wa kijinsia" mkoani Geita hali imekuwa tofauti baada ya mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Modester Shija (55-60) mkazi wa kitongoji cha Kamlale,kijiji cha Nyawilimilwa kata ya Kagu wilayani hapa kuuliwa kikatili kwa kukatwa mapanga Machi 14,mwaka huu na watu wasiojulikana.   Imeelezwa kuwa Machi 14,majira ya saa 19:30 jioni  Bi.Modester Shija akiwa jikoni anaandaa chakula cha usiku walifika wanaume wawili waliovalia makoti meusi mara baaada ya kukaribishwa mmoja wa wanaume hao aliomba maji ya kunywa mara baada ya kunywa maji aliingia jikoni alikokuwa mama huyo huku akisikika anauliza kwa kisukuma "mayo otale kubiisha? akimaanisha Hujaivisha? kabla ya kujibiwa ilisikika sauti ya kulalamika ya mwanamke " nimewa

MICROSOFT YAWATAKA WATEJA WAKE WAACHE KUTUMIA WINDOWS XP KUTOKANA NA ONGEZEKO LA MASHAMBULIZI YA VIRUSI

Image
KOMPYUTA zinazotumia windows XP hazitoweza kupokea taarifa muhimu na kuongezeka mashambulizi ya virusi vya spyware vinavyoharibu taarifa binafsi na takwimu za kibiashara baada ya mwezi mmoja. Hayo yamebainishwa  jana  na Mkurugenzi wa Microsoft kwa kanda za Afrika Mashariki, Magharibi, Rotimi Olimide. Alisema kuwa utafiti mpya wa Microsoft umeonyesha kuwa Window XP hushambuliwa kirahisi na virusi mara tano zaidi huku usalama wake ukiwa mdogo kiasi cha kuruhusu wizi wa mtandao. Alisema ni vyema ndani ya mwezi mmoja, watumiaji wa window hiyo wakabadilika na kuhamia Window 8 ambayo ina uwezo mkubwa wa kuhimili mshambulizi ya virusi. “Mfumo uliotengenezwa kwenye Window XP ni wa kizamani na uendeshaji wake sio iliyoundwa kujilinda dhidi ya virusi. “Baada ya mwezi mmoja si kuwa huduma ya Window XP haitafanya kazi, unaweza kuendelea nayo lakini usalama na utendaji wake hautakuwa mzuri ,” alisema.    Alisema mfumo wa uendeshaji wa Windows 8 na Office 365 u

ANGALIA PICHA CHADEMA WAKIWA KALENGA JANA

Image
Mwenyekiti Mbowe akisikiliza maelezo kutoka kwa Mbunge wa Kawe (CHADEMA), Halima Mdee, namna ambavyo Mbunge Rose Kamili alikuwa akiendelea kupata matibabu katika hospitali hiyo. Mgombea wa CHADEMA, Grace Tendega Mvanda akiwa na Kampeni Meneja wake, Godbless Lema walipokuwa wakizunguka katika ameneo mbalimbali kuangalia shughuli ya upiogaji kura vituoni ilivyokuwa ikiendelea Mwenyekiti Mbowe akizungumza na waandishi wa habari juu ya tukio la kutekwa na kuteswa kwa Mbunge wa Viti Maalum, Rose Kamili lililotokea juzi usiku katika Kijiji cha Kitawaya, Kaa ya Luhota, jimboni Kalenga, wakati alipokuwa akizungumza na mawakala wa CHADEMA, ambapo imedaiwa kitendo hicho kilifanywa na vijana wa ulinzi wa CCM.  helkopta ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) iliyokuwa imembeba mgombea wa chama hicho, Grace Tendega Mvanda na kampeni meneja wake, Godbless Lema, walipokuwa wakizunguka jimboni humo kukagua vituo vya kura na kuangalia shughuli nzima ya upigaji

ANGALIA MAJINA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14

Image
OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA  MITAA (OWM - TAMISEMI) AJIRA MPYA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA  MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14.  A: OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI INATANGAZA ORODHA  YA WANACHUO WAHITIMU WA MAFUNZO YA UALIMU KAMA  IFUATAVYO:-  i. Walimuwa Cheti (Daraja IIIA) kwa ajili ya shule za msingi 17,928  ii. Walimu wa Stashahada kwa ajili ya shule za sekondari 5,416  iii. Walimu wa Shahada kwa ajili ya shule za sekondari 12,677  Walimu hawa wamepangwa katika Halmashauri na shule za mazoezi za  vyuo vyaualimu Tanzania Bara.  B: Kila Mwalimu ( Ajirampya) atatakiwakuzingatiayafuatayo:-  1. Kuripoti  tarehe01/04/2014kwenyeofisizaWakurugenziwaHalmashaurikwaajili yakupangiwa vituo vya kazi na kuanza kazi. 2. Mwalimu atatakiwa kuwa na vyeti vyake halisi vyachuonaSekondari  3. WalimuambaoniwaajiriwawaSerikaliwaliokuwawanajiendelezakieli muwanatakiwakurudikwawaajiriwaoilikuendeleanakazi

ANGALIA AJIRA MPYA KUTOKA JESHI LA POLISI

Image
TANGAZO LA AJIRA JESHI LA POLISI ,MACHI 2014 KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI KWA WAHITIMU WATARAJIWA WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 Katika mwaka wa fedha 2014/2015 Jeshi la Polisi linatarajia kuajiri wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014 na kidato cha nne mwaka 2013. Ili kutekeleza azma hii tumeweka fomu kwenye tovuti ambayo wahitimu watarajiwa wa kidato cha sita wa mwaka 2014 watajaza kabla ya kufanya mitihani yao ya kumaliza kidato cha sita. Baada ya kujazwa kikamilifu wakabidhi fomu kwa wakuu wa shule ambao watazirejeshe kwa Makamada wa Polisi wa mikoa kabla ya tarehe 17.03.2014. Wahitimu wa kidato cha nne wasijaze fomu hizi walishajaza kupitia “selform” walizojaza walipokuwa shuleni.  MASHARTI KWA MWOMBAJI: 1.Mwombaji anatakiwa ajaze fomu hii kikamilifu na abandike picha yake “Passport Size” kwenye fomu kisha akabidhi kwa Mkuu wa Shule kwa hatua zaidi. 2.Kila mwombaji aandike namba ya simu kwa usahihi na anuani yake ya kudumu ambayo itatumika wakati wa

ANGALIA PICHA ZA NYUMBA YA KAPTENI WA NDEGE YA MALYSIA ILIYOPOTEA NA ABIRIA 227 POLISI WAIFUNGA NA WANAFANYA UCHUNGUZI

Image
Compound: A view of the entrance to Zaharie Ahmad's residence. Police have been stationed outside for the last week Officers are said to have spent two hours searching the pilot's home today inside the luxury compound Luxury: Shah is said to live at the property with his wife Faisa In Shah's house a flight simulator has been set up and is understood to have interested police following up one line of investigation - that he had used the equipment to practice making his real-life Boeing 777 ‘invisible’ by turning off all communications. Today, a police van with a large contingent of officers inside passed through a security gate at the entrance to the wealthy compound where father-of-three Captain Zaharie Ahmad Shah lives with his wife Faisa. Four plain-clothed police officers were also, reportedly, seen at the home of the other pilot Fariq Abdul Hamid, 27. Both pilots live in the upmarket Kuala Lumpur district of Laman Seri, abou

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA AIRTEL

Image
Vacancies at Airtel Tanzania ,  Airtel is the 4th largest telecoms Company in the world.  In Africa, Airtel has over 42 million customers and aims to attract more than 100 million customers across the continent by 2013.  Airtel Tanzania is a dynamic company that offers excellent career paths for talented and motivated people. We are looking for suitably qualified candidates to fill the following positions:- Position Title: Senior  Network Optimization and Quality Engineer Reporting To: Network Optimization & Quality Manager  Location: HQ, DSM Job Purpose: Optimization of the in-country 3G network for Airtel Tanzania, in conjunction with the Strategic Partners to meet the Key Performance Indicators (KPIs) Key Accountabilities: Monitor 2G/3G Network Quality parameters and  recommend on Key Performance Indicators (KPI’s) Perform and process drive tests log files and Layer 3 analysis and produce a report with optimization recommendations to improve