ANGALIA MAJINA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14





OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA 

MITAA (OWM - TAMISEMI)

AJIRA MPYA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA 

MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14. 

A: OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI INATANGAZA ORODHA 

YA WANACHUO WAHITIMU WA MAFUNZO YA UALIMU KAMA 

IFUATAVYO:- 
i. Walimuwa Cheti (Daraja IIIA) kwa ajili ya shule za msingi 17,928 
ii. Walimu wa Stashahada kwa ajili ya shule za sekondari 5,416 
iii. Walimu wa Shahada kwa ajili ya shule za sekondari 12,677 
Walimu hawa wamepangwa katika Halmashauri na shule za mazoezi za 
vyuo vyaualimu Tanzania Bara. 
B: Kila Mwalimu ( Ajirampya) atatakiwakuzingatiayafuatayo:- 
1. Kuripoti 
tarehe01/04/2014kwenyeofisizaWakurugenziwaHalmashaurikwaajili
yakupangiwa vituo vya kazi na kuanza kazi.
2. Mwalimu atatakiwa kuwa na vyeti vyake halisi vyachuonaSekondari 
3. WalimuambaoniwaajiriwawaSerikaliwaliokuwawanajiendelezakieli
muwanatakiwakurudikwawaajiriwaoilikuendeleanakazi 
4. Fedhazakujikimuzasikusaba (7) 
nanaulikwawalimuwapyazimetumwakatikaHalmashauriwalikopang
wawalimu. Hivyo, kilammojaaripotikatikaHalmashaurialiyopangwa 
5. Mwalimuambayehataripotiifikapo tarehe 10/04/2014 hatapokelewa 
tena na atakuwa amepoteza ajira yake. 
Ingia link hizi hapa chini





Comments

Popular posts from this blog