ANGALIA PICHA MKE WA MTU AFUMANIWA AKINGONOKA NA SHEMEJI YAKE
Ujira wa usaliti ni aibu kubwa! Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Baba Anorld almaarufu Ngosha, amedai kumfumania laivu mkewe, Anjela ‘Mama Anorld’ akiwa chumbani na shemeji yake aliyetajwa kwa jina moja la Paulo. Tanganyika jeki: Mtuhumiwa Paulo akiwa kakamatwa Tanganyika jeki baada ya kunaswa. Fumanizi hilo lilitokea usiku wa kuamkia Jumatano wiki hii, nyumbani kwa wanandoa hao huko Vingunguti-Mikoroshoni, Dar baada ya Ngosha kumwekea mkewe huyo mtego. Ilielezwa kuwa awali, Ngosha alikuwa akishirikiana na Paulo kwa mambo mengi na hakuwa na shaka naye lakini kuna siku moja majirani walimwambia ‘Oyaaa…babu shtuka mali zako zinaliwa, tena kikulacho ki nguoni mwako’. Mtu na shemeji yake: Paulo na Anjela ‘Mama Anorld’ baada ya fumanizi. Ilielezwa kuwa baada ya kuambiwa maneno hayo alitafakari lakini akashindwa kupata majibu hadi pale alipotamkiwa kabisa kuwa jamaa yake anamsaliti kwa mkewe. Ngosha alisema katika uchunguzi wake, wapambe walim