MAJINA YA WALIOITWA KAZINI SERIKALINI

OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA
UMMA

Kumb. Na EA.7/96/01/E/33 11 Februari, 2014
KUITWA KAZINI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda
kuwaarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 06
hadi 29 Januari, 2014 kuwa walioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu
usaili na wanatakiwa kuripoti kwa Waajiri wao kama ilivyooneshwa katika
tangazo hili.


Wanatakiwa kuripoti vituo vya kazi wakiwa na vyeti halisi (Original
Certificates) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili
vihakikiwe na Waajiri kabla ya kupewa barua ya ajira. Barua za kuwapangia
vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao.
Aidha, kwa wale ambao majina yao hayakuoneka katika tangazo hili
watambue kuwa maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba mara
nafasi za kazi zitakapotangazwa tena.

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD MAJINA
*******************

Comments

Popular posts from this blog