Posts

MEYA WA BUKOBA AJIUZULU RASMI LEO BAADA YA RIPOTI YA CAG KUMBANA,SOMA RIPOTI HIYO HAPA

Image
Viongozi wote wako ukumbini,mbunge namuona mh mshashu,madiwani wote wapo.ukumbi umejaa,dc antangaza kwamba wananchi wake njee ni mkutano wa ndani,wanakubali,kwamba wasipige kelele,napata taarifa kwamba polisi wako nje wanalanda landa viongozi wanaingia,muda wowote watasoma,tusikilize Wabunge wanajitrambulisha na ras anatoa taarifa hii. RAS kagera mnambila, anawakaribisha naibu TAMISEMI Mwanry na mkaguzi mwenyewe utoh wako mbele. Ansema ni maelekezo ya waziri mkuu kufanya ukaguzi maalum na kupokea maelekezo yta serikali juu ya uakaguzi huo. Walioalikwa-kutoka manispaa ya bukoba na wabunge Mwanry anamwakilisha waziri mkuu, Utouh ameambatana na Bw Mero, Bi Mwadawa, Bw Nkinja, Bw Sabuni ambao wameshiriki kufanya ukaguzi bukoba mjini,hii ni taarifa inatolewa na mmoja wa maafisa,Bw rweyemamu ndiye anatoa taarifa hii. RC anamkaribisha Utoh kuongea Taarifa ya Utoh Waziri mkuu alituomba tufanye ukaguzi maalum, Mwaka 2013 tulifika bukoba na kufanya kika

Kaburi lafukuliwa, maiti aachwa mtupu

Image
Wakazi wa Kijiji cha Ilagala mkoani hapa,wamepatwa na bumbuwazi baada ya kukuta kaburi limefukuliwa na maiti ikiwa tupu bila sanda. Tukio hilo limetokea Januari 14, 2014 katika Kijiji cha Ilagala Wilaya ya Uvinza mkoani hapa ambapo wakazi hao walistaajabu baada ya kukuta maiti ikiwa haina sanda. Shuhuda wa tukio hilo Abdallah Shaban ambaye ni ndugu wa marehemu ambaye pia ni Mwenyekiti wa SACCOS ya Mwangu kijijini hapo alisema, marehemu alizikwa Januari 13, 2014 katika maeneo ya Malalo yaliyopo pembezoni mwa soko la Ilagala lakini na baada ya hapo walipoenda Januari 14, 2014 kwenye eneo hilo kwa ajili ya maziko ya marehemu mwingine walishangaa kuona kaburi limefukuliwa huku maiti akiwa mtupu. Shabani alisema, tukio hilo ni la kwanza kijijini hapo na kwamba kufukuliwa kwa kaburi hilo kunaonyesha kulifanywa na watu. Naye baba mdogo wa marehemu, Issa Salum alisema, tukio hilo ni la mwaka kijijini hapo ambapo polisi wa Kituo cha Ilagala waliamuru kuf

DIAMOND PLATINUM SASA ANA PUSH V8 KAMA LA MAWAZIRI ....

Image

MISS TZ NA DEMU WA PREZOO WACHUANA KUTUPIA PICHAZZ ZA UTUPU ... JIONEE MAJANGAZ LIVE

Image
  MREMBO aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’ ameonekana kuchuana na demu wa zamani wa mwanamuziki Jackson Makini ‘Prezzo’, Huddah Menroe kwenye ishu ya kupiga picha za utupu. Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’. Huddah Menroe. Hamisa ambaye hivi karibuni alipata zali ya kupamba jarida moja la burudani nchini Kenya kwa picha iliyo kinyume na maadili, anadaiwa kupiga picha nyingi za kihasara huku ikielezwa kuwa, kwa Kenya sasa anachuana na Huddah. Hamisa. Huddah. “Unajua kwa huku Kenya Huddah anasifika kwa picha chafu, sasa hizi alizopiga Hamisa zimemfanya Huddah naye kutupia yake nyingine ya utupu, yaani ni kama wanachuana vile,” alisema mmoja wa wadau wa burudani aliyejitambulisha kwa jina la Japhet. TUPIA MAONI YAKO ! USISAHAU KULIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK

HIVI NDIVYO H.BABA ALIVYOSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA...TAZAMA MAPICHA HAPA!!!

Image
H.Baba na mke wake, Florah Mvungi wakilishana keki.     Florah Mvungi akiwa na mtoto wake Tanzanite. H.Baba akimlisha keki mama yake.   Mke wake H.Baba, Florah Mvungi  akiwa ameshika keki ya bethidei. H.Baba akiwa na mtoto wake. Florah Mvungi akimlisha keki mtoto wake Tanzanite. Jana tarehe mtu mzima H.Baba msanii kutoka kule Mwanza alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa na familia yake nikimaanisha mke wake na mtoto wao mpya anaitwa Tanzanite pamoja na mama mzazi wa HBaba na wadogo zake wa mwisho.

MAJANGA:. MAMA ATELEKEZA WATOTO JIJINI DAR, AENDA KUOMBA

Image
Watoto walioachwa na mama yao wakiwa wamelaa eneo la makutano ya barabara ya Zaramo na Jamhuri jijini Dar. KATIKA hali ya kusikitisha kamera yetu mchana huu imenasa picha za watoto waliosemekana kuwa mama yao aliwaacha na kwenda kuombaomba katikati ya jiji la Dar es Salaam. Watoto hao walioonekana kuwa na njaa kali walikutwa katika eneo la makutano ya barabara ya Zaramo na Jamhuri jijini Dar. Mpaka mwanahabari wetu anaondoka eneo la tukio mama huyo alikuwa bado hajarudi na haikujulikana atarudi saa ngapi. (PICHA / HABARI: HARUNI SANCHAWA / GPL)

Kampuni toka Uholanzi yaingia mkataba na mabasi yaendayo kasi dar

Image
  KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa),Bwana Jumane Sagini akiongea na waandishi wa habari muda mfupi mara baada ya kusainiwa mkataba wa kusimamia mradi wa mabasi yaendayo haraka kati ya Wakala wa Mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam (DART) na Kampuni ya Uholanzi ya REBEL Group jijini Dar es Salaam jana. Wengine kulia ni Kaimu Afisa Mkuu wa DART, Bi. Asteria Mlambo na Mshauri wa Masuala ya Fedha wa REBEL Group, Bw.Jeroen Kok (kushoto). Kaimu Afisa Mkuu wa DART, Bi. Asteria Mlambo(kulia) akibadilishana nyaraka za makubaliano na Mshauri wa Masuala ya Fedha wa REBEL Group, Bw.Jeroen Kok (kushoto) muda mfupi baada ya kusaini mkataba jijini Dar Es Salaam jana anayeshuhudia katikati ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa),Bwana Jumanne Sagini. Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam  MRADI wa mabasi yaendayo kasi umepiga hatua nyingine kubwa baada ya kupatikana kwa kampuni ya washauri kutoka Uholanziy

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF. SOSPETER MUHONGO AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA WINCH ENERGY TANZANIA

Image
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Winch Energy Tanzania akiwasilisha mada mbele ya Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo (aliyekaa upande wa kulia) kwenye ukumbi ulioko kwenye ofisi   za Wizara ya Nishati na Madini. Lengo la kikao hicho lilikuwa ni kampuni ya Winch Energy Tanzania kutambulisha majukumu yake ikiwa ni pamoja na kusambaza umeme wa nishati ya jua. Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter  Muhongo akisisitiza jambo katika kikao hicho.

SHOGA AWEKA HISTORIA BONGO

Image
Stori: Imelda Mtema na Shani Ramadhani KATIKA tukio linalochukuliwa kama ni la kihistoria kuwahi kutokea katika miaka ya karibuni, shoga wa Jijini Dar es Salaam, Amos Hamis, maarufu kama Anti Asu, aliyeokoka Agosti mwaka jana, ametangaza nia ya kutaka kuoa katika Kanisa la TAG, Magomeni wiki iliyopita. Amos Hamis, maarufu kama Anti Asu akimvisha pete mpenzi wake. Amosi alimvalisha pete ya uchumba, Astrida Samatha baada ya kukamilisha taratibu zote za mila  na desturi za ukweni na hatimaye kupewa ruksa ya kumuoa. Mara baada ya misa ya pili kumalizika katika kanisa hilo, Amos alimvisha pete mchumba wake huyo na kusababisha nderemo na vifijo kutoka kwa waumini wa kanisa hilo, ambao waliahidi kuchangia baadhi ya gharama wakati wa harusi yao. Anti Asu akipozi na mpenzi wake. Akizungumzia suala hilo, Amosi ambaye ni maarufu sana jijini Dar es Salaam enzi zake akijishughulisha na mapenzi ya jinsia moja, alisema: "Siamini na wala sikuwahi kufikiria kama nitakuja kuwa na

KUFURU LA BIRTHDAY BASH LA SHAMIM AT SERENA HOTELI ILIKUWA NI BALAAAH LIVE!!

Image
hhahahahh chezeaaa paparaziiii instagram timeee lol organiser of the shamim's surprise dinner Super Model Flaviana Matata. Cake time shamim and Hubby The Birthday girl was Dressed by EVE COLLECTION PHOTOGRAPHERS: Martin & chigyver . Credits & Source:  GYVER LA TREND BLOG