Posts
KATIBA: MWELEKEO MPYA KUJULIKANA LEO
- Get link
- Other Apps
Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakitia saini Rasimu ya Pili ya Katiba juzi. Rasimu hiyo itakabidhiwa leo kwa Rais Jakaya Kikwete na Rais Ali Mohamed Shein, Karimjee, Dar es Salaam. Picha ya mtandao. Dar es Salaam. Swali la nini kilichomo katika Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya litajibiwa leo wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba itakapokabidhi rasimu hiyo kwa Rais Jakaya Kikwete pamoja na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein. Rasimu inayosubiriwa kwa hamu na wananchi wa kada zote itatolewa ikiwa imepita miezi saba tangu tume hiyo ilipotoa Rasimu ya Kwanza ya Katiba ambayo ilijadiliwa na kuboreshwa katika Mabaraza ya Katiba yaliyoketi kuanzia Julai 12 mpaka Septemba 2, mwaka huu. Tume hiyo iliyoanza kazi Mei 3, 2012 kwa kukusanya maoni ya wananchi, iliandaa rasimu ya kwanza iliyotangazwa Juni 4, mwaka huu. Hafla ya kukabidhi rasimu hiyo itafanyika leo saa 6.00 mchana katika Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali
LAANA!!! MAUNDA ZOLLO APIGWA PICHA ZA UTUPU AKIWA GEST...AIBU ANGALIA PICHA HAPA
- Get link
- Other Apps
KANGA MOKO HII IMEZIDI JAMANI, NI SHIDAA TUPU .... JIONEE MWENYEWEEEE MA LAANA HAYA YA DUNIA
- Get link
- Other Apps
WASANII WETU SASA WAMEZIDI ... KUACHIA MOVIE HII ILIYOJAA LAANA TUPU
- Get link
- Other Apps
HII NDIO SAFARI YA MWISHO YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU SELINA MAKINGA ALIYEKUWA MFANYAKAZI WA CBE DODOMA
- Get link
- Other Apps
Wafanya kazi wa chuo cha CBE wakiwa kwenye msiba wa marehemu Selina Makinga area 'A' wakisubiria kutoa heshima zao za mwisho kabla ya kusafirisha mwili huo kwao Iringa Ndugu, Jamaa na Mrafiki wa marehemu Rais wa COBESO Mhe, Remidus akiwa kwenye msiba wa marehe Selina Makinga , akiwa anahesabu hela ya kutoa rambirambi kiasi kilichofikia Tsh. 78,000/= Familia ya marehemu wakiwa upande mmoja baada ya Padree kuongoza Misa Takatifu ya marehe Selina Makinga Baadhi ya Wakristo wakishiriki kupokea ekaristi Takatifu Marehemu akinyunyiziwa maji ya baraka kwa ishara ya imani yake aliyebatizwa kwa maji ya baraka Muda wakuaga mwili wa marehemu Mama akiangusha kilio baada ya kuaga mwili wa marehemu Mwalimu Ndunguru wa CBE Dodoma akitoa heshima yake ya mwisho kwa marehemu Rais wa COBESO Mhe, Remidius M. Emmanuel akitoa heshima yake ya mwisho kwa marehemu Naibu waziri wa Fedha Mhe, Simba akitoa heshima yake ya mwi