Posts

MAMA MZAZI NA MWANAYE WAFUMWA WAKINYONYANA NDIMI a.k.a DENDA

Image
SAWA anamkiss mama yake mzazi lakini hapa hatuelewielewi kinachoendelea? Busu hilo linatupa maswali mengi sana kichwani...! Alafu cheki alichokiandika hapa chini, Mmh...?

DIAMOND ATOA MSAADA KWA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU, BUGURUNI

Image
  Maisha yetu wengi ni ya mikiki mikiki ya hapa na pale ya kutafuta..nimekuwa bize mwaka mzima ..lakini siku  yangu ya leo baada ya Swalt Ijumaa niliitumia  kujumuika na watoto waishio kwenye mazingira magumu kilichopo  Buguruni ambapo nilipata wasaa wa ..kula nao pamoja ,kucheza..kubadilishana mawazo. .lakini pia kutumia nafasi hiyo kuwaonyesha kwa mara ya ,kwanza kabisa,video yangu ya number 1 remix niliyoifanya na Davido . .nimefanya hii kwa  sababu ,hawa ndio mashabiki wetu wakubwa. mara nyingi show zetu tunafanya usiku..mda ambao watoto  hawaruhusiwi na ukizingatia watotot  hawa ,wanaishi katika mazingira ambayo hawawezi  kuhudhuria maonyesho yetu hivyo leo nimeamua kwa mara ya kwanza niwaonyeshe  wao kwanza,kabla sijaisambaza kwa wananchi wote...lingine  la mhimu ni kwamba..mwezi huu tarehe  25..nimeandaa onyesho maalum pale Readers  club kwa ajili ya watoto wote amb