Posts

SAFARI YA KINANA, MAKAMBO-DAR KWA TRENI

Image
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akipanda behewa na wasaidizi wake, Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiani wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro (katikati) na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (juu), wakati yeye na msafara wake waliposafiri kwa treni kwa zaidi ya saa 22, kutoka Stesheni ya Makambako na kuwasili Dar es Salaam, saa 12, 30,  Desemba 9, 2013,  kwa  teni ya Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA), mwishoni mwa ziara yake ya zaidi ya siku 22, ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za Wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua, katika Mikoa ya Mtwara, Ruvuma, Mbeya na Njombe. Treni ilitoka Makambako jana saa 2.30 asubuhi.  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akishuka kwenye behewa  na wasaidizi wake, Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiani wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro (katikati) na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (juu), kukagua stesheni ya Mlimba, mkoani Morogoro, wakati yeye na msafara wake waliposafiri

ANGALIA PICHA: HAWA NDIYO WATOTO WAKIKE WA MAREHEMU NELSON MANDELA.

Image
Mandela's daughter Makaziwe MZindzi Mandela seen leaving her hotel on December 6, 2013 in Londonandela-Amuah, centre, and her daughters Tukwini and Ndileka, right,  USISAHAU KULIKE UKURAS AWETU WA  FACEBOOK

ANGALIA PICHA: HAWA NDIYO WATOTO WAKIKE WA MAREHEMU NELSON MANDELA.

Image
Mandela's daughter Makaziwe MZindzi Mandela seen leaving her hotel on December 6, 2013 in Londonandela-Amuah, centre, and her daughters Tukwini and Ndileka, right,  USISAHAU KULIKE UKURAS AWETU WA  FACEBOOK

MSHINDI WA TUSKER PROJECT FAME MWAKA HUU

Image
Mshiriki Hope toka Burundi amejikuta akianguka chini kwa mshituko wa furaha ulimkuta baada ya kuibuka kidedea kwa kutangazwa mshindi wa Tusker Project Fame na kujinyakulia kitita cha Shilingi 5,000,000/= za Kenya. Mashindano hayo yaliyomalizika Jana yamemwacha Hope katika taharuki huku akiwabwaga wenziye; Hisia (Tanzania), Patrick (Rwanda),Wambura (Kenya), Daisy (Uganda),Amos & Josh wa Kenya. Sauti ya pekee ya kijana huyo imeibua thamani yake katika tasnia ya muziki,Hope hakuwahi kufanya video shooting ya wimbo wowote zaidi ya ule uliompatia ushindi wa Tusker.

MEZA YA MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 04.12.2013

Image
MAGAZETI YA UDAKU . . MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI  

JE! NI KWELIWANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA HAWANA UELEWA WA MAMBO IWE SHULE,OFISINI NA HATA KATIKA MAISHA YA KAWAIDA,KWELI?

Image
 Huyu dada kwa kumtazama tu kwanza alivyokaa comfidence yake ipo nyuma yake,haonekani kama anazingatia changamoto zilizopo mbele yake ana chojali ni hicho kilichopo nyuma... Mimi kiukweli sijui hili kiundani ila watu walikuwa wanabishana ofisini kwamba Wanawake wenye makalio makubwaaa hawana uelewa wa mambo.Kuna makalio makubwaaa,ya katikati na ya kawaida...ila wale wenye makalio makubwa...inasemekana wanajiamini sana kiasi kwamba wanakuwa hawajipi nafasi ya kusoma,kudadisi na kujua mambo mapya na yanayoendelea duniani...wanajiamini tu na makalio yao...eti ni kweli?????samahani kwa nitakae mkera ila nataka tu kujua.... TUPIA MAONI YAKO HAPA, NDUGU MSOMAJI? NA USISAHAU KULIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK

HIZI NDIZO SABABU ZINAZOSABABISHA MWANAUME KUKIMBIWA NA WANAWAKE...!

Image
  1. Wakikosa attention yako.  Wasichana hupenda pale wanapofahamu kuwa unawasikiliza na unafahamu nini wao wanahitaji. Kama kutakosekana mawasiliano mazuri na atagundua hilo atauona uhusiano huo haumtimilizii haja zake. Hata kama kila kitu kinaenda sawa. Msikilize anapoongea. Kama akiona hapati penzi analolihitaji atatafuta mwingine ambaye yupo tayari kumtimizia. 2. Kumuheshimu.  Msichana huwa anajitoa sana awapo katika mahusiano hivyo anategemea mvulana uheshimu hata kwa chochote kidogo anachokufanyia. Mfanye agundue kuwa umeheshimu kile ambacho amekufanyia. 3. Usaliti.  Unaposaliti inamaanisha kuna kitu hakipo sawa katika mahusiano yako hata kama una uwezo wa kushughulikia lakini wewe unaona njia sahihi ni kutoka nje kuwa na mahusiano na msichana mwingine ukidhani ndio unarekebisha. Pale msichana wako akikukamata unamsaliti fahamu hawezi kuvumilia naye atakuacha. 4. Ukosefu wa hisia za kimapenzi.  Msichana hupenda kuona kuwa wanapendwa wanathaminwa na

KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA MTOTO AMFUMANIA MAMA YAKE AKIJIUZA JIJINI DAR...! PICHA ZA TUKIO HIZI HAPA

Image
Na Issa Mnally na Richard Bukosi SHABAASH! Kijana aliyefahamika kwa jina moja la Hamis mkazi wa Tandale jijini Dar, hivi karibuni alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kumfuma mama yake mdogo akijiuza usiku. Tukio hilo la kufedhehesha lilitokea usiku wa kuamkia juzi (Jumatano) maeneo ya Sinza Mapambano ambapo mapaparazi wetu walikuwa katika operesheni ya kuwasaka wanawake wanaojihusisha na biashara hiyo haramu. Wakiwa maeneo hayo, waandishi wetu walimuona kijana mmoja akiwa amejiinamia baada ya kumfuata na kumhoji kilichompata, alidai kuwa alipewa taarifa juu ya mzazi wake huyo aliyemtaja kwa jina la mama Husna kujiuza na siku hiyo alimuona akiwa kwenye mawindo. “Jamani niacheni maana nilichoshuhudia kimeniumiza sana…mama yangu anafikia hatua ya kuja kijiuza huku?...amekosa nini…au ni huu ugumu wa maisha dah…?” Alisikika kijana huyo aliyekuwa akilia. Katika kuthibitisha kile anachokizungumza, Hamis aliwaonesha waandishi wetu kundi la wanawake waliokuwa ‘so