Wasichana hupenda pale wanapofahamu kuwa
unawasikiliza na unafahamu nini wao wanahitaji. Kama kutakosekana
mawasiliano mazuri na atagundua hilo atauona uhusiano huo haumtimilizii
haja zake. Hata kama kila kitu kinaenda sawa. Msikilize anapoongea. Kama
akiona hapati penzi analolihitaji atatafuta mwingine ambaye yupo tayari
kumtimizia.
Msichana huwa
anajitoa sana awapo katika mahusiano hivyo anategemea mvulana uheshimu
hata kwa chochote kidogo anachokufanyia. Mfanye agundue kuwa umeheshimu
kile ambacho amekufanyia.
Unaposaliti inamaanisha
kuna kitu hakipo sawa katika mahusiano yako hata kama una uwezo wa
kushughulikia lakini wewe unaona njia sahihi ni kutoka nje kuwa na
mahusiano na msichana mwingine ukidhani ndio unarekebisha. Pale msichana
wako akikukamata unamsaliti fahamu hawezi kuvumilia naye atakuacha.
Msichana hupenda kuona kuwa wanapendwa
wanathaminwa na wapenzi wao wanawajali sasa wakiona kuwa hakuna
conection ya hisia za kimapenzi kutoka kwa mvulana wake huona kuwa
hakuna mapenzi ya kweli katika uhusiano aliopo
Popular posts from this blog
PICHA ZA UTUPU ZILIZOPIGWA NA MWANAFUNZI WA UDOM ILI KUTANGAZA SOKO LA MWILI WAKE. TAZAMA HAPA
Msichana aliyefahamika kwa jina la Seche Mautamu, amebainika kujiuza kupita mtandao wa kijamii wa facebook kwa kuweka picha zake za utupu. Chini ni picha zake alizozisambaza mtandaoni kupitia account yake ya facebook. Ukienda kwenye profile yakenenda kwenye About utaona AMESEMA anasoma UDOM! - See more at: http://shiladeux.blogspot.com/2014/03/picha-za-utupu-zilizopigwa-na.html#sthash.f2P9nVLX.dpuf

Comments
Post a Comment