Posts

MEZA YETU YA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 28.11.2013

Image
MAGAZETI YA UDAKU LEO . MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

WASTARA NDANI YA PENZI ZITO ZITO

Image
Juzi na jana kulikuwa na habari katika gazeti na mitandao mingi kuwa Wastara na Bond Bin Suleiman ni wapenzi na wamekuwa wakifanya siri sana huo uhusiano wao. Habari ambazo zilinukuu chanzo kimoja zilieanda mbali zaidi zikisema huenda Bond ana tabia ya kufanya mapenzi na mwanamke kotekote kwani aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Lulu Semagongo(Anti Lulu) alidaiwa kuwahi kukaririwa akisema kuwa anapenda sana kufanya mapenzi kinyume na maumbile na hawezi kuacha tabia hiyo. Baada ya habari hizo kusambaa ilibidi blog yetu kuwatafuta mastaa hao wawili na wa kwanza kupatikana alikuwa ni Wastara na alikana kuwa katika penzi na Bond ila alisema wanafanya kazi pamoja kwani kwasasa wanashuti filamu mpya ya Bond inaitwa Uaminifu Dhaifu. Aliongeza kwa kusema kuwa Bond ni kama kaka yake. "sina mahusiano na Bond zaidi ya kikazi tu na zile picha zote ambazo unaziona ni wakati tupo location tukiandaa filamu yake inaitwa Uaminifu Dhaifu, huo ndiyo ukweli, bora mume wangu angekuwepo h...

ONA JINSI AMBAVYO WASANII WA BONGO MOVIES WANAVYOMWAGA MAUTUPU YAO LIVEEE .... YAKO MACHO TU HAPA KUJIONEA

Image
          Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa ameanika sehemu zake za siri.   Shilole akiwa ameacha sehemu zake nyeti.

ANGALIA NAFASI ZA KAZI KUTOKA SERIKALINI .ZIPO NAFASI 2,748.

Image
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawatangazia watanzania wenye sifa na uwezo kujaza jumla ya nafasi wazi za kazi 2,748 kwa ajili ya waajiri mbalimbali Nchini. Kwa mujibu wa Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi nafasi hizo za kazi ambazo zinapatikana katika tovuti ya Sekretarieti ya Ajira ambayo ni  www.ajira.go.tz  ni kwa ajili ya waajiri mbalimbali wa Ofisi za Umma. Daudi alitaja nafasi za kazi zinazotangazwa kuwa ni :- Afisa Uvuvi daraja la ii, Mvuvi msaidizi daraja la ii, Afisa Mifugo msaidizi daraja la ii, Afisa mifugo daraja la ii, Mteknolijia wa  samaki daraja la ii, Daktari wa mifugo daraja la ii,Afisa utafiti Mifugo daraja la ii, Daktari utafiti Mifugo daraja la ii, Fundi sanifu Maabara Mifugo daraja la ii, Mkufunzi Mifugo daraja ii, Mkufunzi wa Mifugo msaidizi na Daktari Mifugo. Kada nyingine ni Mkufunzi daraja la ii, Mtekinol...

HII NDIO HABARI KUHUSU GARI JIPYA KABISA LINALOJIENDESHA LENYEWE:

Image
Taarifa ikufikie kutoka Samukawa, Kanagawa Japan ambako stori kwenye headlines ni kampuni ya Nissan kupata furaha kubwa baada ya kufanikiwa kwa jaribio la gari walilolitengeneza ambalo linajiendesha lenyewe. Unaambiwa limetembea umbali wa kilometa 2.3 likijaribiwa kwenye mikikimikiki ya aina mbalimbali barabarani kama vile kuovertake, kufata alama za barabarani, taa za kuongozea magari na hata sehemu za watu kuvuka barabara. Nissan wamesema wanalengo la kuanza kuliuza hili gari miaka saba kutoka sasa, hiyo itakua mwaka 2020 ambapo gari hili lina kamera maalum pamoja na sensors zinazofanikisha kulipa taarifa ya tukio husika kwa wakati huo ndio maana linaweza kufanya kama inavyotakiwa mfano kushika breki, kukanyaga mafuta na vitu vingine. Kingine cha kushangaza, kwa mfano kwenye miji mikubwa ambayo parking ni tatizo unaweza kuliacha likajiendesha lenyewe kwenda kutafuta parking wakati wewe unawahi mahali alafu ukimaliza shughuli zako unalikuta linakusubi...

ANGALIA PICHA ZA MTOTO MDOGO APASULIWA VIBAYA USONI

Image
  Wakati Dunia ikipinga vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto hapa nchini Bado vitendo hivyo vimeonekana vikiendeleea ambapo MTOTO Mmoja BENSON TOLE mwenye umri wa miaka Mitano mkazi wa Ruhuwiko mjini Songea mkoani Ruvuma, amenusurika kifo baada ya kukatwakatwa kwa kitu chenye ncha kali sehemu za usoni na Mzee mmoja LONGINUS HAULE mwenye miaka 51 akimtuhumu mtoto huyo kumuibi a matunda aina ya Mapera shambani kwake.   EMMANUEL MSIGWA kutoka mjini Songea  Mtoto BENSON TOLE kwa sasa amelazwa katika hospitali ya mkoa mjini Songea katika chumba cha uangalizi maalumu (ICU), Madaktari wanaendelea kunusuru uhai wa mtoto huyu baada ya kupata mashambulio makali ya kucharangwacharangwa na kitu chenye ncha kali sehemu za usoni na mtuhumiwa mmoja LONGINUS HAULE mkazi wa Polisi Lizaboni mjini Songea. Mzee HAULE anatuhumiwa baada ya kumfanyia unyama wa kutosha mtoto huyo na kisha kupoteza fahamu akimtuhumu kumuibia matunda aina ya mapera sh...

Neno Fupi La Leo: Tumekuwa Manabii Wa 'Siku Za Mwisho Za Upinzani..'

Image
" Kipofu akinivamia na kuniumiza, nikakasirika kwa sababu ya maumivu aliyonitia, ni jambo la kibinadamu. Lakini, nikijitoboa macho ili na mimi nimvamie na kumwumiza haitakuwa nimefanya jambo la busara". - Julius Nyerere. Ndugu zangu, Kuna mawili yamenisikitisha ; maandiko ya ndugu yangu Julius Mtatiro na katuni ya ndugu yangu Marco Tibasima. Julius Mtatiro anaandika kwa masikitiko; " Na migogoro yote huwa inafurahiwa na vyama dola" . Julius amezungumzia juu ya migogoro katika vyama vya upinzani inavyoumiza vyama na demokrasia. Namfahamu Julius, nimekaa na kuongea nae mara kadhaa. Ni kijana anayeifikiria zaidi Nchi aliyozaliwa. Najua kuwa yanayotokea yanamwumiza sana. Na katuni ya Marco inajieleza. Inahuzunisha pia.   Na jioni hii kwenye redio ya Ujerumani mtangazaji ameniuliza juu ya hatma ya upinzani kuelekea 2015. Jibu langu; ni mapema mno kuzungumzia ya 2015 kwa kuangalia kinachotokea leo katika Chadema. Lakini, ni ukw...

UTAFITI WABAINI KUWA: "SODA NI SUMU"

Image
*Utafiti wabaini ina kiwango kikubwa cha kemikali hatari mwilini mwa binadamu AFYA za mamilioni ya Watanzania wanaotumia vinywaji vya aina ya soda ipo hatarini, baada ya kugunduliwa uwepo wa chembechembe zenye kemikali za sumu ndani ya vinywaji hivyo, Utafiti uliofanywa na Muungano wa Waandishi wa Habari za Uchunguzi Tanzania (Investigative Journalists Union of Tanzania- IJUTA) pamoja na tafiti zilizofanywa na wataalamu waliobobea katika afya ya umma duniani, umebaini kuwa vinywaji baridi aina ya soda ni hatari kuliko utumiaji wa sigara inayosababisha maradhi ya kansa katika mwili wa binadamu. Kwa mujibu wa utafiti wa wanasayansi mbalimbali duniani, yapo madhara makubwa ya utumiaji wa vinywaji vya aina ya soda katika mwili wa binadamu. Utafiti huo unaonyesha kuwa zipo sababu nane kuu zinazokiweka kinywaji aina ya soda kwenye kun...

ALICHOKIANDIKA MH ZITTO KABWE KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK

Image
Ni post ya facebook kwenye page ya Mbunge huyu wa Kigoma Kaskazini saa nne asubuhi.

MTOTO ARUDISHA PENZI LA MONA, TYSON

Image
                                                    Stori: Imelda Mtema NDOA ya mastaa wa filamu Bongo, George Tyson na  Yvonney Chery ‘Monalisa’ iliyovunjika kitambo, ilirejewa na uhai wa saa kadhaa katika shughuli ya kumpongeza binti yao mpendwa Sonia baada ya kupata kipaimara. George Tyson akimlisha keki Yvonney Chery ‘Monalisa’ wakati wa sherehe hiyo. Mwandishi wetu aliwashuhudia wawili hao wakionekana dhahiri kuweka tofauti zao pembeni na kujali shughuli ya binti yao iliyofanyika Jumapili iliyopita nyumbani kwa mama mzazi wa Monalisa, Suzan Lewis ‘Natasha’,  Yombo –Buza, Dar. Monalisa akimnywesha kinywaji Tyson. Muda wote walionekana wenye furaha na waliketi kwenye meza moja huku Monalisa akionesha ...