Posts

Yafahamu Maneno Yatakayompandisha Hisia Za Mapenzi Yule Umpendae

Image
Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha hisia"nyege" kabla ya kuanza kufanya mapenzi.  Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi!Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano " Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima hukoalipo "Jogoo" awike kidogo! nayeye hawezi kubaki kimy...

ATEMBEZWA MITAANI UCHI BAADA YA KUFUMANIWA

Image
Stori: Makongoro Oging’ WANASEMA za mwizi arobaini, ikiongezeka moja mshukuru Mungu! Novemba 16, mwaka huu ilikuwa siku ya aibu kwa bosi Hussein Shaban (35) kufuatia kudaiwa kufumaniwa katika nyumba ya kiongozi mmoja wa Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Tegeta jijini Dar es Salaam. Hussein Shaban akiwa amevuliwa nguo na kupewa kichapo baada ya fumanizi. Sakata hilo la aina yake lilitokea katika kitongoji cha Nyeishozi, Tegeta kwa kumuhusisha Hussein ambaye ni mfanyabiashara  na mke wa kigogo huyo ambaye jina lake tunalihifadhi kwa sasa. CHANZO CHA FUMANIZI, KUTOWEKA AMANI Akisimulia tukio zima mwanzo hadi mwisho, kiongozi huyo ambaye hakupenda jina lake liandikwe gazetini, alisema miezi miwili iliyopita alianza kuhisi ndani ya ndoa yake kuna jambo lanaloendelea kwa siri baada ya nyumba yake kupoteza amani, mke alibadilika tabia ghafla. Bwana Hussein akitembezwa mitaani. “Siku moja nilikuwa natafuta nyaraka za kazini ambazo nilikuwa nimeziweka kweny...

Pinda afungua Mkutano wa viongozi wa Serikali za Mitaa na Wafanyabiashara wa Tanzania na China

Image
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiimba Wimbo wa Taifa na baadhi ya viongozi wengine kabla ya ufunguzi wa  mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa  Mwalimu  Julius .K. Nyerere jijini Dar es Salaam. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa hotuba ya kufungua  mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa  Mwalimu  Julius .K. Nyerere jijini Dares Salaam. Balozi wa China nchini,  Lu Youqing akitoa hotuba ya kufungua  mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa  Mwalimu  Julius .K. Nyerere jijini Dares Salaam. Baadhi ya wajumbe wakiwa  katika mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China  katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa Mwalimu  Ju...

Mkesha wa Kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Sharo Milionea afariki dunia ulivyokuwa ...

Image
Ilikua ni mwezi november tarehe 26 mwaka 2012 majira ya sa 2 usiku ndipo ziliposambaa taarifa za kifo cha muigizaji na msanii wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo Fleva’ Husein Ramadhan Mkieti ‘SHARO MILIONEA’. Leo tarehe 26 november 2013 familia inafanya kisomo kwa ajili ya kumkumbuku ya Sharo milionea huku nyumbani kwao Lusanga-Muheza,Tanga. Wanafunzi wa madrasa wakiimba kaswida kwenye mkesha huu wa kumuombea marehemu Sharo Milionea Jana tarehe 25 november kulikua na mkesha maalum,Mkesha huu umeambatana na kaswida mbalimbali zinazoimbwa na wanafunzi wa madrasa,Miongoni mwa watu waliohudhuria kisomo hiki ni pamoja na Kitale ambae alikua rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea. Mama mzazi wa sharo milionea katikati ya kitale na rafiki wa kitale millardayo.com imepiga exclusive interview na mama mzazi wa Sharo Milionea pamoja Kitale juu ya kazi zilizoachwa na marehemu Sharo Milionea ikiwemo mikataba mbali mbali na makampuni kama ya Airtel,Azam...

MCHUMBA ALIYEUA NA KUJIUA ILALA, CHANZO PICHA ZA UTUPU

Image
MAPENZI ni sanaa tata sana, inawaumiza wengi, inavunja mioyo ya watu, inakatisha tamaa ya maisha, inaleta umaskini, inasababisha mauaji lakini siyo rahisi kuachana nayo na kwa mantiki hiyo, matukio mengi yataendelea kujiri Christina Newa. Tukio la Gabriel Munisi kuua watu wawili kisha naye kujiua kwa kisa cha mapenzi, ni mwendelezo wa ‘sinema machafuko’ za mapenzi. Nyuma ya tukio hilo kuna mengi yanazungumzwa, ila gazeti hili limenasa habari kuwa picha za utupu na SMS za mapenzi ni chanzo cha kila kitu. Alpha Alfred Newa enzi za uhai wake. NINI HASA CHANZO? Gazeti hili limebaini kuwa tukio hilo la mauaji, lililochukua nafasi alfajiri ya Jumanne iliyopita, chanzo chake ni Gabriel ‘Gaby’, kunasa picha zinazomuonesha mchumba wake, Christina Newa akiwa na mwanaume mwingine. Habari zinaeleza kuwa Gaby alichukua kompyuta mpakato (laptop) ya Christina na kuikagua, ndipo akakuta picha ambazo mchumba wake huyo alikuwa katika hali ya kustarehe na mwanaume mwingine. “Kwanz...

SAFISHA MACHO MTU WANGU WA NGUVU

Image
baada ya uchovu wa foleni sina budi kupunga upepo kwa muda

LADY JAY DEE AMVAA JANUARY MAKAMBA LIVE

Image
Lady Jaydee Lady Jaydee kweli ni Anaconda na sio mtu wa kuchezea kwani ukiingia kichwa kichwa kwenye kumi na nane zake anakumeza na kukupaka live kama huna hoja ya msingi. Hayo yamempata Mbunge wa Bumbuli January Makamba. Angalia alichoandika Makamba hapo chini na jibu la Lady Jaydee ambaye ni mwanamuziki mwenye jina kubwa Afrika mashariki.

MSANII SNURA AFIWA NA KAKA YAKE WA TUMBO MOJA APATWA NA AJALI YA RADI MLANDIZI

Image
 msanii SNURA kafiwa na kaka yake wakuzaliwa nae anaejulikana kwa jina la Yusufu kaka yake wa kwanza kuzaliwa kwa marehemu baba yake mzee Mushi. Msiba huo umetokea Mlandizi baada ya kupigwa na radi kali jana asubuhi wakati marehemu akiwa shambani kwake Mlandizi. SNURA akiongea na blog hii  amesema wanazika leo huko huko Mlandizi mida ya saa kumi jioni.   Mungu alaze roho ya maehemu YUSUFU MUSHI mahala pema peponi. AMIN

MTOTO MIAKA 6 ALAWITIWA, AHARIBIWA!

Image
Stori: Joseph Ngilisho, Arusha   Dunia haina huruma! Mtoto wa kiume ambaye ni denti wa darasa la kwanza mwenye umri wa miaka sita anayesoma katika shule moja ya msingi iliyopo Olasiti jijini hapa, anadaiwa kulawitiwa hadi kuharibiwa vibaya sehemu za siri. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo lililotokea hivi karibuni, inadaiwa kuwa kitendo hicho kilifanywa na kinyozi anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 50. Akizungumza akiwa na shangazi yake  katika Hospitali ya Mkoa, Mount Meru alikolazwa akipatiwa matibabu, mtoto huyo alimtaja mtuhumiwa kwa jina moja la Abuu, mkazi wa eneo hilo ambaye alimrubuni mwathirika huyo kwa ofa ya kumnyoa nywele. Alidai Abuu amekuwa akimfanyia mchezo huo mchafu majira ya mchana au usiku katika nyumba ambayo haijamalizika kujengwa (pagale) na wakati mwingine humzungusha nyuma ya saluni yake. Ilidaiwa kuwa hali ilikuwa mbaya baada ya mtoto huyo kushindwa kutembea na kutokwa na haja kubwa bila ...

Malkia wa nyuki aandika barua kujitoa Simba

Image
Malkia wa Nyuki akiwa ofsini kwake. Na Mwandishi Wetu MALKIA wa Nyuki ameandika barua ya kujiondoa kwenye Kamati ya Utendaji ya Klabu ya Simba kutokana na kuchukizwa na migogoro. Malkia ambaye jina lake halisi ni Rahma Al Kharusi, amethibitisha hilo na kusema aliamua kufanya hivyo kutokana na kukerwa na migogoro ndani ya kamati hiyo. Akizungumza jana kutoka Oman, Malkia wa Nyuki alisema aliamua kujiondoa kwa mambo mawili makubwa ambayo ni migogoro na kukosa nafasi. “Baada ya kumueleza Rage kwamba nimefikia uamuzi huo, ameniomba nibaki kwa kuwa ninahitajika Simba. Kanishauri kwamba niingie katika upande wa baraza la wadhamini. Kwangu naona si mbaya, maana sitakuwa na vikao vya mara kwa mara, lakini bado nasisitiza migogoro si sahihi,” alisema.   “Kwani kama si kuteuliwa katika nafasi hii ya kusimamia mali za Simba, basi nilikuwa nimeshajiondoa kabisa Simba hadi hapo hali itu...

MH. LOWASSA AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA KATA YA SARANGA,KIMARA JIJINI DAR

Image
  Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiburudika kwa kucheza muziki sambamba na wakina Mama wakazi wa Kata ya Saranga,Kimara jijini Dar es Salaam,Mwishoni mwa wiki wakati alipokwenda kuendesha harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya pili ya Sekondari katika Kata hiyo.Zaidi ya Sh. Mil. 100 ziliweza kupatikana kwenye harambee hiyo.  Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipena mikono na Wakazi mbali mbali wa Kata ya Saranga,Kimara wakati akiendesha harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya pili ya Sekondari katika Kata hiyo,iliyofanyika mwishoni mwa wiki.  Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisisitija jambo kwa wananchi wakazi wa Kata ya Saranga,Kimara jijini Dar es Salaam wakati wa harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi...