HAWA NDIO BAADHI YA MASTAR WA BONGO WALIOJITOKEZA KWENYE MSIBA WA BABA WA SUPER STAR WEMA SEPETU!!
Mastaa na marafiki wa karibu na Muigizaji Wema Sepetu wamejitokeza kwa wingi katika hali ya Kumfariji kutokana na kufiwa na baba yake mzazi Balozi ISAAC ABRAHAM SEPETU aliyefariki jana kwa maradhi ya Kupooza aliyougua kwa Muda Mrefu. Msiba upo sinza Mori Nyumbani Kwa Familia Ya Marehemu na marehemu anatarajia kusafirishwa kesho kwa mazishi huko Zanzibar Mjane wa marehemu Mama yake Wema Sepetu wa katikati kabisa Wema Sepetu wa kushoto akiwa na waombolezaji wengine Tunu Sepetu Mtoto wa marehemu wakati kati kabisa Kutoka Kushoto ni Msanii ElizaBeth Michael (Lulu) akifuatiwa na mama wa Msanii Marehemu Kanumba Msanii wa Maigizo Kajala pia yupo msibani Junaithar Pemba na Director Johanna marafiki wa karibu na Wema Sepetu