AIBU: KAMANDA WA CHADEMA AREKODIWA AKIJIELEZA JINSI ALIVYOKUBALI KUCHEZEWA NYETI ZAKE NA KUSAGWA NA JIKE MWENZAKE

Miezi michache baada ya kuvuja kwa video inayomuonesha mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA),Wilfred Lwakatare akidaiwa kupanga mauaji ya mwandishi wa habari,video nyingine ya kamanda wa chama hicho,Linda Bezuidenhout imenaswa live....!! Tofauti na video ya Lwakatare,hii ya Linda inaonesha mambo ya aibu sana ambapo mwanadada huyo amerekodiwa akijieleza NAMNA ALIVYO NUSURIKA KUSAGWA NA MWANAMKE MWENZAKE..... Kwa mujibu wa uchunguzi wetu,Kamanda huyu wa CHADEMA alirekodiwa kwa ridhaa yake kwa lengo la kumfikishia ujumbe huyo mwanam...