Posts

HUU NDO USHAHIDI IKIONYESHA KUWA ODAMA WA BONGO MOVIE HUTOA PICHA ZA UONGO KUA YUPO NJE YA NCHI. TAZAMA PICHA HIZI UJIONEE MWENYEWE

Image
EDITOR WA PICHA HII ALISAHAU KUKATA VIZURI NA KUONDOA BACKGROUND NYEUPE KWENYE ENEO LA NYWELE LILILOZUNGUSHIWA DUARA Kuna habari tumeletewa na msomaji wa tovuti yetu ya bongo movies kumhusu mwanadada wetu muigizaji wa Filamu aliyepata tuzo hivi karibuni, Jennifer Kyaka al-maarufu kama Odama kuhusu safari zake za kwenda nje ya nchi. Habari au tuhuma hizi tuziite, zinasema kuwa mwanadada huyo huwa haendi nje ya nchi kama anavyowaambia fans wake kupitia blog yake ya odama1.blogspot.com kuwa anasafiri kwenda nje kikazi zaidi, na badala yake inasememekana eti huwa anabaki hapa hapa nchini akizuga yupo nje ya nchi lengo ni kutafuta “KIKI” ama umaarufu kama watoto wa mjini wanavyosema. Mdau aliyetutumia habari hizi amesema kuwa ana ushahidi wa kutosha na katutumia picha mbalimbali toka kwenye mtandao mmoja wa kijamii ambako staa huyo yupo zikimuonesha akiwa maeneo mbalimbali ya “duniani huko” ambayo kwa kuangalia picha hizo anasema kuwa ni feki na zimetengen

"SIPO TAYARI TENA KUMVULIA NGUO MR. BOND.".....AUNT LULU

Image
Mwigizaji  wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ amesema yeye na aliyekuwa mpenzi wake, Bond Bin Salim imebaki historia na kamwe hawawezi kurudiana naye  japo  anayajua  mapenzi. Akizungumza na mwandishi  wetu hivi karibuni, Aunty Lulu alisema ameshaamua kujituliza  kwa  mpenzi wake wa sasa  hivyo hata iweje hawezi kurudiana na Bond.   “Jamani kwa sasa mnaona nimebadili kabisa staili ya maisha yangu hivyo Bond atabaki kuwa rafiki kama walivyo marafiki zangu wengine.   “Niliwahi kuachana naye kipindi flani baadaye tukarudiana kutokana  na ukweli  kwamba  ni  mwanaume  anayejua  kupenda  na  anayajua  mapenzi ,lakini hii ya sasa ndiyo imetoka, kamwe siwezi kurudiana naye,” alisema Aunty Lulu. JIUNGE NASI KATIKA FACEBOOK/TWITER KWA HABARI MOTO MOTO ZA KILA SIKU

HII NDIO GARI (FERRARI 599 WRAPPED) ILIYO TENGENEZWA KWA KUTUMIA KITAMBAA CHA SUTI 'VALVET' ICHEKI HAPA

Image

BETTY(ETHIOPIA) ANAWEZA KUSONGESHWA JELA MIAKA 6 KWA KUFANYA NGONO NDANI YA JUMBA LA BBA THE CHASE

Image
: By Njambi Mungai  It would seem that being kicked out of the Big Brother house and having to say goodbye to the man she fell in love with was only just the beginning of   Betty Abera’s   problems. According to online sources and local Ethiopian radio station Ethiopikalink, Betty could be facing six years in jail if the lawsuit being filed against her is successful. During her short stint in   BBA The Chase , Betty from Ethiopia and   Bolt from Sierra Leone   were the first couple to engage in sex in this season’s big brother show. There was massive backlash from the audience and more so the conservative Ethiopians who now saw her as a disgrace to the country.   Now back in her home country, Betty could be hit with a lawsuit for having sex in public which is against the laws of Ethiopia. But we got to wonder, do the bright minds behind the lawsuit really have a case?   Do the laws of Ethiopia extend all the way to South Africa?   And with BBA openly allowing s

MAMA MZAZI WA PROFESA J AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNGONGWA NA GARI USIKU HUU HUKO MBEZI JUU, DAR ES SALAAM

Image
Profesa J akiwa na mama yake mzazi Bi Rosemary Majanjara Haule enzi za uhai wake.   Picha hii ilipigwa April 4, 2008 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam   wakati wa sherehe ya uzinduzi wa albamu mpya ya Profesa J ya 'Aluta Continua' HABARI ZILIZOPOKEWA USIKU HUU NI KWAMBA MAMA YAKE MZAZI MSANII MAARUFU WA MUZIKI NCHINI, JOSEPH HAULE A.KA. 'PROFESA J' AMEFARIKI DUNIA USIKU HUU BAADA YA KUGONGWA NA GARI  MAENEO YA MBEZI JUU, JIJINI DAR ES SALAAM, ALIKOKUWA ANAISHI NA MWANAE. HABARI ZINASEMA MAREHEMU, BI. ROSEMARY MAJANJARA HAULE, ALIGONGWA NA GARI AKIWA ANAVUKA BARABARA KUELEKEA DUKANI KIASI CHA SAA MBILI USIKU, NA KWAMBA BAADA YA KUGONGWA WASAMARIA WEMA WALIMKIBIZA HOSPITALINI TUMBI KWA KUTUMIA BAJAJI AMBAKO ALIFARIKI DUNIA. TAARIFA ZA AWALI HAZIJATAJA AINA YA GARI NA KAMA BAADA YA AJALI HIYO LILISIMAMA AU LA. PROFESA J AMETHIBITISHA  HILO MUDA MFUPI ULIOPITA, NA KUSEMA INAMUIA VIGUMU KUAMINI IMETOKEA KWANI ANASEMA

BABA YAKE JOYCE KIRIA AMEFARIKI DUNIA, MUNGU AMPUMZISHE MAHALI PEMA PEPONI

Image
  BABA MZAZI WA JOYCE KIRIA .. Michael Francis Iwambo Kiria wa kibosho dakau nganyeni amefariki huko mkoani Tanga ambako alikuwa akiishi. Kesho ni safari ya kuelekea moshi kwa ajili ya taratibu za mazishi. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIIMIDIWE

RAIS KIKWETE KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA JKT LEO UWANJA WA TAIFA

Image
Picha za matukio mbalimbali za maadhimisho ya jeshi la JKT yaliyofanyika leo jijini dar es salaam  Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea saluti mara baada ya kuwasili Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam leo tayari kuongoza kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)  Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride katika  Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam leo katika kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)   Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa meza kuu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Shamsi Vuai Nahoda (kulia) na Mkuu wa JKT Meja Jenerali  Samweli Albert Ndomba (kulia kwake)   katika  Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam leo katika kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Baadhi ya askari wa JKT na JWTZ katika sherehe hizo

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO- 2013

Image
   Muhula wa kwanza kwa wanafunzi wa Kidato cha Tano kuanzia mwaka huu 2013 itaanza mwezi Julai.  Wanafunzi wamepangwa katika shule zenye miundombinu na walimu kwa masomo husika.  Aidha, kama baadae upungufu utajitokeza, wakuu wa shule wameelekezwa kufanya taratibu za kuazima walimu wa muda na kutoa taarifa kwa uongozi wa halmashauri husika kuhusu upungufu wa walimu uliopo.  Kwa nafasi hii, ninaagiza wanafunzi wote kuripoti katika shule walizopangwa tarehe 29 Julai, 2013. Kama kutakuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuhamia shule nyingine, uhamisho wa kawaida utafanywa baada ya kuripoti shuleni kupitia kwa mkuu wa shule husika, Mkurugenzi wa Halmashuri/Manispaa na Katibu Tawala wa Mkoa.  ( Wizara haitabadilisha shule walizopangwa wanafunzi) Wanaporipoti wanatakiwa kuwa na:    Original Result slip na Living Cerificate PHILIPO A. MULUGO&(MB)NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI 10 Julai, 2013 WASICHANA.... <<<  BOFYA  HAPA>&

"NITAENDELEA KUPAMBANA NA WABISHI WASIOTAKA KUHAMA ILI KUPISHA MIRADI YA UJENZI"...MAGUFULI

Image
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli ameapa kupambana kwa kuwabomolea au kuwakomesha kwa njia nyingine, watu waliogoma kuhama kwa ajili ya kupisha miradi mbalimbali ya ujenzi inayotekelezwa na wizara yake. Katika hilo, tayari amekwishatangaza uamuzi mzito wa kuruhusu kampuni ya ujenzi ya Jaspal Singh, kujenga barabara kwa kiwango cha lami kwa kuzizunguka nyumba za wakazi waliogoma kuhama na kukimbilia mahakamani akiamini kuwa wataondolewa kwa kugongwa na malori yatakayokuwa yakipita baada ya barabara hiyo kukamilika. Pamoja na hilo, Dk. Magufuli amesema atazibomoa bila kulipa fidia nyumba za wananchi nane waliokataa kufanyiwa tathmini ili kupisha mradi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni, endapo hawatabadili msimamo wao huo. Uamuzi huo aliutangaza jana baada ya kufanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali katika Jiji la Dar es Salaam, ambapo alibaini kuwa miradi mingi inakwamishwa na wananchi wa maeneo husika. Akiwa katika mradi wa ujenzi wa barabara ya Kigog

ZITTO KABWE AWATAKA WANANCHI WAGOME KUILIPA KODI YA SIMU YA SH. 1000.....

Image
AMEDAI KUWA KODI HIYO ILIPITISHWA KINYEMELA Sakata  la  kodi  ya  line  ya  simu  limeendelea  kuwakuna wanasiasa  wetu  ambao  wamekuwa  wakifunguka  kwa  nyakati  mbalimbali  kupitia mitandao  ya  kijamii.... Baada  ya  January  Makamba, Zitto  kabwe  naye  amefunguka  na  kudai  kuwa  kodi  hiyo  ni  batili  na  ilipitishwa  kinyemela  kwa  sababu  ilikuwa  imeshaondolewa.... Huu  ni  ujumbe  wake  aliouweka  katika  account  yake  ya  facebook:   Baada ya  kauli  hiyo,Zitto  Kabwe  aliandamwa  na  maswali  mengi  sana  toka  kwa  wananchi  wakidai  kuwa  "Makamba  alisema  tuwalaumu  ninyi  maana  ninyi  wabunge  ndo  mlibariki  kodi  hii" Zitto  naye  alishindwa  kulijibu  swali  hilo  na  kuwataka  wananchi  "wachukue  simu  zao, wawapigie  wabunge  wao  wawaulize  ni  kwa  nini  walipitisha  kodi  hii"  "Anasema  hiyo  kwa  sababu  wabunge  ndio waliopitisha.Wabunge  ndio  wawakilishi  wa  wananchi.Jambo liki

WEMA SEPETU ANASAKWA NA POLISI BAADA YA KUMTUKANA MENEJA WA HOTELI WAKATI POMBE IKIWA UTOSINI

Image
DIVA wa filamu za Bongo ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu anasakwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kawe, Dar es Salaam kwa tuhuma za kufanya fujo hotelini, kumtukana matusi ya nguoni na kumpiga makofi meneja wa hoteli hiyo, Godluck Kuyumbu. Songombingo hilo lilijiri saa tano usiku wa Jumatano iliyopita kwenye hoteli hiyo  iliyopo Kawe Beach, jijini Dar. Akizungumza na mwandishi wetu , meneja huyo alisema siku ya tukio majira ya saa nane mchana, Wema alifika kwenye mgahawa wa hoteli hiyo akiwa ameongozana na marafiki zake wapatao kumi. Meneja huyo akaendelea kusema, ilipofika  saa tano usiku, Wema na marafiki zake  walionekana kuzidiwa na kilevi, wakaanza kufanya fujo kwa kupiga kelele, kitendo kilichowak era wateja waliokuwa katika mgahawa huo, wengi wakiwa ni Wazungu ambao waliondoka kutokana na fujo hizo. Aliongeza kuwa mmoja wa marafiki wa Wema ambaye ilidaiwa ni mpenzi wake, aliyejulikana kwa jina moja la D, alichukua glasi na kuipasu

HUYO NDO "MELLIS EDWARD" ALIYEKAMTWA NA MADAWA YA KULEVYA AKIWA NA "AGNESS MASOGANGE

Image
Picha  ya  Mrembo Mellis Edward  aliyedakwa  na  madawa  ya  kulevya  Afrika  kusini  akiwa  na  Agness Masogange Mellis Edward Inahisiwa kuwa  huyu mwanamke wa pili aliyetajwa na Kamanda Nzowa kwa jina la “Melisa Edward”   ni mdogo wake na Agnes ambaye katika akaunti ya facebook anayo tumia jina la (MELLIS EDWARD) , Agnes amemuweka katika orodha ya family kama ‘sister’ katika akaunti yake ya Facebook.  Kamanda  Gofrey  Nzowa - Kitengo  cha  Madawa ya Kulevya   Agness Masogange  akiyahesabu  "MAPESA" yake.Picha  hii aliiweka  siku  chache  zilizopita

CHADEMA YAJIPANGA KUIMARISHA KITENGO CHA ULINZI NA USALAMA " RED BRIGADE" ILI KUWAKABILI VIJANA WA CCM WATAKAOLETA FUJO

Image
MUHTASARI Ili kukabiliana na vitendo vya fujo vinavyofanywa na vijana wa CCM dhidi ya wagombea, Wanachama na viongozi wa CHADEMA, Kamati Kuu imeagiza kwamba kitengo cha ulinzi cha Chama “Red Brigade” kiimarishwe zaidi kwa kuhakikisha kuwa vijana wote wa Red Brigade Nchi nzima wanapewa mafunzo maalum ya UKAKAMAVU yatakayoandaliwa katika Makambi maalum katika mikoa yote.  RIPOTI  KAMILI TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAAMUZI YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA KILICHOFANYIKA TAREHE 06-07/07/2013 KATIKA HOTEL YA BLUE PEARL, DAR ES SALAAM. Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ilikutana katika Kikao cha dharura kuanzia tarehe 06-07/07/2013 katika Hotel ya Blue Pearl Dar es salaam kujadili pamoja na mambo mengine Rasimu ya Katiba mpya na hali ya Siasa nchini. Kamati kuu imejadili na kuyatolea maamuzi mambo mbalimbali kama ifuatavyo: 1:0. Hali ya Siasa Nchini. Kamati kuu imepokea taarifa ya hali ya siasa nchini na kuzingatia mambo yafuatayo: a) Shambuli

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI ZA LAANA ZA KUNDI LA BAIKOKO - TANGA

Image
Hizi  ni  baadhi  ya  picha  za  kundi  la  wacheza  uchi / nusu  uchi  maarufu  kwa  jina  la  Baikoko  lenye  maskani  yake Tanga....   Ndugu mtazamaji wetu ukiwa kama ni mtanzania mwenye maadili ya kitanzania ,Je! kweli huu ndo utamaduni tulilofundishwa?       TUPE MAONI YAKO?

"NASUBIRI WAKATI MWAFAKA WA KUMUONYESHA KIKWETE YA KWAMBA MIMI NI NANI".....HILI NI TISHIO LA KIHUNI LA RAISI KAGAME WA RAIS KIKWETE

Image
Nikiwa  katika  upekuzi  wangu, nimeshtushwa sana na kauli za  KIHUNI  za Rais  Paul Kagame  dhidi ya  Rais wetu Kikwete na nchi yetu kwa ujumla.... Rais Kikwete ameepuka malumbano na Kagame kwa  kukaa  kimya , lakini inaelekea Kagame  anadhani ukimya wa Kikwete ni uoga kwake  au labda anatafsiri kuwa anadharauliwa..... Nadhani  huu  ni  wakati  mwafaka  kwetu  sisi  watanzania  kuungana  na  kumuunga  mkono  rais  wetu  juu  ya  huu  UPUMBAVU  wa  Kagame.... Kagame  ni  lazima  atambue  kwamba  watanzania  tupo  tayari  kuilinda  nchi  yetu  kwa  gharama  yoyote  na  kamwe  hatuwezi  kuwa  VIBARKA  wa  Rwanda... Ifuatayo  ni  Kauli  ya  Kihuni  aliyoitoa  Rais  Kagame  Kwa  Taifa  letu: ------------------------------------------------------------- .....“Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with Interahamwe and FDLR and urging negotiations… negotiations?   Me, I do not even discuss this topic, because I will just wait fo

MWANACHUO WA MWAKA WA KWANZA ALAANI KITENDO CHA KUPIGWA "EXILE" NA MADENTI WENZIE

Image
Vitendo  vya  wanafunzi  kupigana  exile ( kumpisha room ili angonoke na mpenzi wake )   vimekuwa  vikishika  kasi  ya  ajabu  katika  hosteli  za  wanafunzi  wa  vyuo  vikuu  mbalimbali ambao  kwao  limekuwa  ni  jambo  la  kawaida...!! Hali  imekuwa  ni tofauti  kidogo  kwa  mwanafunzi  wa  chuo kimoja  hapa  nchini  ambaye  yuko  mwaka  wa  kwanza na anategemea kuingia mwaka wa pili. Akiongea  na  mtandao  huu  kwa  sharti  la  kutotajwa  jina , mwanafunzi  huyo  amefunguka  na kudai  kuwa  Exile  imemuathiri  sana  kisaikolojia.Imemfanya  aishi  kama  mtumwa  huku  taaluma  yake  ikiyumba  kwa  kasi. Hili  ni   simulizi  la  mwanafunzi  huyo:   " Maisha ya shule yana changamoto  nyingi sana.Kwa  mtu  yeyote  ambaye  ni  mcha  mungu  ni  lazima  itamuwia  vigumu  sana  kukabiliana  na  hali hii. "Nasema  hivi  kwa  sababu  ndani  ya  hosteli  huwa  tunaishi  watu   tofauti  wenye malezi  tofauti.Kasheshe  ni  kwetu  sisi  first  year... "