Posts

Image
MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUGONGWA NA TRENI Mwanafunzi  wa chuo kikuu cha Dodoma  anayejulikana  kwa jina  la Boid Mwakitalima  amefariki dunia  baada  kugongwa na treni....Mwanafunzi huyo  alikuwa  mwaka  wa  tatu. Taarifa zinaeleza  kuwa, mwanafunzi  huyo  alikuwa   anatembea pembezoni  mwa  reli huku  akiwa ameweka  "headphone"  sikioni, hali  iliyomfanya  ashindwe  kusikia ama  kuhisi  chochote  juu  ya  muungurumo  wa  treni  hilo  mpaka  lilipomsogelea  karibu  na  kumsukuma  pembeni  ambapo  aliangukia  chuma  na  kuaga  dunia  pale  pale...  Makamu Mkuu wa Chuo kikuu  cha Dodoma Prof.Idrisa Kikula  akiwasili Collage ya Informatics  Mbele  ni Mshauri wa wanafunzi ( dean of student ) chuo kikuu cha dodoma, Nyuma ni mshauri wa wanafunzi, Pro.Anatory  ( dean of students )  collage ya informatics na Katikati ni Makamu mkuu wa chuo cha Dodoma... ------ Baada  ya  ajali  hiyo, mwanafunzi  hu
Image
PICHA ZA NUSU UCHI ZA KUNDI LA "ZE KOMEDI' ZAVUJA'.....HII NI ZAIDI YA AIBU P icha za aibu  zinazowaonesha wasanii wa kundi la Ze Komedi wakiwa kwenye fukwe moja ya huko Kigamboni zimezua balaa kubwa ......  Happy  kabla  hajavua  nguo....   == Mtandao  huu  umefanikiwa  kuzipata  picha  hizi  kutoka  kwa  msomaji  wetu  mpendwa  ambaye  kwa  uzalendo  wake  ametutumia  kwa  njia  ya  email  huku  akielezea  kwa  kifupi  kuhusu  sakata  hilo  la  aibu.....   Happy akichezewa matiti na master Face huku akichekelea Huyu  ni  Happy na Master  Face  wakifanya  Uchafu wao....Hapa  wanatomasana  kabla ya uzalendo kuwashinda  na  kuamua  kuvunja  amri  ya  sita... Vipi  baby....umezidiwa.....!!!! Aibu tupu  == Mdau  huyo  anaripoti  kwamba, kundi  hilo  liliingia  ndani  ya  ufukwe  wa  Chadibwa  na  kuanza  kufanya  mambo  ya  aibu  mbele  ya  watu.....  Wasanii  walioongoza  kwa  mambo  ya  aibu  ni  mdada  mmoja  ali
Image
PICHA YA WEMA SEPETU "AKIPIGWA MATE" NA NJEMBA NYINGINE TENA STAA wa filamu mwenye jina kubwa Bongo, Wema Abraham Sepetu, juzikati alitupia picha yake akiwa kimahaba zaidi na mwanaume aliyedai kuwa ni ‘mume’ wake. Picha hiyo ambayo aliiweka kwenye mtandao wa BBM inamuonesha msanii huyo akibusiana na mwanaume huyo lakini wakionekana kuanzia kwenye kidevu hadi kwenye kiuno. Baada ya kuitupia picha hiyo, Wema aliandika: ‘Miss you mume wangu, wewe ndio kila kitu katika maisha yangu, watasema sana lakini mambo yetu yanatuendea vizuri.”   Maneno hayo yanaashiria kuwa Wema anampenda sana mwanaume huyo ambaye siyo Diamond.

Gadner "Ingekuwa Sijaoa Ningemuoa Venessa Mdee"

Image
MUME wa Legend wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jadee’, Gardner G Habash ‘Kapteini’ aliwaacha watu midomo wazi baada ya kusema kama angekuwa hajaoa, basi angemuoa msanii anayekuja kwa kasi kwenye gemu,

NDEGE ZA PRECISION AIR ZAPIGWA 'STOP' KURUKA AU KUTUA ZANZIBAR.

Image
Moja ya ndege za Precision Air ikiwa angani katika moja ya safari zake. Bodi ya Mapato ya Zanzibar (ZRB), imetoa amri ya kuzuia kutua na kuruka kwa ndege za kampuni ya Precision Air Service Co. Ltd, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar, kutokana na kutolipa zaidi ya Sh bilioni 37.2 zinazotokana na malimbikizo ya malipo ya ada

HUYU NDIO BINTI ALIEPEWA UJAUZITO NA BARNABA!

Image
  mmoja kati ya waimbaji wachache wabongo waliowahi kupata nafasi ya kuimba kwenye stage moja na mkali kutoka Congo DRC Fally Ipupa, BARNABA BOI amezungumzia stori za kumpa binti mmoja mrembo, ujauzito.   akiongea EXCLUSIVE na millardayo.com, amesema “ni kweli na wala sio siri, hii sio bahati mba ya , girlfriend wangu ana ujauzito na Mungu akijalia ndani ya miezi miwili ijayo au mwezi mmoja na nusu atajifungua, ya ni naona kama nimetoa wimbo mp ya tu” – Barnaba   B amesema kiumri hawajapishana sana, “mimi Barnaba nina miaka 22, yeye 21 na tumeanza kuishi pamoja huu ni mwezi wa nane, na uhusiano wetu wa kimapenzi una miaka miwili na nusu sasa hivi na wazazi wanafaham”

HOSPITAL YASHTUMIWA KUSABABISHA KIFO CHA MSANII WA BONGO MOVIEZ JOHN S. MAGANGA

Image
Msanii wa bongo moviez john s masanga amefariki dunia jana saa 4 usiku katika hospital ya mwananyamala kwa kile kilichosemakana kwamba alikuwa ameanguka ghafla katika semina aliyokuwepo kwa ajili ya mambo ya filamu. Akiwa na kina natasha,mama yake monalisa na shija katika hali isiyokuwa ya kawaida ameanguka gafla,na kukimbizwa katika hospital ya mwananyamala hapo ndipo alipopimwa na kuambiwa kuwa alikua na vidonda vya tumbo  na kufanyiwa oparation, baada ya madaktar hao kuona kuwa hali yake imezidi kuwa mbaya wakamwamishia hospital ya muhimbili na huko ndipo alipoendelea kupata matibabu zaid, lakin hali yake ilizid kuwa mbaya na kugundulika kuwa alikuwa na ugonjwa mwengine tofauti na aliokutwa nao hospital ya mwananyamala.   Muhimbili waligundua kuwa alikuwa na ugonjwa wa kujaa maji katika mapafu. ambapo muda wa kutibia ugonjwa huo ulikuwa umeshakwisha mpaka kupelekea kifo chake. marehemu john s maganga ameacha pengo kubwakatika tasnia ya filamu tanzania,marehemu
Image