RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI MSIBA WA MZEE MAARUFU WA CHATO ADMIRABILIS MBABE MANYAMA (82) CHATO MKOANI GEITA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimpa pole Bi
Mugwe Mbabe ambaye ni Mke mkubwa wa Marehemu Mzee Maarufu Admirabilis Mbabe
Manyama(82) mara baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimpa pole Bi. Regina Mbabe mke mdogo wa Marehemu Mzee
Maarufu Admirabilis Mbabe (82) Manyama mara baada ya kuwasili nyumbani kwa
marehemu Chato mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Deodatus Manyama wakwanza (kushoto) ambaye ni mdogo wa marehemu Marehemu Mzee
Admirabilis Mbabe Manyama(82) mara baada ya kuwasili nyumbani kwa Marehemu
Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza na Bi. Mugwe Mbabe mke mkubwa wa Marehemu Mzee
Admirabilis Mbabe Manyama mara baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu Chato
mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini daftari la
maombolezo mara baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu Mzee Admirabilis Mbabe
Manyama (82) Chato mkoani Geita
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza na kutoa pole katika msiba huo wa Marehemu Mzee
Admirabilis Mbabe Manyama mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Chato mkoani
Geita
Mdogo
wa Marehemu Deodatus Manyama kimshukuru Rais Dkt. John Pombe Magufuli mara
baada ya kuwapa pole na kuwafariji kufuatia
msiba wa Mpendwa wao Marehemu Mzee Admirabilis Mbabe Manyama
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiagana na wafiwa katika msiba huo Chato mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka msibani
mara baada ya kutoa pole.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi akitokea katika msiba huo Chato mkoani Geita.PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment