WAZIRI KITWANGA AFANYA KIKAO NA WATENDAJI WAKUU WA JESHI LA POLISI NA WAKUU WA IDARA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akizungumza na
Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi nchini pamoja na Wakuu wa Idara wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji
wa kazi ndani ya Jeshi hilo na Wizara kiujumla. Kikao hicho kilifanyika
katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo.
Wakwanza upande wa kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali
Projest Rwegasira, na wakwanza upande wa kushoto ni Mkuu wa Jeshi la
Polisi, IGP Ernest Mangu. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest
Rwegasira (kulia) akizungumza jambo katika kikao kazi alichokitisha
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) kuzungumza
na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi nchini pamoja na Wakuu wa Idara
wa Wizara yake, kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji wa kazi ndani ya
Jeshi hilo na Wizara kiujumla. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa
Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Wakwanza upande wa
kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu. Picha na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Simba Yahya,
akizungumza jambo katika kikao kazi alichokitisha Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) kuzungumza na Watendaji Wakuu
wa Jeshi la Polisi nchini pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara yake,
kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji wa kazi ndani ya Jeshi hilo na
Wizara kiujumla. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa
Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Kulia kwa Balozi Simba ni Katibu
Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira.Wakwanza upande wa
kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu. Picha na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akimfafanulia jambo Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) kuhusu masuala
mbalimbali ya kikazi ndani ya Jeshi lake katika Kikao kazi cha Watendaji
Wakuu wa Jeshi la Polisi nchini pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, kilichoitishwa na Waziri Kitwanga na kufanyika
katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo.
Wakwanza upande wa kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali
Projest Rwegasira, akifuatiwa na Naibu wake, Balozi Simba Yahya. Picha
zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Comments
Post a Comment