LOWASSA AANDIKA UJUMBE MZITO USIKU WA KUAMKIA LEO BAADA YA PROF. LIPUMBA KUJIUZULU!
Ninapenda
kuwashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama changu, CHADEMA, kwa
kunipitisha kwa kura zote kuwa mgombea wa Urais kupitia muungano wa
vyama vyetu, UKAWA. Kiupekee kabisa napenda kumpa shukrani na pongezi
mgombea mwenza, Juma Duni Haji Kwa kukubali majukumu haya makubwa ya
kuelekea
mabadiliko
makubwa pamoja na Mwenyekiti wetu, Freeman Mbowe kwa kusimama imara
katika kipindi hiki kigumu. Nimewaambia wajumbe wa mkutano mkuu kuwa
natambua kazi wanayofanya ni kubwa na wanajitolea, na kwa umoja wetu,
tutafika kila jimbo na kufanya kampeni za kisayansi bila matusi na
tutapata Ushindi wa Asubuhi Mapema. Asanteni sana kwa imani yenu kwangu.
Comments
Post a Comment