RAIS GLOBAL PEACE FOUNDATION TANZANIA DR. SALEM ABDULLA ALIPOAGANA NA MARAIS NA MAWAZIRI WA NCHI 20 ZA DUNIA LEO ASUBUHI ZANZIBAR LIVE!
Mkutano huu ulihudhuriwa na nchi 20.na mabalozi.marais.wabunge. viongozi wa dini mbali mbali.
Dr.
Salem Abdulla rais wa Global Peace Foundation Tanzania leo asubuhi
baada ya kukifunga rasmi kikao cha semina kilichofanyika Zanzibar
kilichowakutanisha Marais wa sasa na wa zamani wa Nchi kadhaa za
KiAfrika na pia Viongozi wa Dini.
semina
ilihudhuriwa kwa muda mchache na mgombea Urais mteule wa CCM Dr.
Magufuli ambaye alipitia hapo kumuona rafiki yake wa karibu sana Waziri
Mkuu wa zamani wa Kenya Bw. Raila Odinga
Comments
Post a Comment