DIAMOND THE PLATNUMZ NA ZARI WAHUDHURIA KWENYE MSIBA WA ABDUL BONGE JIJINI MOROGORO MKUYUNI Diamond Platinum akiwa kweny mazishi ya Abdu Bonge Mkoani Morogoro leo. Diamond Platinum Ameongozana na Mpenzi wake Zari the Big boss kwenye Mazishi ya Aliyekuwa Mwanzilishi wa Kundi la Tip top Marehemu Abdul Bonge Aliyefariki Majuzi na Mwili wake kusafirishwa kwenda Morogoro Tayari kwa Mazishi yanayofanyika Mkuyuni Mkoani Morogoro. haya kama utakuwa unaufahamu na kumbukumbu nzuri kumekuwa na tuhuma za kuskika yakuwa diamond the platnumz huwa hana kawaida ya kuhudhuria kwenye misiba ya watu, but ukweli huu umegundulika leo baada ya msanii diamond the platnumz na mke wake zari kuhidhuria kwenye msiba wa abdul bonge siku ya mazishi leo jijin morogoro, mtandao wa makubwa haya blog unaungana na diamond the platnumz na kukubali kweli ile misiba ya nyuma alikuwa haudhurii kwa sabab ya safari zake za kikazi za nje ya nchi, soo wadau wote wa musiki huu ndio wakati wakuondoa tofauti zetu na kuungana wote kwenye misiba kama hii, na kutakiana maisha mema peponi amin rest in peace abdul bonge

Diamond  Platinum akiwa kweny mazishi ya Abdu Bonge Mkoani Morogoro leo.
Diamond  Platinum Ameongozana na Mpenzi wake Zari the Big boss kwenye Mazishi ya Aliyekuwa Mwanzilishi wa Kundi la Tip top Marehemu Abdul Bonge  Aliyefariki Majuzi na Mwili wake kusafirishwa kwenda Morogoro Tayari kwa Mazishi yanayofanyika Mkuyuni Mkoani Morogoro.


haya kama utakuwa unaufahamu na kumbukumbu nzuri kumekuwa na tuhuma za kuskika yakuwa diamond the platnumz huwa hana kawaida ya kuhudhuria kwenye misiba ya watu, but ukweli huu umegundulika leo baada ya msanii diamond the platnumz na mke wake zari kuhidhuria kwenye msiba wa abdul bonge siku ya mazishi leo jijin morogoro, mtandao wa makubwa haya blog unaungana na diamond the platnumz na kukubali kweli ile misiba ya nyuma alikuwa haudhurii kwa sabab ya safari zake za kikazi za nje ya nchi, soo wadau wote wa musiki huu ndio wakati wakuondoa tofauti zetu na kuungana wote kwenye misiba kama hii, na kutakiana maisha mema peponi amin rest in peace abdul bonge

Comments

Popular posts from this blog