ALI KIBA AMUANIKA DEMU WAKE MPYAAA LIVE

  
Ally Kiba anaweza kuwa hasikiki sana kwenye redio miaka ya hivi karibuni na humsikii akilalamika. Huenda mrembo huyu anaweza kuwa sehemu muhimu katika moyo wake na hivyo kumfanya azisahau stress za mainstream (kwa sauti ya Godzilla aka Zizi)

Mkali huyo ambaye hivi karibuni alikuwa Nairobi kurekodi collabo yake na
Redsan, amepost picha kwenye Instagram akiwa na mrembo ambaye hakuna shaka kuwa ni ubavu wake wa pili.
Mmmh.. yummy..!!!

Comments

Popular posts from this blog