TAMASHA LA KRISMAS LAZIDI KUPAMBA MOTO UWANJA WA TAIFA

16Mgeni rasmi Waziri wa nchi katika ofisi ya waziri mkuu Uratibu wa Sera na Bunge Mh. William Lukuvi akizungumza katika tamasha hilo na kuwashukuru waimbaji wa muziki wa injili kwa kuendelea kuhubiri amani nchini lakini pia akawahakikishia kwamba serikali kitahakikisha amani iliyopo inadumu, kulia ni mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama na katikati ni Ezekiel Maige Mbunge wa jimbo la Msalala hivi punde atapanda jukwaani mwimbaji nguli wa muziki huo kutoka nchini Afrika Kusini Solomon Mahlangu ili kuhitimisha tamasha hilo kwa jiji la Dar es salaam.14Mwimbaji Ephraim Sekereti akitumbuiza kwenye  uwanja wa Taifa wakati wa tamasha la Krismas linaloandaliwa na kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dar es salaam lillilofany.ka jioni hii15Mwimbaji Ephraim Sekereti akifanya vitu vyake jukwaani jioni hii kwenye uwanja wa taifa17Mgeni rasmi Waziri wa nchi katika ofisi ya waziri mkuu Uratibu wa Sera na Bunge Mh. William Lukuvi akirejea kukaa mara baada ya kuzungumza na wananchi katika tamasha la Krismas kulia ni mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama na na kushoto  ni Ezekiel Maige Mbunge wa jimbo la Msalala
9Mwimbaji Rose Muhando akiimba na kucheza kwa hisia  mbele ya mashabiki wake10Mwimbaji Rose Muhando akiimba na kucheza kwa hisia  na kundi lake mbele ya mashabiki wake11Waimbaji kutoka kundi la Upendo Kirahilo wakiimba jukwaani.12Mwimbaji Upendo Kirahiro akiimba jukwaani1aaMwimbaji wa muziki wa injili Boni Mwaiteje akipagawisha mashabiki wake wakati akitumbuiza kwenye Tamasha la Krismas linaloandaliwa na kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dar es salaam  jioni hii kwenye uwanja wa Taifa, katika tamash hili pia yuko mwimbaji nguli wa muziki huo kutoka nchini Afrika Kusini Solomon Mahlangu 2aBoni Mwaiteje akionyesha uwezo wa kucheza na masteji shoo wake
1Kundi la The Voice likitumbuiza katika tamasha hilo.2Mashabiki mbalimbali wa nyimbo za injili waliojitokeza katika tamasha hilo wakiwa katika uwanja wa Taifa jioni hii.3Mwimbaji Edson Mwasabwite akifanya vitu vyake jukwaani.47Mwimbaji upendo Nkone akiimba katika tamasha hilo.

Comments

Popular posts from this blog