ANGALIA PICHA MKE WA MTU AMWAGA RADHI UKUMBINI

MENENGUAJI wa kundi la Mavampaya lenye maskani yake jijini Dar es salaama Bi.Queens Michael 'Mama Tentemente' ambaye ni mke wa mtu mwishoni mwa wiki iliyopita alimwaga radhi mwanzo mwisho ndani ya ukumbi wa DDC ulipo pande za Nunge
Mke wa Mtu Queens Michael' Mama Tentemente' akiwajibika jukwaani
                                       Akizidi kunengua
Mzuka ulipommpanda aliamu kuparamia ukumbi wa ukumbi huo na kunengua ambapo baadae mtandio aliovaa ulimwagika na  kila kitu kuonekana 'live' bila chenga,kutokana na kuzingatia maadili nimeshindwa kuweka picha hiyo
 Dj aliyekuwa akimporomoshea muziki mke huyo wa mtu,akiwa bize
                 Picha yenyewe inaongea
Kiongozi wa kundi hilo Omary Tego akistuika baada ya wanenguaji wake kufanya mambo ya ajabu,ya kuchezeana makalio mbele za watu




Omary Tego akishuhudia live Mama Tenetemente akifanya mambo ya ajabu

 mkoani hapa.
Mwanamke huyo aliyekiri mbele ya mwandishi wa habari hizi kwamba ni mke wa mtu na kwamba mumewe amebariki kufanya kazi hiyo,alimwaga radhi hiyo mbele ya watu walika mbali mbali waliokumo kwenye ukumbi huyo siku ya ljumaa iliyopita akiwa sambamba na kundi hilo linaloongozwa na mwimbaji wa nyimbo za Pwani Omary Tego.
Mama Tentemente ambaye alimwaga radhi hiyo huku akiwa amevaa mtandani mwepesi ulioroweshwa maji huku ndani akiwa mtupu alimwaga radhi hiyo kwa kushirikiana ma mwenzake aliyefahamika kwa jina la Vaileth Faya 'Queens Vai ambaye alimwaga radhi zaidi ya Tentemente picha za Queen Vai zitawajia hivi Punde endelea kutembelea mtandao huu NA DUSTAN SHEKIDELE,MOROGORO

Comments

Popular posts from this blog