Mwandishi wa Mwananchi Morogoro afariki

Mwandishi wa gazeti la Mwananchi mkoani Morogoro, Venance George, amefariki dunia muda mfupi uliopita.

Venance aliugua ghafla na kulazwa katika hospitali ya AghaKan Morogoro na amefariki dunia kutokana na kusumbuliwa na tumbo.
Habari zilizoifikia Tajoa , zinaeleza kuwa mipango ya mazishi inaandaliwa na kwamba umma utajulishwa phars blog inatoa pole kwa tasnia, familia ya Venance na zaidi sana Mwananchi kwa kupoteza mwandihsi mahiri.

Bwana alitoa, Bwana alitwaa, Jina lake lihimidiwe


Chanzo: Tanzania Journalists Alliance (TAJOA)

Comments

Popular posts from this blog