Posts

AIBU KUBWA...MABINTI WA RAISI UHURU KENYATTA NA MAKAMU WAKE RUTO NDANI YA SKENDO NZITO YA KUSHARE MWANAUME..SOMA ZAIDI HAPA...!!

Image
Are Ngina Kenyatta and June Chepchirchir caught up in a love storm? The man in question is allegedly Kenyan youth Alliance chairman Ian Meshack Kimutai. According to his Facebook page, Meshack is an alumnus of Uasin Gishu H i gh School before joining Daystar University and hails from Kapsabet (Nandi County). It has been purported that Ian met Ngina Kenyatta two months before the March 2013 general elect i ons. “I do not know where this rumour came from but I can confirm that this is an exaggeration,” Ian said when contacted. Further attempts to ‘squeeze out’ information from Ian, however, led to a curious statement: “I do not know who leaked that information, but I bel i eve that everything has a season. If at all there is any truth, then it will be known in due course. “We have decided not to comment on this issue for now. Can everyone mind their own business, already?” he said. June Ruto A source close to the family described Ngina as ‘well cultured and too r

10 SEX PICHA ZA LULU....USIPITWE NA HII ASEEE..MTAZME JINSI ALIVYO ROMANTIC!!!

Image

MSHITAKIWA WA KWANZA KESI YA UTOROSHAJI TWIGA AUGUA GHAFLA...

Image
Twiga. Kesi utoroshwaji wa twiga kwenda Uarabuni, imekwama baada ya mshtakiwa wa kwanza katika kesi hiyo, Kamran Ahmed, kuugua ghafla muda mfupi kabla ya kufika mahakamani hapo.  Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Moshi, jana ililazimika kuahirisha kesi hiyo baada Wakili wa mshitakiwa huyo, Edmund Ngemela, kuieleza mahakama hiyo kwamba sukari ya mshitakiwa huyo ilipanda na kusababisha ashindwe kufika mahakamani kuendelea na kesi inayomkabili. Mbele ya Hakimu wa Mahakama hiyo, Simoni Kobelo na mawakili wa pande zote mbili, Ngemela alidai hali ya afya ya mteja wake, ilisababisha ashindwe kufika mahakamani hapo. "Mheshimiwa Hakimu kesi hii ilikuja kwa ajili ya kuendelea na mashahidi upande wa mashitaka, lakini niiombe mahakama yako tukufu, iahirishe kwani mteja wangu, sukari imepanda kuliko kiwango cha kawaida," alisema. Katika kesi hiyo iliyozungumzwa katika mahakama ya ndani, tofauti na juzi ambapo ilisikilizwa katika mahakama ya wazi, mawakili wa Serikali

HAWA NDIO WAGONJWA WANAOSUBIRI KUTAMBULIWA NA NDUGU ZAO HOSPITALINI MUHIMBILI!!

Image
KAMERA yetu jana ilitembelea Taasisi ya Tiba na Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI), wodi za Sewahaji na Maisela vyumba namba 17 na 18 katika hospitali ya Muhimbili na kugundua kuna wagonjwa kadhaa ambao aidha wametelekezwa na ndugu zao au hawafahamu kwamba wana ndugu zao katika hospitali hiyo. Katika kuwahoji, wagonjwa hao walitoa wito kwa watu wanaowafahamu kuwasaidia kufikisha kilio chao kwa ndugu zao. credit: GPL

NAPE AUNGURUMA SHINYANGA AWAZOA WAWILI KUTOKA CHADEMA

Image
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiangalia matembezi ya mshikamano wakati yakiingia uwanjani kabla hajaanza kuhutubia wakazi wa Shinyanga mjini.  Wakazi wa Shinyanga mjini wakiwa na Furaha ya kuwakaribisha wanachama wapya ambao walikuwa madiwani kwa kupitia Chadema ambao tarehe 25 walijiuzuru na tarehe 26 Februari 2014 kujiunga na CCM.  Zakaria Martin Mfuko aliyekuwa Diwani wa Chadema Kata ya Masekelo akihutubia wakazi wa Shinyanga mjini kwenye viwanja vya Mahakama ya Mwanzo na kuwaambia wananchi hao ameamua kurudi CCM kutokana na ufisadi na ukiukwaji ya maadili ya Uongozi ndani ya Chadema. Sebastian Peter maarufu kama Obama aliyekuwa Diwani wa Chadema kata ya Ingokole akihutubia wananchi kwenye viwanja vya Mahakama ya Mwanzo mjini Shinyanga.  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimsaidia kufunga vifungo vya shati Ndugu Sebastian Peter aliyekuwa Diwani wa Kata ya Ingokole ambaye amerudisha Kadi yake ya Chadema na kupokelewa rasmi

UNFORTUNATE LOVE SIMULIZI SEHEMU YA 1.

Image
katika maisha yangu ya kimapenzi nilishwahi kutoka na kufanya mapenzi na wanaume wanne na nikadanganywa, nikaumizwa na kukosa raha, nilikuwa natumiwa kama chombo starehe pasipo kujijua mimi mwenyewe ila ni mwanaume mmoja tu ambaye alinionjesha utamu wa mapenzi na kunipenda, kunijali na katika mikono yake nilihisi kama ni mwanamke wakipekee sana kuzidi wengi ne….. Ni kwasababu gani niliwahi kufanya mapenzi na wanaume wanne na ni mwanaume gani ndiye aliyenipa na kunionjesha utamu wa mapenzi??? Sikiliza kwa makini nikuelezee yalionitokea mpaka ikawa hivyo. SEHEMU YA 1. Naitwa sarah james, mimi ni mtoto wa pili wakike kutoka kwenye familia ya bwana James ambaye ni baba yangu mzazi na Anna amabaye ni mama yangu mzazi, Kwenye familia yetu tupo wanne; mimi; baba yangu; mama yangu na dada yangu aitwaye suzy.   Mimi pamoja na familia yetu tunaishi kinondoni, morocco na familia yetu ni tabaka la kati kwa maana sio maskini sana wala sio matajiri sana. Maisha yangu ya

VIONGOZI MBALIMBALI WAUAGA MWILI WA MAREHEMU BALOZI FULGENCE KAZAURA KATIKA KANISA LA MT. PETER JIJINI DAR LEO

Image
Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura likiwa ndani ya Kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam tayari kwa Ibada maalum ya kumuombea Marehemu huyo iliyofanyika mchana wa leo kanisani hapo.Picha zote na Othman Michuzi. Viongozi wa Kanisa hilo la Mt. Peter wakiwaongoza waomboleazaji kuaga Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura aliefariki Dunia juzi huko nchini India alikokwenda kwa ajili ya Matibabu. Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin Mkapa akiwaongoza waomboleazaji mbali mbali kutoa heshima za mwisho wakati wa kuaga Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura aliefariki Dunia juzi huko nchini India alikokwenda kwa ajili ya Matibabu. Ibada hii ya kuaga mwili wa Balozi Kazaura imefanyika mchana wa leo katika Kanisa la Mt. Peter, Osterbay jijini Dar es Salaa