Posts

Manji Ajitoa Yanga Rasmi

Image
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MWENYEKITI  wa Yanga, Yusuf Manji, amesitisha kuendelea na zoezi la kuikodisha timu na nembo ya klabu hiyo na kuwaambia wasaidizi wake, wasitishe mipango yote ya maendeleo waliyokuwa wameanza kuifanya. Manji amewaambia wasaidizi wake kusitisha maandalizi ya Ligi ya Vijana ya Matawi ya Yanga, lakini amewaambia waandae siku rasmi ambayo atazungumza na vyombo vya habari na kuwaomba radhi Wanayanga ambao wamemuunga mkono muda wote. Yusuf Manji akiongea na wanahabari. Habari za uhakika ambazo Championi Jumatano limezipata, zinasema Manji alizungumza na wasaidizi wake jana mchana ikiwa ni dakika chache baada ya TFF kufanya mkutano na waandishi wa habari na kusema hawatambui suala la Yanga kuikodisha timu na nembo kwa Kampuni ya Yanga Yetu Ltd, kwa miaka 10. “Leo alionekana ni kama mtu aliyekata tamaa au asiyefurahishwa na jambo. Amewaita wasaidizi wake na wamefanya kikao, hakikuwa kirefu sana. “Amewaambia ameamua ku

Samsung has urged owners of the Galaxy Note 7 to turn off the smartphone while it investigates new reports of the device catching fire.

Image
The South Korean firm also said it would stop all sales of the phone. Samsung recalled 2.5m phones in September after complaints of exploding batteries and later assured customers that all replaced devices were safe. But there are now reports that even those phones that had been replaced were catching fire. A man in Kentucky said he woke up to a bedroom full of smoke from a replaced Note 7, days after a domestic flight in the US was evacuated after a new device started emitting smoke in the cabin. "Because consumers' safety remains our top priority, Samsung will ask all carrier and retail partners globally to stop sales and exchanges of the Galaxy Note 7 while the investigation is taking place," the company said. "Consumers with either an original Galaxy Note 7 or replacement Galaxy Note 7 device should power down and stop using the device and take advantage of the remedies available," it added.

HAFLA YA MAKAMU WA RAIS MAMA SULUHU HASSAN ALIVYOAWEKA JIWE LA MSINGI WODI ZA WAZAZI HOSPITALI ZA RUFAA MKOA WA DAR ES SALAAM

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye hafla ya Uwekaji mawe ya msingi ujenzi wa wodi za wazazi na watoto katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es Salaam leo Oktoba 11, 2016. Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.  Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda akizungumza kwenye hafla ya Uwekaji mawe ya msingi ujenzi wa wodi za wazazi na watoto katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam kwenye hafla ya Uwekaji mawe ya msingi ujenzi wa wodi za wazazi na watoto katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es Salaam. Pembeni wanaoshuhudia ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Makonda. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipewa maelekezo na wadhamini watakaojenga jengo hilo, Amsons Group. Moja ya Bango la ujenzi wa wod

LHRC: Wafungwa 470 Wanasubiri Kunyongwa

Image
Dk. Kijo-Bisimba. WATU 472 waliohukumiwa adhabu ya kifo kutokana na makosa mbalimbali, wanasubiri saini ya Rais Dk. John Magufuli ili kujua hatima ya utekelezaji wa adhabu zao ama laa. Takwimu hizo zinaonesha kuwa kati ya watu hao, wanaume ni 452 na wanawake ni 20. Taarifa hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu adhabu ya kifo. Bisimba alisema, watu hao walihukumiwa adhabu ya kifo kutokana na kutiwa hatiani na makakama kwa makosa ya uhaini na mauji. Licha ya adhabu hiyo alisema hatua ya utekelezaji wake inakwenda kinyume na haki za binadamu kama inavyotafsiriwa katika matamko na mikataba mbalimbali ya kimataifa. Kutokana na hali hiyo, Dk. Kijo-Bisimba, alisema hadi kufikia Desemba mwaka jana, jumla ya watu 472 walikuwa wamehukumiwa adhabu hiyo. Alisema wakati watu hao wakisubiri adhabu hiyo, wengine 244 waliopo katika magereza mbalimbali bado wanasubiria m

Zari The lady post on her Instagram Account: "Me walking through my enemies

Image
Sometimes it takes the most painful lessons to bring about the biggest blessings. Trust your journey. Every step of it. zari the boss lady.. Me walking through my enemies. Today, learn to be still no matter what faces you. No matter what you hear, be still. No matter the size of the enemy, be still. In the lion's den, be still. In the valley of the shadow of death, be still. When everything is shaking, hold on to God, to His Word and to His promises... Be still, and know He is God. Have a blessed week ahead 😚 Zari has been tried and tested and I'm here to say that she has stood the test of time!Everyone seems to have something negative to say about her (me included, ila ni shetani unipitia) LOL Can we all let her live her life in peace now? Can we let her enjoy her new home? Which no one is willing to acknowledge now that we all know for sure that they really bought it? Mama Tee is in her last semester, for God's sake!

RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Ukraine hapa nchini Yevhemsi Tsymbalik Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Ghana hapa nchini Kwame Asamoah Tenkorang Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi mteule wa Ghana hapa nchini Kwame Asamoah Tenkorang mara baada ya kupokea Hati yake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Balozi mteule wa Ghana hapa nchini Kwame Asamoah Tenkorang Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Sudan Mahjoub Ahmed Abdallah Sharfi Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamh

WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AKUTANA NA WAKUU WA IDARA NA TAASISI ZA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.

Image
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza na wakuu wa Taasisi na Idara za wizara (hawapo pichani), wakati wa kikao cha kujadili masuala mbalimbali ya mipango na maendeleo ya wizara. Kulia ni Naibu Waziri Mhandisi Hamad Masauni. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa wizara, jijini Dar es Salaam. Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza na wakuu wa Taasisi na Idara za wizara wakati wa kikao cha kujadili masuala mbalimbali ya mipango na maendeleo ya wizara. Kulia ni Naibu Waziri Mhandisi Hamad Masauni. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa wizara, jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, akizungumza wakati wa kikao cha kujadili masuala mbalimbali ya mipango na maendeleo ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Idara zake. Kikao hicho kiliongozwa na Waziri wa wizara hiyo, Mwigulu Nchemba (hayupo pichani). Kushoto ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Mag

EXCLUSIVE: Babu Seya, Papii Watuma Ujumbe Mzito Kwa JPM!

Image
Papii Kocha (katikati) akiimba na baba yake Nguza Viking (kulia). DAR ES SALAAM!  Kwa Wabongo walio wengi, majina ya Nguza Viking ‘Babu Seya’ na Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ siyo mageni. Wao ni wafungwa wanaotumikia kifungo cha maisha ndani ya Gereza la Ukonga, Dar baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kulawiti na kunajisi watoto 10. …Wakipelekwa mahakamani kabla ya hukumu yao. Tangu kufungwa kwao, mwaka 2004, miaka 12 iliyopita, mengi yamesemwa, mengi yameandikwa, lakini wenyewe hawajawahi kufungua vinywa kusema lolote, hivyo kwa mara ya kwanza, Septemba 3, mwaka huu, Risasi Mchanganyiko, limekutana nao ndani ya gereza hilo na kufanya nao mahojiano yaliyochukua dakika 55. ILIKUWAJE? Septemba 2, mwaka huu, Risasi Mchanganyiko lilipata taarifa kwamba, wafungwa hao waliandika barua kwa Rais John Pombe Magufuli ‘JPM’ wakiomba msamaha kutoka kwake ili waachiwe huru. Ili kuweka sawa mzani wa habari, Risasi Mchanganyiko lilimpigia simu Mkuu wa Gereza la Ukonga, ACP Stephen Mwa