Posts
MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI LEO TAREHE 29/8/16
- Get link
- Other Apps
Rais JPM Uso kwa Uso na Lowassa
- Get link
- Other Apps
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani Mhe. Edward Lowassa wakati wa hafla ya maadhimisho ya Jubilei ya Dhahabu ya Miaka 50 ya Ndoa ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa . Kushoto ni Mama Regina Lowassa Rais Dkt John Pombe Magufuli akimtakia amani Mhe. Edward Lowassa wakati wa ibada ya maadhimisho hayo. Rais Magufuli akiongea jambo na Mhe. Lowassa. Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa katika picha na Rais Magufuli na viongozi wastaafu na wana familia. Rais Dkt. Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwapongeza Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa. Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakipongezwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo. Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakipokea zawadi kutoka Parokia ya Upanga ya Mt. Imakulata. Rais Ms
Afya ya Lema Mbaya Baada ya Kususia Chakula Mahabusu
- Get link
- Other Apps
Godbless Lema. Afya ya Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema imeripotiwa kuwa mbaya baada kususia kula chakula akiwa mahabusu tangu alipokamatwa juzi asubuhi. Lema alikamatwa na polisi akiwa nyumbani kwake juzi alfajiri na taarifa za kukamatwa kwake zilithibitishwa na Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro ambaye hata hivyo hakutaja sababu za kukamatwa kwa mbunge huyo. Imeelezwa kuwa mbunge huyo tangu akamatwe na polisi amegoma kula chakula hali iliyopelekea afya yake kuwa mbaya na amefanya hivyo kwa sababu anaamini anaonewa na hata kukamatwa kwake kulikuwa ni kwa kumdhalilisha. Bwana Calist Lazaro amesema Lema amekataa kula hadi hapo atakapopelekwa mahakamani na kuliomba Jeshi la Polisi kumuachia kwani akipata madhara matatizo mapya yanaweza kuzuka.
TAZAMA HAFLA NZIMA YA RAIS DKT MAGUFULI KUHUDHURIA MISA YA JUBILEI YA DHAHABU (MIAKA 50) YA NDOA YA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA ANNA MKAPA
- Get link
- Other Apps
Rais Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro Fr. Stephano Kaombwe wakati akiwasili kuhudhuria Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016 "Maharusi" Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakiingia kanisani tayari kwa Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa yao katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016 "Maharusi" Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakiingia kanisani tayari kwa Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa yao katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016 Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakiwa ta yari kwa Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa yao katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agos