Posts

Hii Ndio Orodha Ya Vipodozi Vinavyotambuliwa Na Mamlaka Ya Chakula Na Dawa (Tfda)

Image
Tfda inapenda kuwafahamisha watengenezaji, waagizaji, wauzaji na wananchi kwa ujumla kuwa, kwa mujibu wa kifungu cha 88 (a) cha sharia ya chakula, dawa na vipodozi sura 219, inakatazwa kutengeneza, kuuza au kusambaza vipodozi vyenye viambato (ingredient) vyenye sumu ambavyo huleta athari kwa mtumiaji. Baada ya kuwataka wafanya biashara wa vipodozi (waingizaji na watengenezaji) kutoa taarifa za vipodozi ikiwa ni pamoja na viambato vyote vinavyotumika katika kutengeneza, mamlaka imeweza kuvitambua vipodozi 933 ambavyo havina viambato vyenye sumu ambavyo mamlaka imeviruhusu kuingizwa nchini. Mamlaka inapenda kuwaasa watumiaji wa vipodozi kuwa makini katika kusoma maelekezo (lebo) vinavyowekwa kwenye vipodozi ili kujihakikishia havina viambato vyenye sumu. KRIMU 1.   4-U Cream 2.   Almond Kesar Nourishing Cream 3.   Avon Face And Body Cream 4.   Avon Hand Cream 5.   Ayurvedic Herbal Fairness Cream 6.   Baby Cream 7.   Beauty...