Posts

IRENE UWOYA HATARINI KUPOTEZA UBUNGE VITI MAALUM

Image
Muigizaji wa bongo movies Irene Uwoya aliyejiunga na ccm na kuchaguliwa kuwa mbunge wa viti maalum tabora yupo hatarini kupoteza cheo chake cha ubunge wa viti maalum na huenda wabunge viti maalum wengi sana wa ccm nao wataachia ngazi. Mbunge viti maalum aliechaguliwa kwa sasa ataingia mjengoni mpaka ifikapo oktoba baad ya kampeni na uchaguzi ambapo kila jimbo litapata mbunge(sio wa viti maalum) wake ambapo hawa wabunge wa viti maalum waliochaguliwa saizi italazimu idadi yao ilingane sawa na idadi ya wabunge wawakilishi wa majimbo wa vyama vyao, mfano kwa ccm mwaka 2010 kabla ya kampeni walikuwa na wabunge viti maalum 92 ila baada ya kampeni na uchaguzi ilipata wabunge 60, kutokana na kupoteza majimbo mengi hivyo ikabidi idadi ya wabunge wa ccm wa viti maalum ipungue toka 92 hadi 60, na wakati wao ccm waliandaa wabunge 92 wa viti maalum wakijua watapata majimbo mengi , matokeo yake ikabidi chama kiwapunguze hadi 60 na baada ya hapo nafas zilizobsaki 22 za wabunge viti...

PICHA ZA SIMBA WAKIIDUNDA 2-0 URA

Image
Mshambuliaji Kelvin Ndayisenga akishangilia baada ya kuifungia Simba goli la kwanza Timu ya Simba SC jana ilishinda 2-0 katika mchezo wake wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya timu ya URA FC ya Uganda,  mechi ikipigwa uwanja wa Taifa, Dar e salaam Hapa nimekuwekea picha zikionesha matukio mbalimbali wakati mcheo huo ulivyokuwa ukiendelea. Kelvin Ndayisenga (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia timu yake goli la kwanza Watoto wazuri nao walikuwepo wakishuhudia mtanange kati ya Simba na URA FC Juuko Murshid (kulia) akishangilia pamoja na Ibrahim Ajibu baada ya kuifungia timu yake goli la pili Kikosi cha URA kilichoanza dhid ya Simba SC Kikosi cha timu ya Simba SC kilichoanza kwenye mchezo dhidi ya URA Wachezaji wa Simba kabla ya kushuka kwenye gari Basi la Simba likiwasili uwanja wa Taifa

EXCLUSIVEEEE FLAVIAN MATATA WEDDING PHOTOS

Image

KAULI YA LOWASSA BAADA YA MSAFARA WAKE KUPIGWA MABOMU NA POLISI, SOMA HAPA ALICHOSEMA

Image
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na Ukawa, Edward Lowassa jana kwa mara ya kwanza alikumbana na joto la upinzani baada ya msafara wake kushambuliwa na mabomu ya polisi. Tukio hilo, ambalo lilifanyika mbele ya msafara wa Lowassa, lilitokea jana eneo la Daraja la Nduruma katika Jiji la Arusha na kusababisha umati wa watu kutawanyika na wengine kutelekeza magari yao.Wakati Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akimkaribisha kwenye chama hicho wakati wa mkutano mkuu alimwambia; “Mzee huku inabidi uwe unafanya mazoezi kidogo, kuna mabomu huku.”Lowassa alikumbwa na kadhia hiyo, akiwa njiani na mgombea mwenza, Juma Duni Haji na viongozi wengine wa Ukawa, wakitokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), huku wakiwa wamesindikizwa na umati wa watu na magari. Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas alisema kuwa polisi walilazimika kupiga mabomu ya machozi ili kutawanya watu waliokuwa wakiwarushia mawe polisi na wengine kufunga barabara. “Kwa hali ile...

MGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA NA UKAWA EDWARD LOWASA ALIPOWASILI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA KILIMANJARO KIA

Image
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro,Philemoni Ndesamburo akisalimiana na aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi ,Godluck Ole Medeye walipokutana uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)kwa ajili ya mapokezi ya mgombea urais wa UKAWA na Chadema,Edward Ngoyai ,Lowasa. Mwenyekii wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro akisalimiana na James Lembeli walipokutana uwanja wa Ndege wa KIA. Mbunge wa jimbo la Rombo ,Joseph Selasni akizungumza jambo na aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki,Godluk Ole Medeye. Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi,Godluck Ole Medeye akiteta jambo na Henry Kilewo mtia nia waubunge jimbo la Mwanga. Aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi,Laurance Masha akisalimiana na Katibu wa Chadema kanda ya Kasakazini,Aman Golugwa. Masha akisalimana na Mbunge wa jimbo la Arusha mjini ,Godbless Lema, Mzee Ndesamburo akiwaongoza makada wengine wa chama hicho kwa ajili ya mapokezi ya mgombea ...

UKWELI KUHUSU MUGABE KUMTIMUA OFISA WA ULINZI BAADA YA KUONEKANA AKIMTAMANI MKE

Image
If this is true, then this is funny and sad! According to twitter user, Alex Tackie and a few others, President Mugabe allegedly fired his Chief of Defense Forces, seen seated next to his wife in the pic above - for allegedly being too free around her and staring at her behind when she bent down. Hilarious isn't it?

RAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA KONGAMANO LA PILI LA DIASPORA HOTELI YA SERENA JIJINI DAR ES SALAAM

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wakati alipowasili hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kuhudhuria hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Kushoto mwenye kanzu ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC Rais Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Wengine kutoka kulia ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC, Bw. Matheu Lamolle Mtafiti wa Massoko wa Taasisi ya International Trade Centre (ITC) ya Uswisi ambao ndio waliokuwa wadhamini wakuu wa kongamano hilo,  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu  Zanzibar (Utawala Bora)  Mhe Dk Mwinyihaji Makame, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania DMV Marekani  Bw. Iddi Sandaly, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula na Bi Mariam Mungula wa Diapora London ...