PICHA ZA SIMBA WAKIIDUNDA 2-0 URA
Mshambuliaji Kelvin Ndayisenga akishangilia baada ya kuifungia Simba goli la kwanza
Timu
ya Simba SC jana ilishinda 2-0 katika mchezo wake wa kirafiki wa
kimataifa dhidi ya timu ya URA FC ya Uganda, mechi ikipigwa uwanja wa
Taifa, Dar e salaamHapa nimekuwekea picha zikionesha matukio mbalimbali wakati mcheo huo ulivyokuwa ukiendelea.Kelvin Ndayisenga (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia timu yake goli la kwanzaWatoto wazuri nao walikuwepo wakishuhudia mtanange kati ya Simba na URA FC
Juuko Murshid (kulia) akishangilia pamoja na Ibrahim Ajibu baada ya kuifungia timu yake goli la pili
Comments
Post a Comment