Posts

KAULI YA SOPHIA SIMBA KUHUSU MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM, "MAGUFULI" ,

Image

BREAKING NEWS: MAKUBWA YAIBUKA NDANI YA CHAMA CHA CUF...HIKI SASA NDICHO KIMETOKEA MUDA MFUPI ULIOPITA

Image
Wafuasi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) na pia mwenyekiti mwenza wa muungano wa wapinzani wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Profesa Ibrahim Lipumba, wameanza kushughulikiwa na kutakiwa kuchagua moja; kuendelea kuwa ndani ya chama hicho au kutoka. Ingawa Profesa Lipumba alipojiuzulu uenyekiti, alisema ataendelea kuwa mwanachama wa CUF, lakini Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad amewataka wanachama waliokuwa wakimuunga mkono, kuamua moja, kubaki ndani ya chama hicho kama alivyoamua mchumi huyo mashuhuri duniani, au kutoka. “Profesa Lipumba kajiuzulu CUF, wale waliojiunga CUF kwa sababu ya Profesa, wanayo fursa ya kuamua kubaki CUF au kutoka,” alisema Hamad juzi usiku. Mbali na kuwataka wanaomuunga mkono Profesa Lipumba kuamua kutoka ndani ya chama hicho au kubaki, wakati kiongozi wao akiwa ameweka wazi kuwa hana nia ya kutoka katika chama hicho, Maalim Seif alitoa kauli zingine kuashiria kutohitaji hata uanachama wa

BREAKING NEWS : RATIBA YA EDWARD LOWASSA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

Image

MEZA YA MAGAZETI YETU YA LEO TRH 9/8/2015

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . .

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA MRADI WA MAJI LINDI, AWAZAWADIA WASHINDI

Image
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mwakilishi wa shirika la misaada la Ujerumani KFW Bi.Katrin Brandes na mkuu wa mkoa wa Lindi Bibi Mwantum Mahiza wakifunua kitambaa kuzindua ujenzi wa mradi wa maji wa mji wa Lindi eneo la Ng’apa mjini Lindi leo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Raphael Muhuga kombe la ushindi baada ya taasisi anayoiongoza kuibuka mshindi wa taasisi iliyofanya vyema kuliko zote(Overall Best Exhibitor) wakati maonyesho ya sikukuu ya wakulima nanenane yaliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Ngongo mjini lindi leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Benki ya Maendeleo ya kilimo huko eneo la Ngongo yalikofanyika maadhimisho ya sikukuu ya wakulima kitaifa Nanenane leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya sikukuu ya wakulima nanenane yaliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Ngongo mjini

LIGI KUU ENGLAND : MAN UTD YAICHAPA TOTTENHAM

Image
Manchester United new boy Memphis Depay (centre) congratulates Wayne Rooney as the home side take a 1-0 lead Jan Vertonghen (left) looks to the turf as Rooney is joined by Depay and Juan Mata in celebration of United's opener United's new No 7 Depay, who started brightly on his Premier League debut, revels in the opening goal celebrations Tottenham came close to taking an early 1-0 lead through Christian Eriksen, but the Danish star lofted his effort just over the crossbar Spurs winger Eriksen reacts after seeing his effort drift agonisingly over Sergio Romero's bar during the first 45 minutes  Matteo Darmian (left) gets to grips with Spurs star Harry Kane as Mauricio Pochettino's side impose themselves at Old Trafford  Spurs defender Kyle Walker inadvertently taps the ball into his own net while attempting to tackle Rooney  +30 Rooney found himself in space inside the Spurs penalty area before Walker robbed him of