Posts

PICHA: MAZISHI YA MWANAMUZIKI MKONGWE, MAREHEMU SHEM IBRAHIM KALENGA YAFANYIKA KATIKA MAKABURI YA KISUTU JIJINI DAR

Image
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255786063576 / +255765957698. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

phars.blogspot.com: MSANII: NIMETEMBEA NA MASTAA 15 BONGO

phars.blogspot.com: MSANII: NIMETEMBEA NA MASTAA 15 BONGO : Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ . Mamaaa! Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘B...

phars.blogspot.com: MSANII: NIMETEMBEA NA MASTAA 15 BONGO

phars.blogspot.com: MSANII: NIMETEMBEA NA MASTAA 15 BONGO : Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ . Mamaaa! Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘B...

MSANII: NIMETEMBEA NA MASTAA 15 BONGO

Image
Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ . Mamaaa! Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ameibuka na kuanika kijasiri kuwa ‘ameshambonji’ na mastaa wa kiume 15 wa Bongo huku akisema kitendo hicho hakijamuondolea hadhi yake, Risasi Mchanganyiko linatiririsha. Akizungumza katika mahojiano maalum na waandishi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar, Bozi alitamka hayo kwa kujiamini zaidi.Mahojiano kati ya msanii huyo na Risasi Mchanganyiko yalikuwa kama ifuatavyo: Risasi: “Mzima Bozi?” Bozi: “Mi mzima sana. Enhe! Karibuni  maana nasikia mmenitafuta sana, kuna nini?” Risasi: “Tumeshakaribia. Sisi tunataka kufanya mahojiano na wewe kuhusu sanaa kwa ujumla, ugumu na wepesi wake.” Bozi: “Oke, sawa.” Fatuma Ayubu ‘Bozi’akipozi. Risasi: “Oke, labda kwa kuanzia Bozi, umeshapambana na ugumu wowote kwenye fani? Kama vile kulazimishwa kuvaa nguo za hasara kutokana na ‘sini’ unayoigiza?”Bozi: “Ba

TALIBAN WAUA WATU 126 WAKIWEMO WANAFUNZI ZAIDI YA 100 NCHINI PAKISTANI

Image
Majeruhi katika shambulio hilo wakipatiwa huduma za kitabibu. Mmoja wa wanafunzi aliyejeruhiwa na Taliban akipatiwa huduma ya kwanza. Majeruhi akipatiwa huduma katika hospitali jijini Peshawar nchini Pakistani. Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa katika mitaa ya Jiji la Peshawar. Magari ya kubeba wagonjwa wakielekea eneo la tukio. Wananchi wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa mwanafunzi mmoja aliyeuawa na Taliban. Wanajeshi wakiwasili eneo la tukio. TAKRIBANI watu 126 wameuawa, wakiwemo wanafunzi zaidi ya 100, baada ya wapiganaji sita wa Kundi la Taliban waliokuwa wamejihami kwa silaha kuvamia shule moja inayomilikiwa na jeshi jijini Peshawar nchini Pakistani na kupiga risasi hovyo na kujilipua kwa mabomu.Shambulio hilo lilianza kwa wapganaji hao kuingia katika shule yenye wanafunzi 500 ambao ni wa grade 1-10 wanaodhaniwa kuwa na umri kati ya miaka 5-14 mapema leo na kuanza kuwapiga risasi hovyo kwa kuingia darasa moja baada la lingine.