Posts

MTOTO WA MIAKA 12 AFUNGUKA ALIVYOFUNDISHWA UCHAWI

Image
  Mtoto (kulia jina limehifadhiwa) mwenye umri wa miaka 12 anayemtuhumu baba yake kumfundisha uchawi. MTOTO mmoja mkazi wa Kimara Salanga, jijini Dar es Salaam (jina limehifadhiwa) mwenye umri wa miaka 12 hivi karibuni aliibuka na kutoa madai mazito, akimtuhumu baba yake mkubwa kuwa alimfundisha uchawi, Ijumaa lina mkasa kamili. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, mtoto huyo alisema alianza kufundishwa tabia hiyo mbaya na baba yake mkubwa wakati huo akiwa na umri wa miaka mitano jijini Mbeya, kwa kumwelekeza namna ya kuroga na kuua watu.   Katika mojawapo ya matukio makubwa aliyodai kuwahi kuyafanya ni pamoja na kutengeneza ajali ya boti iliyotokea Nungwi mapema mwaka huu ambapo yeye na wenzake walitumwa na baba yake huyo kutega mambo yao huku wengine wakipanda kwenye chombo hicho ili kuongeza uzito uliosababisha boti hiyo kuzama na kuua watu kibao.  “Tuligandisha maji na kuweka sindano ambazo zilitoboa na baada ya watu kufa tulic...

MAGAZETI YA LEO IJUMAA TAREHE 18.07.2014

Image
           MAGAZETI YA UDAKU LEO MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

NDEGE NYINGINE YA MALAYSIA YADONDOKA NA KUWAKA MOTO ABIRIA 295 WATEKETEA,

Image
+42 Crash site: Rescue workers inspect the wreckage of a Malaysia Airlines passenger plane which was shot down today above Ukraine, killed all 295 people on board +42 Destruction: The Boeing 777 aircraft was hit by a sophisticated surface-to-air missile over territory near Donetsk held by pro-Russian rebels who the Ukrainian government says are backed by the Kremlin +42 Laying the blame: The Ukrainian authorities laid the blame for the attack on the rebels by denying any responsibility for the missile launch, with President Petro Poroshenko called the downing an act of terrorism +42 Burning: Rescue workers walk through the burning wreckage of the plane after it crashed near the town of Shaktarsk in rebel-held east Ukraine +42 No survivors: Witnesses say body parts are scattered over a distance of 15km, suggesting the plane broke up in mid-air

ANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA HAPA

Image
                       BOFYA HAPA KUONA MATOKEO HAYO

WAZIRI MAKALLA ATOLEWA CHINI YA ULINZI WA POLISI BAADA YA MKUTANO WAKE KUFANYIWA VURUGU NA CHADEMA

Image
 Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (katikati), akiongozwa polisi kuingia kwenye gari baada ya kutokea vurugu meza kuu, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Goba, Kinondoni Dar es Salaam, ambazo alidai zilipangwa kwa makusudi na viongozi wa Chadema kwa lengo la kumvulugia ziara yake ya kuwaelezea wananchi utekelezaji wa Ilani ya CCM katika suala la upatikanaji wa maji ya uhakika jijini Dar es Salaam ifikapo Septemba, mwakani. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG  Gari lililombeba Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla, likilindwa na polisi lililopokuwa linaondoka baada mkutano wa hadhara kuvunjika kulikosababishwa na vurugu ambazo waziri alidai kuwa zilipangwa kwa makusudi na wafuasi pamoja na viongozi wa Chadema waliokuwa wakirumbana na viongozi wa CCM, katika Kata ya Goba, Kinondoni, Dar es Salaam. Makalla alikuwa katika ziara ya kukagua miradi ya maji katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani.  Makalla akijadiliana na maofisa wa CCM na P...