Posts

HOT NEWS: WANANCHI WENYE HASIRA KALI WAMPIGA NA KISHA KUMCHOMA MOTO KIJANA MMOJA ALIYETUHUMIWA KUIBA NG'OMBE .

Image
Mwili wa Kijana huyo Ukiwa umefunikwa na Majani Kabla ya Kuchomwa Moto Mwili wa Kijana huyo ukiwa unachomwa Moto na wananchi wa Eneo hilo  Akielezea Tukio Lilivyo tokea  Ng'ombe Walioibiwa  Wakichukua Mwili wa Kijana Huyo  Wakichukua Mwili wa Kijana Huyo ********************** WAKATI vyombo mbali mbali zikiendelea na jitihada za kuwaelimisha wananchi juu ya madhara ya kujichukulia sheria mkononi hali hiyo bado ni tete mkoani Mbeya. Hali hiyo imezidi kujitokeza baada ya Wananchi wenye hasira kali wa Mwasanga Ivumwe jijini Mbeya kumpiga na kumchoma moto mwananchi mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja wakimtuhumu kwa Wizi wa Ng’ombe mmoja na ndama. Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo ameuambia mtandao huu kuwa tukio hilo lilitokea mapema leo asubuhi ambapo chanzo ni wizi wa Ng’ombe wa Kongoro Mwakitalima mkazi wa Isyesye kata ya Ilomba. Alisema Ng’ombe huyo aliibiwa jana majira ya usiku ambapo mzee huy...

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU USDM AMEKUTWA AMEFARIKI BAADA YA KWENDA KUPUMZIKA HOSTEL..TIZAMA PICHA HAPA

Image
 

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU USDM AMEKUTWA AMEFARIKI BAADA YA KWENDA KUPUMZIKA HOSTEL..TIZAMA PICHA HAPA

Image
 

Breaking News:Wabunge wa Upinzani Watoka Bungeni Baada ya CCM Kuilinda Wizara ya Nishati na Madini

Image
Jioni hii katika bunge la Bajeti Mweshimiwa Mbowe ameongoza kambi ya Upinzani kutoka Bungeni kwa kila anachodai wabunge wa CCM wanajaribu kuficha uovu wa Wizara ya Nishati na Madini na Kujadili mazuri tu kuhusu umeme wakati kuna Uozo wa Kujadili ikiwemo Sakata kubwa la Ufisadi la APTL linalohusu Wizara hiyo... Mbowe Amesema ni heri wao watoke na wawaachie CCM wapitishe bajeti hiyo wenyewe kwa vile wameshapanga kuipitisha na kupanga watu wakuongea kumsifia Waziri wa Wizara hiyo.

MAAJABU..!! TAZAMA PICHA ZA HARUSI ILIYOFUNGWA HUKU MAARUSI WAKIWA WATUPU KAMA WALIVYOZALIWA..!!

Image
Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni,hapa bongoland na sehemu nyingi duniani kwa ujumla maharusi mara nyingihujipangia mavazi yao kwa ajili ya siku ya harusi yao huku wakitumia gharama nyingi kununulia nguo hizo kama mashela ya gharama na suti za maana na kali.Lakini huko New zealand hayo yote hayaitajiki kwan maharusi hufunga ndoa wakiwa watupu kabisa!!Hawa wanajiita Lowes’ Unclad wedding wakidai wanaonesha uhalisia katika nyanja hiyo. Na wasimamizi wao nao mtindo ule ule!

MSANII NYOTA NDOGO APATA AIBU YA MWAKA, ACHUNGULIWA UCHI WAKE LIVE ..AISHIA KUMWAGA MACHOZI....

Image
  Msanii  maarufu  wa  Kenya, Nyota  Ndogo  amejikuta  akimwaga  machozi  kutokana  na  aibu  aliyoipata  baada  ya  kundi  kubwa  la  watu  kumshuhudia  akiwa  uchi  wa  mnyama  huku  akijipaka  mafuta  pasi  yeye  kujua.....   Nyota  Ndogo  alikumbwa  na  dhahama  hiyo  alipokuwa  aki perform  katika  show  moja  nchini  Kenya  hivi  karibuni.  Kwa  mujibu  wa  maelezo  ya  msanii  huyo  aliyoyatoa  katika  ukurasa  wake  wa  facebook  ni  kuwa, akiwa  katika  Show  hiyo, mwenyeji  wake  alimpatia  chumba  kwa  ajili  ya  kubadili  nguo, akaingia  na  kuvua  nguo  zote  na  kisha  kua...

MAJANGA:- ATEMBEA MATITI WAZI MITAANI BAADA YA KUFUTIWA ACCOUNT YAKE YA INSTAGRAM, AAMUA KUANDAMANA!

Image
Binti wa mastaa wa Hollywood Demi Moore na Bruce Willis mwenye umri wa miaka 22 ametembea mitaani ya New York  City bila blauzi wa nguo yoyote juu yaani matiti nje kupinga sheria za Instagram zinazopinga picha za utupu kwa wanawake.Instagram ilifuta account yake kwa sababu alitupia picha za masweta aliyo-design  ambayo mbele yana picha za wanawake wawili walioanika matiti nje. Kwa kutumia hashtag #FreeTheNipple, alitumia mtandao wa twitter kumaliza hasira zake juu ya mtandao wa Instagram huku pia akitumia picha za Rihhana alizopiga akiwa mtupu kwa ajili ya jarida la LUI kama profilee picha yake. Kama umegundua pia account ya Rihhana ilifutwa muda mfupi baada ya kutupia picha zake akiwa mtu. Instagram hawakuwa nyuma,walijibu mashambulizi.  Shuka nayo kucheki alichofanya na walichomjibu Instagram . Credit Mamu Africa blog

ANGALIA PICHA ZA RAY C AKIWA MTAANI LEO, KUHAMASISHA MATEJA KUACHA UNGA

Image
  Leo Ray C Foundation tuliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya Kinondoni!!! nimeongea nao sana na kuwahamasisha waje kupata Tiba ya Methadone Mwananyamala.... nimefurahisana kuskia kutoka Kwao kwamba na wao wamechoka na Maisha ya utumwa...... Tuko pamoja nao kuhakikisha tunawasaidia....... Ray C Foundation Pamoja inawezekana...  

MAJIBU YA ZITTO BAADA YA KUHUSISHWA KUWANYONYA WASANII WA KIGOMA ALL STARS.

Image
Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA.  Leo tarehe 29 Mei, 2014 Msemaji wa Kambi ya Upinzani kuhusu Habari, Michezo, Vijana na Utamaduni amenituhumu kuhusika na kinachoitwa ufisadi katika Shirika la TANAPA na NSSF.  Nasikitika kwamba katika hali niliyonayo ya kumwuguza mama yangu naingizwa kwenye siasa za majitaka. Kwa sasa nitatoa maelezo kwa ufupi ili kuondoa upotoshaji.  Kampuni ya LekaDutigite inamilikiwa na wasanii 15 ambapo kila mmoja ana hisa 5% ambazo niliwalipia ili waweze kushirikiana katika kazi zao. Hisa 25% zilizobakia zinamilikiwa na kampuni ya Gombe Advisors ambayo ni kampuni isiyofanya faida (Company limited by guarantee) na haina maslahi yeyote ya kibiashara (not for profit company). Hivyo Mimi binafsi sina maslahi yeyote ya kifedha zaidi ya kuwasaidia wasanii hawa katika kazi zao mbalimbali.  Wasanii wa Kigoma AllStars wamefanya kazi na TANAPA na NSSF, kazi ambazo zinajulikana ...

WATUHUMIWA WA MLIPUKO WA MABOMU JIJINI ARUSHA WAPANDISHWA KIZIMBANI

Image
Mmoja wa watuhumiwa hao akipakiwa kwenye Gari la Polisi tayari kwa Kupelekwa Mahakamani kusikiliza kesi yao. Watuhumiwa wakiwa kwenye gari ya Polisi. WATU 17 wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu Mkazi jijini Arusha, kujibu mashitaka 16 yakiwemo ya kuua kwa kutumia bomu,kutesa binadamu na kusajili vijana na kuwapeleka nje ya nchi kufanya ugaidi. Watu hao walifikishwa mahakamani hapo leo na kusomemewa shitaka hilo mbele ya Hakimu Mkazi Mustafa Siama ambapo hawakutakiwa kujibu chochote kutokana na kile kilichoelezwa kuwa mahakama hiyo haina uwezo wa kusikiliza kesi hiyo. CHANZO MTAA KWA MTAA Watuhumiwa hao wanadaiwa kutenda tukio hilo Aprili 13,katika nyumba ya kulala wageni na baa ya Arusha Night Park iliyopo Mianzini jijini hapa,ambapo kesi hiyo imeahirishwa hadi juni 11 mwaka huu kwa mtuhumiwa namba moja na namba nne na watuhumiwa wengine waliobaki kesi yao itatajwa tena juni 12 Katika tukio hilo la mlipuko huo wa bomu watu 14 walijeruh...

HIZI NDIO PICHA NA LIST YA WASANII WA BONGO MOVIE WALIOFARIKI WAKIWA BADO NA UMRI MDOGO SANA!!

Image
RECHO: Hapa ndipo atakapo anza siku yake ya kwanza leo kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda mfupi baada ya kumzaa! RECHO: KUZALIWA 1988  KUFARIKI: 2014. UMRI: 26YRS KUAMBIANA: Hapa ndipo yalipo makazi ya milele ya Adam Kuambiana aliyefariki wiki iliyopita, leo akitimiza siku ya 13 kwenye makazi yake mapya  KUAMBIANA: KUZALIWA:  1976 - KUFARIKI: 2014  UMRI: 38Yrs JOHN MAGANGA: Haya ni makazi ya John Maganga akiwa leo naye anatimiza mwaka mmoja na miezi 6 JOHN: KUZALIWA: 1988 KUFARIKI: 2012 UMRI: 24Yrs MALISA: Haya ni makazi ya milele ya msanii mwingine Malisa ambaye ameshatimiza mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu atutoke ZUHURA: KUZALIWA: 1974 KUFARIKI: 2013 UMRI: 39Yrs KANUMBA: Haya ni makazi ya milele ya Kanumba ambaye sasa ana mika 2 na miezi 2 KUZALIWA: 1984 KUFARIKI: 2012 UMRI: 28yrs Hakika vijana wengi hivi sasa wanaondoka duniani mapema mno, wakiwa na umri ch...