Posts

WAKUBWA TUU!!!! BAADA YA POMBE KUMKOLEA MKE WA MTU APIGWA PICHA ZA UCHI GESTI NA KUFANYA MAPENZI....TAZAMA MAPICHA HAPA NI LAANA TUPU!!!

Image
Wanasema Pombe sio Chai Mke wa mtu aamua kupiga picha za uchi akifanya mapenzi kwenye Gesti maarufu Jijini Mwanza Inshu kamili ilikuwa hivi baada ya kuonekana mwanamke huyo ambaye kwa haraka hakufahamika jina lake aliingia kwenye gesti hiyo ambayo inatoa huduma ya vinywaji na kuanza kupata moja moto moja baridi.baadaye kidogo aliingia mwanaume wa makamo. >>>>PICHA YA 1 >>>>PICHA YA 2 >>>>PICHA YA 3  >>>>PICHA YA 4 >>>>PICHA YA 5  >>>>PICHA YA 6 >>>> PICHA ZAIDI ndipo walipojumuika pamoja na kendelea kugonga glass.mnamo majira ya saa mbili usiku alionekana mwanaume akiingia ndani ya gesti hiyo na mwanamke kumfuata kilichoendelea tazama picha hizo HAPO JUU... USISAHAU KUBOFYA LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPA

MAJINA YA WALIOMALIZA FORM SIX MWAKA 2014 WANAOTAKIWA KWENDA KURIPOTI JESHINI KWA MAFUNZO HAYA HAPA

Image
UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2014. AWAMU YA KWANZA;   VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI. AWAMU YA PILI;   VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 15 MEI 2014 KUANZIA SAA KUMI (10) JIONI. KIJANA YEYOTE MWENYE ULEMAVU UNAOONEKANA ARIPOTI KATIKA KAMBI YA MAFUNZO YA RUVU JKT (832 KIKOSI CHA JESHI). VIJANA WOTE WANATAKIWA KUWA NA VYETI VYA KUMALIZA KIDATO CHA SITA ( LEAVING CERTIFICATE). INASISITIZWA VIJANA WARIPOTI KWENYE MAKAMBI WALIOPANGIWA NA SIO KUJA MAKAO

WAUGUZI WASHEREKEA SIKUKUU YAO NA MR.KIKWETE.

Image
Wauguzi wakiwa wamekaa uku wakimsikiliza raisi Kikwete katika sherehe za wauguzi duniani.  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza kwa makini jinsi wauguzi  wanavyotoa huduma ya afya kwa wagonjwa wakati alipotembelea mojawapo ya mabanda ya maonyesho ya Wauguzi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika kitaifa katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid mjini Arusha leo.  Wauguzi wakiandamana wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani wakiwa na mabango mbalimbali katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha leo.  Wauguzi wakiandamana wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani wakiwa na mabango mbalimbali katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha leo. Picha na Fredy Maro

ANGALIA PICHA ZA OPERESHENI YA MTU WA MADAWA YA KULEVYATUMBONI ZINAVYOTISHA

Image
picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule. Hivi ndio huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya(maarufu kwa jina la Punda)  ni hatari sana kwa afya ya Binadamu,  kijana tuungane kwa pamoja kupinga biashara hii haramu na hatari sana tukishirikiana kwa pamoja  na Serikali kwa pamoja tunaweza kutokomeza madawa haya haramu na hatari sana kwa jamii yetu.   Hii ni picha ya x ray inayoonesha ndani ya tumbo madawa aliobeba. Yanavyoweza kuathili baadhi ya sehemu katika mwili. Operation ikifanyika tayari kuyaondoa madawa hayo yaliompelekea kijana huyu kufariki. Operation ikiendelea hatari sana ndugu zangu. Baada ya utumbo kutolewa tayali kuanza kuyatoa madawa hayo. Kama uonavyo yakiwa ndani ya utumbo mpana. Yakianza kutolewa pamoja na kushafishwa jinsi unavyoona katika picha. Baada ya utumbo kuchanwa tayari kwa kutoa keti hizo. Kabla mtu ajazimeza zinakuwa hivi sasa ebu fikilia mtu anameza kete elfu 5 j

ANGALIA DAWA ZA KICHINA ZILIVYOHARIBUWANAOPENDA MAKALIO NA KUBABULIWA,

Image
  Wameshauliwa sana, wameimbiwa saaaana lakini wenye masikio ya kufa ambayo hayasikii dawa wanaendelea kupaka. Dada zetu jaman kama mungu kakuumba na vitako vidogo kama skonzi au ngumi za mtotovumilia tu. Hivi huoni aibu hata kidogo, leo unavitako vidogo kama vibumunda vya bakhresa kufumba na kufumbua una makalio kama umejazwa upepo. Huogopi hata watu watakustukia. Haya sasa kama unapenda hilo, jua na madhara yake pia...mwenzenu amebakisha makalio yaliyoumuka na kuvimba kama viazi vya kuchoma. SI UNAUTAKA UZURI WA MATAKO, PAKA TUKUONE KAMA HAUTAKUWA NA MAKALIO YALIYOPISHANA SIZE.....ISHI NA UZURI WAKO WA ASILI

ANGALIA JEZI MPYA ZA CLUB ZA ULAYA KWA MSIMU UJAO 2014-2015

Image
Manchester United 2014-15 Home & Away Kit   Arsenal 2014-15 Kit   Chelsea 2014-15 Home Away Kits     Liveprool 2014-15 Kits   Bayern Munich 2014-15 Home Away Third Kits     Tottenham 2014-15 Home & Away Kit   Real Madrid 2014-15 Home & Away Kits:   AC Milan 2014-2015 All Kits         FC Barcelona 2014-15   Paris Saint Germain (PSG) 2014-15 AS Roma 2014- 2015 Kits  

TAZAMA PICHA ZA UKATILI ZA KUKATWA MAPANGA ALIOFANYIWA MZEE NYANDEGE WA MUSOMA MJINI

Image
Mzee Nyandege ambaye ni mkazi wa Musoma mjini ni maarufu kwa jina la Mzee wa Masufuria kutokana na shughuli zake za ujasiliamali anazofanya, usiku wa kuamkaia jumapili mnamo masaa ya saa saba usiku alivamiwa na majambazi na kumdai awape pesa na alipokaidi amri hiyo aliweza katwa mapanga matatu, katika mapanga hayo mawili yalikuwa mkono wa kulia na moja mkono wa kushoto kama jinis anavyoonekana kwenye picha hapo chini, kwa sasa mzee huyu  amelazwa katika hospitali ya Mkoa ya Musoma kwa matibabu zaidi kama anavyoonekana katika picha mikono yake ikiwa haina kazi mara baada ya kukatwa mapanga

ANGALIA PICHA MWANAFUNZI DENTI MIAKA 12 AOLEWA

Image
Wastara akifanya usafi ndani kwake baada ya kuolewa. Na Denis Mtima na Mayasa Mariwata, Pwani YELEUWII!  Kuishi kwingi ni kuona mengi, kijana aliyejitambulisha kwa jina la Andrew Vincent (23) ambaye amemaliza kidato cha nne mwaka jana, amejikuta katikati ya matatizo kufuatia kufunga pingu za maisha na mwanafunzi wa darasa la tano aliyefahamika kwa jina moja la Wastara (12), wote wakazi wa Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Tukio hilo lilijiri Aprili 26, mwaka huu ambapo kikosi kazi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ kilipokea taarifa kutoka kwa wasamaria wema wakilalamikia kitendo hicho na kutaka mwanafunzi huyo asaidiwe ili arudi shule. OFM kama kawaida yake, ilitinga eneo hilo kwa ajili ya kufuatilia taarifa hizo ambapo iliweza kuungana na mwalimu mkuu wa shule ya msingi anayosoma ‘bi harusi’ huyo, Hamad Mnaguzi na viongozi wengine wa kamati ya shule akiwemo mwenyekiti wa serikali ya kijiji, Shaban Zageni. Kijana aliyefahamika kwa jina la Andrew Vincent anayetuhumiw

ANGALIA MAAJABU YA MUNGU MWILI MMOJA VICHWA VIWILI.

Image
Mapacha hawa wanaitwa Abby na Brittany wamezaliwa mwaka 7/3/1990 nchini MAREKANI.  Mapacha hawa wameungana mwili na kuwa mwili mmoja wenye vichwa viwili, lakina chakushangaza zaidi kila mmoja anamfumo wake wa kupumua na moyo wake na maini yake, Vitu wanavyo changia ni mwili mmoja ikiwemo miguu miwili na mikono miwili.

DAWA ZA DICLOPA NA DICLOFENAC ZADAIWA KUWA NI HATARI KWA MATUMIZI YA BINADAMU

Image
Dawa za Diclopa na Diclofenac zadaiwa kuwa ni hatari kwa matumizi ya binadamu!  Radio Dutch Velle ya mjini Kolon Ujerumani jana ilitangaza kuwa Dawa Diclopa na Diclofenac ni hatari kwa matumizi ya binadamu, Imegundulika Vidonge hivyo husababisha kansa ya Ini na Ubongo,Ugonjwa wa moyo, Kiharusi, Vidonda vya Tumbo au kifo cha ghafla. Chanzo: Radio Dutch Velle

SHUKRANI KUTOKA KWA FAMILIA YA BW. PHARS MSIRIKALE

Image
Familia ya Bw. Phars Msirikale (Nyanda) inapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wale wote walioshirikiana nasi kwa hali na mali katika msiba wa baba yetu mpendwa Mzee Msirikale.  Asanteni kwa sala na michango yenu Mungu awarudishie mara dufu pale mlipotoa. Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu na apumzike kwa amani. Amina.  Marehemu mzaa Msirikale alipata ajali ya gari manamo 6/04/2014 majira ya saa mbili asubuhi na kupelekwa hospitali teule DDH ambapo alipoteza fahamu lakini tarehe 8 ya mwezi huu ilionekana alihitaji kufanyiwa uchunguzi zaidi na ndipo alipewa rufaa na kuhamishiwa hospitali ya rufaa Bugando Mwanza na kufanyiwa uchunguzi uliobaini kuwa alipata tatizo kichwani na damu kuvujia ndani.  Kwa bahati mbaya mnamo  tarehe 12 mwezi huu majira ya saa 10 jioni aliaga dunia na kuzikwa 15 mwezi huu,Bwana katoa na Bwana katwaa, Roho ya  marehemu ipumzike kwa amani