Posts

ANGALIA PICHA MWANAFUNZI DENTI MIAKA 12 AOLEWA

Image
Wastara akifanya usafi ndani kwake baada ya kuolewa. Na Denis Mtima na Mayasa Mariwata, Pwani YELEUWII!  Kuishi kwingi ni kuona mengi, kijana aliyejitambulisha kwa jina la Andrew Vincent (23) ambaye amemaliza kidato cha nne mwaka jana, amejikuta katikati ya matatizo kufuatia kufunga pingu za maisha na mwanafunzi wa darasa la tano aliyefahamika kwa jina moja la Wastara (12), wote wakazi wa Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Tukio hilo lilijiri Aprili 26, mwaka huu ambapo kikosi kazi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ kilipokea taarifa kutoka kwa wasamaria wema wakilalamikia kitendo hicho na kutaka mwanafunzi huyo asaidiwe ili arudi shule. OFM kama kawaida yake, ilitinga eneo hilo kwa ajili ya kufuatilia taarifa hizo ambapo iliweza kuungana na mwalimu mkuu wa shule ya msingi anayosoma ‘bi harusi’ huyo, Hamad Mnaguzi na viongozi wengine wa kamati ya shule akiwemo mwenyekiti wa serikali ya kijiji, Shaban Zageni. Kijana aliyefahamika kwa jina la Andrew Vincent anayetuhumiw

ANGALIA MAAJABU YA MUNGU MWILI MMOJA VICHWA VIWILI.

Image
Mapacha hawa wanaitwa Abby na Brittany wamezaliwa mwaka 7/3/1990 nchini MAREKANI.  Mapacha hawa wameungana mwili na kuwa mwili mmoja wenye vichwa viwili, lakina chakushangaza zaidi kila mmoja anamfumo wake wa kupumua na moyo wake na maini yake, Vitu wanavyo changia ni mwili mmoja ikiwemo miguu miwili na mikono miwili.

DAWA ZA DICLOPA NA DICLOFENAC ZADAIWA KUWA NI HATARI KWA MATUMIZI YA BINADAMU

Image
Dawa za Diclopa na Diclofenac zadaiwa kuwa ni hatari kwa matumizi ya binadamu!  Radio Dutch Velle ya mjini Kolon Ujerumani jana ilitangaza kuwa Dawa Diclopa na Diclofenac ni hatari kwa matumizi ya binadamu, Imegundulika Vidonge hivyo husababisha kansa ya Ini na Ubongo,Ugonjwa wa moyo, Kiharusi, Vidonda vya Tumbo au kifo cha ghafla. Chanzo: Radio Dutch Velle

SHUKRANI KUTOKA KWA FAMILIA YA BW. PHARS MSIRIKALE

Image
Familia ya Bw. Phars Msirikale (Nyanda) inapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wale wote walioshirikiana nasi kwa hali na mali katika msiba wa baba yetu mpendwa Mzee Msirikale.  Asanteni kwa sala na michango yenu Mungu awarudishie mara dufu pale mlipotoa. Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu na apumzike kwa amani. Amina.  Marehemu mzaa Msirikale alipata ajali ya gari manamo 6/04/2014 majira ya saa mbili asubuhi na kupelekwa hospitali teule DDH ambapo alipoteza fahamu lakini tarehe 8 ya mwezi huu ilionekana alihitaji kufanyiwa uchunguzi zaidi na ndipo alipewa rufaa na kuhamishiwa hospitali ya rufaa Bugando Mwanza na kufanyiwa uchunguzi uliobaini kuwa alipata tatizo kichwani na damu kuvujia ndani.  Kwa bahati mbaya mnamo  tarehe 12 mwezi huu majira ya saa 10 jioni aliaga dunia na kuzikwa 15 mwezi huu,Bwana katoa na Bwana katwaa, Roho ya  marehemu ipumzike kwa amani

SIMBA WATUA SALAMA BUKOBA, WAFANYA MAZOEZI YAO YA MWISHO KAITABA

Image
Baadhi ya Viongozi wa Simba wakiteta jambo kwenye Uwanja wa Kaitaba leo hii jioni, Bila shaka ni swala zima la mtanange wao kesho na Kagera Sugar huku wakijiuliza maswali kadhaa na kuucheki uwanja wa Kaitaba jinsi ulivyo katika kipindi hiki. Kocha wa Simba Zdravko Logarusic hakuwepo kabisa kwenye Mazoezi Hapa Kaitaba na inaoneka hakuja na Wachezaji wake. Wachezaji wa Simba wakishuka kwenye basi lao kuingia kwenye uwanja wa Kaitaba, Tayari kufanya mazoezi kujiweka fiti na mtanange wa kesho na Wenyeji Kagera Sugar. Baadhi ya Wachezaji wa Simba wakiingia tayari kwenye nyasi za Kaitaba hapa Bukoba Safi sana...siku nyingi!!! Tayari kwa mazoezi.... Wachezaji wa Simba wakiomba dakika chache kabla ya mazoezi yao kwenye Uwanja wa Kaitaba jioni Wachezaji wa Simba wakiteta jambo kabla ya mazoezi, Kipa Ivo Mapunda (katikati) akiwacheki kwa karibu. Viongozi wa Simba wakiwacheki vijana wao wakijifua! Kesho tucheka na nyavu tuu.... Simba sc wanaingia katika mche

HAWA WAJAPAN SIO WAZIMA. TAZAMA HIKI WALICHOKIFANYA NI AIBU, TENA NDANI YA OFISI

Image
 Kama wewe ni mkubwa unaweza kutazama hapa lakini hawa wajapani sidhani kama wana akili timamu maana kitendo walichokuwa wanakifanya sio kizuri.... HEBU CHEKI 

LAANA: MSANII MKUBWA WA BONGO AACHIA PICHA NA VIDEO AKIWA ANAFANYA ANAFANYA MAP3NZI LIVE BILA CHENGA, TAZAMA HAPA LAANA YAO

Image
Ni ishu ya kushangaza sana pale wasanii wetu wakubwa wanapoamua kufanya vitendo vya kutia aibu na kujianika hadharani. Huyu ni msanii mkubwa tu hapa bongo aliyeamua kutuonesha jinsi gani anajua kufanya ngono..Hebu bofya hapa ujionee mwenyewe.....                             >>>> BOFYA HAPA UJIONEE VIDEO NA PICHA <<<<< Ukitaka kujua ni msanii gani, Bofya hapa ujionee picha yake ----->>>  PICHA YAKE

JINSI YA KUKATIKA UNAPOKUWA NA MPENZI WAKO FARAGHA...

Image
Simama wima(ukiwa uchi mbele ya kioo ndio it'll work better), weka mikono yako hapo tumboni alafu sukuma tumbo lako mbele (litunishe) baki hivyo kwa muda kisha lirudishe kwa ndani na ubaki tena hivyo kwa muda.  Rudia kufanya hivyo mara nyingi uwezavyo na kumbuka kubana pumzi huku mdomo ukiwa wazi (itasaidia kukaza misuli ya tumbo pia), kubadilisha mirindimo (polepole, haraka, chap-chap, kugandisha n.k) mpaka utakapo hisi tumbo lako linatetema/tikisika (yaani vibrating). Msingi wa kukata kiuno Kama nilivyosema awali, simama wima najishike kiunoni(kuhu na huku) kisha peleka sehemu ya kiuno ya kulia upande wa kulia, sehemu ya mbele ipeleke mbele uwezavyo(nina maana ile pelvis tu sio tumbo na kila kitu) alafu baada ya hapo peleke sehemu yako ya kiuno ya kushoto-kushoto, kisha peleka sehemu yako ya mbele nyuma hali itakayofanya matako yako yabinuke/jitokeze kwa nyuma.....nyoosha magoti kisha rudi kulia (ulipoanzia). Fuata hatua hizo kwa mara nyingine tena a

ANGALIA NAFASI MPYA YA KAZI KUTOKA TANROADS

Image
BRIDGE ENGINEER , TANROADS - KATAVI Applications are invited from suitably qualified Tanzanians to fill vacant positions of Resident Engineer in short term at the Regional Manager's Office - TANROADS Katavi. Bridge Engineer Main duties of the position are: 1. Reviewing Bridge Design Reports and ensures contract documents are complete for proper execution of the works; 2. Perform Design Review of the Substructure as may be necessary; 3. Oversees the Contractor to ensure that the Works contracts are executed in accordance with the performance targets set out in the contract and as agreed with TAN ROADS Katavi Region; 4. Monitors project progress and resolves implementation problems in order to achieve performance targets; 5. Advises the Project Manager on all issues pertaining to projects'implementation with particular emphases placed on issues that require the decision of the Client so that projects are not delayed; 6. Prepares for TAN ROADS K

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA)

Image
Tanzania Revenue Authority Jobs , April 2014 Tanzania Revenue Authority (TRA) was established under the Tanzania Revenue Authority Act No.11 0f 1995.The Authority is a semi-autonomous agency of the Government responsible for the administration of the Central Government taxes as well as several non-tax revenues. TRA is currently implementing its fourth Corporate Plan whose vision is t o increase revenue to GDP to 19.9% by 2018 . TRA would like to recruit dynamic experienced and qualified personnel to fill vacant positions in the Domestic Revenue and Customs & Excise Departments. Applications are therefore invited from suitably qualified Tanzanians for the following positions: Preventive Assistants Purpose of the Job. To strengthen supervision of the Customs preventive operations. Major Activities of the Job. (i) Board and rummage vessels. (ii) Prevent and control the importation of prohibited and restricted goods. (iii) Perform prevent