Posts

MEZA YETU YA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 13.03.2014

Image
MAGAZETI YA UDAKU LEO MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Taarifa ya mahakama juu ya ghorofa ambalo liliporomoka jijini Dar siku za nyuma

Image
Kama unalikumbuka Ghorofa lililowahi kuingia kwenye headline kwa kuporomoka likiwa bado linaendelea na ujenzi sasa leo Mkurugenzi wa zamani wa Manispaa ya Ilala Gabriel Fuime na wenzake 11 wamesomewa upya mashtaka 27 ya mauaji katika ajali ya kuporomoka kwa jengo hilo la ghorofa 16 Dar. Mkurugenzi huyo wa Mashitaka Nchini (DPP) amemfutia mashitaka aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Gabriel Fuime (61) na kisha kumuunganisha na wenzake 11 na kuwasomea upya mashtaka 27 ya mauaji yaliyotokea katika mtaa wa Indira Gandh yaliyosababishwa na kuporomoka kwa Ghorofa hilo. Mbali na Fuime washtakiwa wengine ni Diwani wa Kata ya Goba Ibrahim Mohamed maarufu kama Kisoki,Raza Ladha,Goodluck Mbanga,Willbroad Mugyabuso,Mohamed Abdulkarim,Charles Ogare,Zonazea Oushoudada,Vedasto Ruhale,Michael Hema,Albert Mnuo na Joseph Ringo. Washtakiwa hao wamesomewa hati mpya ya mashitaka baada ya kuondolewa hati ya zamani ya mauaji ya bila kukusudiwa na kuunganishwa Fuime na i

Mabaki kama ya ndege yaonekana baharini

Image
Picha zilizonaswa na mtambo wa satellite Serikali ya Uchina imechapisha picha zilizonaswa na mtambo wake wa satelite zikionyesha mabaki ya kitu kipana kikielea katika bahari ya Kusini mwa Uchina.Picha hizo zilipigwa siku ya Jumapili, saa ishirini na nne baada ya ndege ya abiria ya Malaysia kutoweka ikiwa na abiria 239, lakini haijabainika ikiwa vifaa hivyo ni vya ndege hiyo.Huku ikiwa na raia wake 154, ambao walikuwa abiria kwenye ndege hiyo ya Malaysia, serikali ya Uchina imetuma mitambo kumi ya satellite kusaidia katika harakati za kutafuta ndege hiyo.Picha za vifaa hivyo vitatu, ambavyo moja ina upana wa takriban mita 24 kwa 22, zilichukuliwa siku ya Jumapili, siku moja tu baada ya ndege hiyo kupotea, lakini zilichapishwa siku ya Jumatano. Picha zilizonaswa na mtambo wa satellite Ubawa wa ndege hiyo iliyopotea ina upana wa mita sitini na moja. Picha hizo za satellite zimeweka vifaa hivyo takriban maili mia moja kutoka kwa njia iliyotarajiwa kutumiw

LIGI YA MABINGWA ULAYA : FC BARCELONA WAICHAPA MAN CITY NA KUTUPWA NJE

Image
Jubilant: Lionel Messi celebrates with his team-mates after giving the hosts the lead on the night Dink: Messi slips the ball over Joe Hart to give Barcelona a 3-0 aggregate lead Thanks: Messi celebrates in front of the Nou Camp crowd after his opening goal Off you go: Pablo Zabaleta was sent off for a second booking for disputing a penalty appeal with the referee Down and out: City crashed out 4-1 on aggregate, and had two player sent off over both legs Gutted: Edin Dzeko and his team-mates look dejected after conceding the opening goal Winner: Alves blasts home for the winning goal on the night past Joe Hart Rough and tumble: Substitute Dzeko is roughly handled by Pique at the Nou Camp The quadruple is now the Capital One Cup and an uphill climb to wrest first spot off Chelsea.  City enjoyed moments of brightness here, but a 4-1 aggregate defeat by what Jose Mourinho regards as the worst Ba

Angalia Picha za majengo yaliyoporomoka New York

Image
Majengo mawili yameporomoka New York Marekani ambapo mpaka sasa imetoka ripoti ya watu wawili kufariki na wengine kutoonekana huku 18 wakijeruhiwa na wanne wakikimbizwa hospitali.Chanzo cha majengo hayo kuporomoka ni mlipuko uliotokana na kuvuja kwa gesi ambapo askari wa zimamoto wakiwa na vifaa vya kisasa wako kwenye eneo la tukio kuendelea kuzima moto.

BREKING NEWSS:SAMWEL SITTA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Image
Mh.samweli sitta ameshinda nafasi ya mwenyekiti wa bunge la katiba kwa kura 487 na hashim rungwe kapata69 walio piga kura jumla ni566 kula zilizo alibika ni

TV1 YAZINDULIWA RASMI LEO HII JIJINI DAR ES SALAAM, KIDOTI NDANI YA NYUMBA, WASEMA WANALETA MAPINDUZI MAKUBWA!!

Image
Mkurugenzi Mtendaji wa TV1 Tanzania, Marcus Adolfsson akizungumza na waandishi wa habari katika Hotel ya Southern Sun jijini Dar es salaam leo hii wakati wa uzinduzi rasmi  wa kituo kipya cha runinga kijulikanacho kama TV1, ambacho kitakuwa kikirusha matangazo yake kutoka jijini Dar es salaam na kuonekana nchini kote  kupitia king`amuzi cha Startimes  katika Channel namba 103 kwa mwonekano ulio bora kabisa. Mr. Adolfsson amesema TV 1  imekuja kuleta mapinduzi katika tasnia ya utangazaji wa runinga nchini Tanzania kwani vipindi vyake vya burudani na habari ni bora na vinatengenezwa kwa kumgusa Mtanzania wa hali ya chini. Hapa Mkurugenzi Mtendaji wa TV1 Tanzania, Marcus Adolfsson akitazama moja ya kipindi cha TV kilichooneshwa kwenye TV iliyowekwa hotelini kwa lengo la  kuwadhihirishia waandishi wa habari ubora wa kazi zao. Mtangazaji wa kipindi cha The One Show kitakachokuwa kikirushwa TVI, Jokate Mwaigelo maarufu kwa jina la `Kidoti` amesema kuwa kipindi hicho kitak