Posts

UFISADI MPYAAA WA MWENYEKITI WA TAIFA CHADEMA NA MBUNGE WA HAI, FREEMAN MBOWE WAANIKWA

Image
Imeandikwa na  Habibu Mchange 0762178678: -------   Juzi niliandika kuhusu unafiki wa MBOWE kuwahadaa Watanzania ya kwamba yeye hanunuliki, nilitoa ushuhuda wa MBOWE kupokea million 100 kutoka kwa ROSTAM AZIZ aliyekuwa mwanamkakati muhimu wa ushindi wa Urais kwa mgombea wa CCM mwaka 2005 Mheshimiwa JAKAYA KIKWETE, ambapo pesa hizo zilipokelewa mwezi oktoba 2005 na kumfikia mbowe kupitia kwa mke wak e ndugu LILIAN MTEI MBOWE, na kumfikia MBOWE ambaye kipindi hicho alikuwa anagombea URAIS kupitia CHADEMA, hapa mbowe sio tu kwamba alinunuliwa, alihongwa ama kutumiwa kuwadhoofisha wapinzani waliokuwa na nguvu kipindi hicho, bali pia alidhihirisha namna gani yeye ni mpinzani mtiifu kwa CCM (alikubali kutumika) na ni MNAFIKI ALIYETUKUKA. Leo tarehe 18.12.2013, Magazeti kadhaa yameripoti juu ya muendelezo wa unafiki wa MBOWE na vibaraka wake. Magazeti yameandika pamoja na mambo mengine, kwa...

JOKATE MWEGELO AZINDUA MRADI MPYA WA KIDOTI

Image
  Jokate Mwegelo akibadilishana mawazo na baadhi ya wafanyakazi wa saluni hiyo muda mfupi kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari. Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia matukio.…   Jokate Mwegelo akibadilishana mawazo na baadhi ya wafanyakazi wa saluni hiyo muda mfupi kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari. Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia matukio. Jokate akiwasabahi waandishi wa habari. .. .akitoa ufafanuzi juu ya mtandao huo. Akifanyiwa ukarabati wa uso (make up) ndani ya saluni hiyo, baada ya kuzungumza na waandishi wa habari.   Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Kidoti katika picha ya pamoja.   Jokate katika pozi. MWANAMITINDO maarufu nchini, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ amezindua mtandao mpya wa King’aring’ari ambao unampa fursa mwanamke kupata dondoo mbalimbali za urembo pamoja na kubadilishana mawazo juu ya mijadala mbalimbali. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye uzin...

WATU 200 WANUSURIKA KUFA

Image
Watu 200 waliokuwa wakisafiri kwa ndege ya Ethiopian Airline wanusurika kufa baada ya ndege kupitiliza hadi nje ya uwanja mdogo wa ndege wa Arusha baada ya kutua kwa dharura. Watu 200 waliokuwa wakisafiri kwa ndege ya Ethiopian Airline wanusurika kufa baada ya ndege kupitiliza hadi nje ya uwanja mdogo wa ndege wa Arusha baada ya kutua kwa dharura.

MSANII WA MZIKI WA BONGO FLEVA REMMY WILLIAMS ATUA NCHINI

Image
MSANII wa mziki wa bongo fleva Remmy Williams MSANII wa mziki wa bongo fleva Remmy Will akiwasili nchini akitokea Italy MSANII wa mziki wa bongo fleva Remmy Will  (kushoto ) akiwasili nchini akitokea Italy kulia ni meneja wake nchini Italy Wactor Fizio walipowasili nchini Tanzania MSANII wa mziki wa bongo fleva Remmy Williams MSANII wa mziki wa bongo fleva Remmy Williams katikati akilakiwa na baadhi ya warembo waliojitokeza kumpokea msanii huyo MSANII wa mziki wa bongo fleva Remmy Williams akiwa ameshikwa mkono na meneja wake wa Tanzania Mcdennis Mgatha Na Mwandishi Wetu MSANII wa mziki wa bongo fleva Remmy Williams anaefanya shughuli za mziki nchini Ital ameingia nchini jana na kutua jijni Dar es salaam kwa ajili ya kufanya kazi na wasanii wenzake nchini Akizungumzia ujio wake mara baada ya kutua uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu julius nyerere Dar es salaam  anasema kuwa nawapenda wasanii wote wa Ta...

Mangariba 38 matatani Moshi Tanzania

Image
Ukeketaji hufanywa katika sehemu nyingi Tanzania licha ya kuharamishwa Afisaa mmoja wa serikali kaskazini mwa Tanzania ameambia BBC kuwa kikundi kikubwa cha watu waliokamatwa kwa kuhusika na ukeketaji wa wasichana mjini Moshi watafikishwa mahakamani Jumatano. Kamishna wa wilaya katika eneo la Kilimanjaro (Herman Kapufi,) amesema kuwa watu 38 waliokamatwa Jumatatu miongoni mwao ni wazazi wa wasichana waliokuwa wanakeketwa. Maafisa wakuu mjini Moshi Tanzania, waliwakamata wanawake 38 mnamo siku ya Jumatatu waliopatikana wakiwakeketa wasichana katika eneo hilo.Alisema kuwa wasichana waliokeketwa wanapokea matibabu. Haijulikani idadi ya wasichana walioathirika. Lakini ripoti zinasema kuwa walikuwa kati ya umri wa miaka 3 na 16. Ingawa ukeketaji ambao umeharamishwa huendelezwa katika sehemu nyingi za Mara na Dodoma nchini Tanzania , hilo sio jambo la kawaida kutokea mjini Moshi. Inaarifiw...

RAY C AAMUA KUWAPA LIVE WASANII WENZAKE

Image
Rehema Chalamila aka Ray C jana alifunguka kupitia kipindi cha Mkasi jinsi ambavyo wasanii wenzake walimtenga wakati alipokuwa amelazwa hospitali kupatiwa matibabu ya ‘uraibu’ (addiction) wa madawa ya kulevya. Ray C alisema japokuwa mama yake alitoa kwa umma mawasiliano yake na maelekezo ya namna ya kumsaidia, simu hiyo iliyokuwa busy saa 24, ilikuwa ikipokea simu na ujumbe kutoka kwa mashabiki wake pekee na sio msanii yeyote anayemfahamu. Muimbaji huyo aliyewahi kutamba na vibao vingi vikali vikiwemo ‘Niwe Nawe Milele’ Uko Wapi na Sogea Sogea, alisema hiyo ilimpa funzo kuwa mtu maarufu huwa na marafiki pale tu anapokuwa juu lakini akipata matatizo hutengwa na hata watu wake wa karibu Katika kipindi hicho pia, Ray C aligusia jinsi ambavyo Lord Eyez alimuingiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya ambapo alikuwa akimchanganyia unga kwenye bangi bila ya yeye kufahamu na kwamba alifanya hivyo kwa mwaka mzima. Alisema baada ya kujigundua k...

DIAMOND AFANYA KUFURU BIRTHDAY YA MTOTO WA MJINI HALIMA KIMWANA .... JIONEE MWENYEWEEE

Image
Qboy na Shettah Halima Kimwana na Mdogo wake Minaababy......!!! Dada lao,Queen darleen Esma Mc ......!! Ha ha h ah Darleen,hajawahi isha vituko huyu Mida ya Cake......!! Hii shughri ilikuwa ikinihusu moja kwa moja,nisingewea toka pasipo kutoa burudani japo kidogo...