Posts

AIRTEL YAPIGA TAFU TIMU YA TAIFA YA VIJANA CHINI YA MIAKA 17

Image
KAMPUNI ya Airtel Tanzania imeahidi kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuendeleza michezo nchini ili kuleta ufanisi katika sekta ya michezo. Akizungumza kabla ya kukabidhi mipira 100 kwa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Airtel Tanzania Bwana Sunil Colaso alisema uwekezaji katika michezo ni mhimu hasa katika kipindi hiki amabacho Tanzania inajipanga kushiriki katika mashindano ya kikanda na kimataifa.  “Airtel Tanzania tunakabidhi mipira 100 kwa timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17 kama sehemu ya juhudi zetu kusaidia maendeleo ya michezo.  “Tutaendelea kushirikiana na Serikali pamoja na wadau wengine kuhakikisha nchi inapata mabalozi wa kutuwakilisha vizuri katika mashindano ya kimataifa” alisema Colaso alisema mwaka 2011 kampuni yake kwa makusudi ilianzisha Airtel Rising Stars ikiwa ni mpango wa kuvumubua na kuendeleza vipaji kwa vijana wadogo kutoka ngazi ya chini ili ku

MHE. MAKALLA AFUNGUA KONGAMANO LA VIONGOZI WA MICHEZO WANAWAKE BARANI AFRIKA!!

Image
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Amos Makalla akiingia ukumbini kwa ajili ya kufungua Kongamano la Viongozi wa Michezo Wanawake Barani Afrika lililofanyika katika Hoteli ya Peacok leo Jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo,  Profesa Elisante Ole Gabriel (aliyesimama) akimkaribisha Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Amos Makalla (Kulia) wakati wa Kongamano la Viongozi wa Michezo Wanawake lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Mfuko wa Anita Foundation Dr. Anita White.  Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Amos Makalla akifungua Kongamano la Viongozi wa Michezo Wanawake lililofanyika  leo Jijini Dar es Salaam. Washiriki kutoka nchi mbalimbali wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizotolewa katika kongamano hilo leo Jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Amos Makalla (katika

ZIFAHAMU VYEMA NJIA YA KUAMSHA NA KUZITEKA HISIA ZA MPENZI WAKO

Image
NAAMINI rafiki zangu wote mtakuwa wazima wa afya njema, kama mimi na mpo tayari kuanza darasa hili jipya baada ya kumaliza somo lililopita last week. Karibuni tujifunze pamoja na ninaomba utayari wako ili uweze kuingiza kitu kipya ubongoni mwako. HISIA NI NINI HASA? Katika tafsiri ya kawaida hisia ni neno linalotokana na hisi, fikiri, buni. Kwenye uwanja wa mapenzi linanyambulishwa tofauti kabisa. Huku linajulikana kama mshawasha, mhemko, miliki n.k.                                Mara nyingi nimekuwa nikisisitiza kwamba, mapenzi ni furaha na kama upo kwenye uhusiano ambao una mateso na kila aina ya matatizo, basi ujue kwamba haupo sahihi. Hakuna masimango kwenye mapenzi, kunyanyasana na maumivu. Tafsiri hasa ya mapenzi ni upendo, sasa kama ndivyo, si sahihi kuwa kwenye upendo, halafu chuki inachanganyika ndani yake. Hayo niliyoyataja hapo juu, mama yake ni chuki! Ndugu zangu, nirejee kusema tena kwamba uwanja wa huba ni mpana sana na unahitaji elimu kila wakati

MAMA KIKWETE AITAKA JAMII KUSAIDIA KUINUA ELIMU YA WANAWAKE

Image
Na Anna Nkinda – Maelezo, Dubai Serikali , Asasi za kiraia, Sekta binafsi na watu mbalimbali wametakiwa kusaidia kuinua  elimu ya wanawake kwakuwa faida yake ni pana na endelevu na kwa kufanya hivyo watakuwa wameotesha mbegu ambayo matunda yake yatanufaisha ulimwengu kwa kuufanya uwe na ustawi zaidi, amani na utengamano. Wito huo umetolewa leo  na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwenye mkutano wa siku tatu wa wanawake kutoka nchi za Afrika, Asia na  Mashariki ya Kati unaofanyika katika Hoteli ya Atlantis The Palm  iliyopo Dubai , Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Mama Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) alisema elimu pekee ndiyo mkombozi wa mwanamke kwa kuwa  husaidia kuboresha afya, uchumi, usalama na hupunguza kwa kiasi kikubwa vifo vya watoto. Husaidia watoto kuwa na lishe bora na kuboresha afya ya uzazi na kupunguza kusambaa kwa maambukizi ya Ugonjwa wa Ukimwi. “Umuhimu wa elimu kwa wasichana na wa

VYAKULA MUHIMU SANA MWILINI MWAKO

Image
  NDUGU msomaji. Katika makala zilizopita tuliwahi kuzungumzia jinsi dawa za ‘antibiotic’ zinavyoendelea kukosa umaarufu. Tuliongelea sababu zake na tukaweka wazi suluhisho kwa kipindi hiki cha mpito ni kuupa mwili mlo sahihi ili kujijengea wenyewe kinga na tiba ya maradhi takribani yote duniani. Wasomaji wengi walipiga simu wakitaka kujua mlo sahihi ni upi hasa. Kula vyakula vyenye asili ya mimea na hasa vile ambavyo havipitii jikoni na kuchomwa na moto kabla ya kuliwa ndiyo sahihi na muhimili mkuu wa tiba na kinga ya maradhi anayougua binadamu, yakiwemo yale sugu kama kifua kikuu, saratani za aina tofauti, shinikizo la damu, kupooza, ganzi na hata kisukari. Kitaalamu, ukikaa mezani kula mlo wa asubuhi, mchana, na hata jioni, hakikisha asilimia 75 ya mlo wako ni vyakula ambavyo havijapikwa kama vile kachumbari, matunda, mboga za majani zilizochemshwa tu, mbegu kama korosho, karanga n.k. Tafiti nyingi duniani zimethibitisha kuwa kadiri mtu anavyoongeza vyakula vi

Rais Kikwete awataka wananchi kuwekeza zaidi katika kilimo ili kukuza uchumi wa nchi

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete amesema endapo jamii itafanikiwa kuwekeza katika kilimo basi uchumi wa Tanzania utakuwa na kufanikiwa kupiga hatua katika maendeleo ya nchini... Rais Kikwete ametoa msisitizo huo  hii jijini Dar Es Salaam wakati wa mkutano wa saba wa baraza la Taifa la Biashara TNBC uliokutanisha taasisi binafsi na za umma kwa lengo la kuimarisha ushirikiano baina ya taasisi hizo za pande mbili... Kilimo ni moja ya sekta ambayo imekuwa ikisisitizwa siku hadi siku, ingawa utekelezaji wake umekuwa ukisuasua katika baadhi ya jamii za kitanzania. Miongoni mwa masuala yaliyozungumzwa katika mkutano huo uliotawaliwa na viongozi kutoka taasisi binafsi na umma ni pamoja na mpango wa Matokeo Makubwa sasa ambao unaonekana kufanikiwa zaidi kutokana na ushirikiano utakaokuwepo baina ya sekta hizo. Mkutano huo pia umejadili changamoto mbalimbali ikiwemo suala la ajira kwa vijana na namna gani sekta binafsi inaw

HAUSISIMKI UKIWA NAYE?

Image
Wiki iliyopita tulikuwa na mada inayohusu jinsi tunavyoishi na familia zetu, nikauliza kama baadhi yetu huwa tunapata nafasi ya kujiuliza kuhusu vijana wetu, maana wengi huwa tunadhani baada ya kuwalipia ada, jukumu letu linaishia hapo. Leo najaribu kuwa karibu na nyinyi katika upande mwingine. Na hii inatokana hasa na baadhi ya malalamiko ninayokutana nayo kutoka kwa wadau mbalimbali wa kona hii, wake kwa waume, wanaolalamikia jinsi wanavyojisikia wakati wa tendo la ndoa. “Nashangaa sana, huwa sipati msisimko wowote ninapokutana na mpenzi wangu, sana sana huwa nasikia maumivu tu,” haya ni baadhi ya maneno ninayolalamikiwa na wadau wenzetu juu ya hisia zao. Nimejaribu kubadilishana mawazo na watu kadhaa juu ya suala hili na wengi wamenieleza kuwa ni kweli hali kama hii hujitokeza, ingawa mara nyingi huwa ni kati ya mtu na mtu na wala siyo tatizo la kudumu la kila mmoja. Kutosisimkwa kwaweza kutokea kwa sababu kadhaa, lakini kubwa ni kutovutiwa na mwenza wako. Wawe

JUMUIA YA WAZAZI CCM KINONDONI WAENDA MOROGORO KUJINOA

Image
 Baadhi ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi Kata za wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam, wakiwa kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Kinondoni wakati wakisubiri kuanza safari ya kwenda Morogoro leo kwa ajili ya semina yao ya mafunzo itakayoanza kesho  Wakisubiru usafiri ofisi ya CCM wilaya ya Kinondoni  Wawakilishi kutoka Kata ya Kawe wakiwa ofisi ya CCM Kinondoni kabla ya safari  Baadhi ya viongozi wa Jumuia hiyo wakiwa Oofisi ya CCM Kinondoni  Baadhi wakitaniana kabla ya safari  Mwenyekiti wa Jumuia aya Wazazi Kata ya Tandale, Yahya Akilimali aka Mzee wa Yanga, akifurahia jambo na Katibu wa Jumuia hiyo Kata ya Goba, Rehema Ngulume, kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Kinondoni kabla ya safari hiyo  Wakiondoka kwenye ofisi ya CCM wilaya ya Kinondoni kwenda kupanda basi lililowafuata kwenye ofisi hiyo  Wakipanda basi Wakiwa katika basi wakati safri ikiendelea kwenda Moro

SUPER STAR BABY MADAHA AFUNGUKA LIVE KUHUSU MBABY WAKE!!

Image
STAA wa filamu Bongo anayetamba na ngoma yake ya Summer Holiday amesema kuwa kutokana na mahaba maz i to anayopatiwa na mwandani wake Joe Kariuki ambaye ni Meneja wake hafikirii kumuacha kamwe. Akipiga stori na paparazi wetu alisema, tangu aanze uhusiano na pedeshee huyo anayem i liki studio ya Candy n’ Candy  nchini Kenya, amekuwa akijiona mwenye fahari kubwa kwenye sayari ya mapenzi kutokana na upendo anaomuonesha na kumfanya asiwaze kumpotezea kamwe. “Kusema kweli huyu kaka kanikoleza jamani japo watu watachonga mengi lakini abadani sitosikiliza maneno yao, kwa kuwa awali sikuwa na uhusiano naye ila porojo za watu zilipelekea kuchukua maamuzi hayo natamani niamie Kenya ili tuwe karibu wakati wote,”alisema Baby Madaha. Aliongeza kuwa kikubwa kil i chompelekea kuwa naye ni kutokana na upendo wake wa kw e li alionao kwake siyo kutokana na suala la mkwanja kama wengi wanavyodhani.

FILAMU 100 KALI ZA KIHINDI ZILIZOTIKISA KUWA NA "LOVE STORY" KALI

Image
Bollywood imekuwa maarufu sana duniani kutokana na kuwa na hadithi nzuri za mapenzi katika filamu zao. Tanisia hii ya filamu ina miaka mingi sana nchini humo yapata miaka mia moja, hebu angalia filamu 100 kali za mapenzi za kihindi toka miaka hiyo. 100. Umraao Jaan 99. Rangeela 98. Kashmir Ki Kali 97. Barsaat (Raj kapoor Starrer) 96. Zindagi na Milegi Dobara 95. Dev D 94. Student of the Year 93. Socha Naa Tha 92. Kabhie Khushi Kabhie Gham 91. Ram Teri Ganga Maili 90. Jeet 89. Judaai 88. Devdas 87. Arth 86. Hero 85. Betaab 84. Hum hai Raahi Pyaar Ke 83. Pardes 82. Julie 81. Kabhie Haan Kabhie Naa 80. Kaagaj Ke Phool 79. Aradhana 78. Aawara 77. Paakeeja 76. Shree 420 75. 1942: A Love Story 74. Choti Si Baat 73. Vicky Donor 72. Kabhi alvida Na Kehna 71. Bobby 70. Teri Meri Kaahani 69. Ishq 68. Dil Se 67. Deewana 66. My Name is Khan 65. Salam