Posts

MAMIA WAJITOKEZA KUAGA MILI WA MAREHEMU DK SENGONDO MVUNGI LEO JIJINI DAR KATIKA VIWANJA VYAKARIMJEE

Image
  Picha ya Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi enzi za uhai wake. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza wakati wa kutoka salamu za rambi rambi katika shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Ibada ilkiendelea wakati wa shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Taratibu za Kumuombea Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi ikiendelea leo kwenye Viwanya vya Karemjee,Jijini Dar es Salaam. Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi likiwekwa sawa tayari kwa kuaza kwa zoezi la kutoa Heshima za Mwisho. Viongozi wa Dini wakitoa heshima za mwisho Watawa wa Kanisa Katoliki wakitoa heshima kwa Mwili wa Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, ...

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAREHE 16.11.2013

Image
MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI MAGAZETI YA UDAKU LEO