Posts

MAITI YAKUTWA NA KETE 65 ZA DAW ZA KULEVYA

Image
[DIWANI ATHUMANI- ACP]  KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA  WA KWANZA KUSHOTO AKIANGALIA MWILI WA MAREHEMU  KASSIM SAID KATIKA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI RUFAA MBEYA   PIPI 65  ZA  DAWA ZIDHANIWAZO KUWA ZA KULEVYA  ZILIZOKUTWA  TUMBONI KWA MAREHEMU NA  MOJA KATI YA  PIPI HIZO IKIWA IMEPASUKA . §    MNAMO TAREHE  07.11.2013  MAJIRA YA SAA  11: 00HRS  HUKO KATIKA  HOSPITALI YA WILAYA YA KYELA  MKOA WA MBEYA.  KASSIM  SAIDI   MBOYA , MIAKA 36, MKAZI WA DSM ALIFARIKI DUNIA WAKATI AKIPATIWA MATIBABU HOSPITALINI HAPO. MAREHEMU ALIFAHAMIKA JINA KWA MUJIBU WA HATI YAKE YA KUSAFIRIA  NAMBA – AB 051010  KUTOKA  DSM  KUELEKEA LILONGWE  NCHINI  MALAWI. §    MAREHEMU ALIKUWA ANASAFIRI  AKIWA KATIKA BASI LA  TAQWA  LENYE NAMBA ZA USAJIRI T.319 BLZ  AINA YA  NISSAN KWA MUJIBU WA TIKETI YAKE ILIYOKUWA NA JINA LA  KASSIM MUECK MICHAEL,   AKIWA NA BEGI DOGO LENYE SURUALI MOJA AINA YA JEANS,T-SHIRT MOJA NYEUSI,RABA JOZI MOJA RANGI

HUYU MWANAMKE NI BALAA .. ABADILISHA WANAUME USIKU KUCHA .. ISHU NZIMA HII HAPA

Image
  KABANG! Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni jijini Dar kwa kushirikiana na Oparesheni    Fichua Maovu (OFM) wamemnasa mrembo Zuena Mohammed anayedaiwa kukodi chumba cha gesti na kuingiza wa- naume kwa zamu usiku kucha. Zuena Mohammed akivaa nguo zake baada ya kunaswa na mteja chumbani. Tukio hilo lilijiri chumba namba 14 ndani ya Gesti ya Mori Lodge iliyopo Sinza jijini Dar ambapo mwanamke huyo alikuwa amekodi chumba hicho na kuwapanga wanaume kwa foleni kwa ajili ya kutoa huduma haramu ya ngono. Zuena akiwa na mteja wake chumbani mara baada ya kunaswa na polisi. AFM Watonywa. Awali, ‘makachero’ wa OFM walitonywa kuwepo kwa ishu hiyo na chanzo chake kilichodai kuk- erwa na tabia ya mrembo huyo ambaye amekuwa akitishia afya za wanaume wakiwemo vigogo wa serikali ambao ilidaiwa kuwa ni sehemu ya wateja wake. Chanzo: Jamani OFM mpo ka- zini? ...akijifunika uso kwa aibu. OFM: Tumejaa tele leta maneno. Chan

WEMA SEPETU AIPASUA KATIKATI CLUB YA BONGO MOVIE BAADA YA RAY KUWAKATAZA WASANII WASIHUDHURIE MSIBA WA BABA YAKE

Image
Wema Sepetu Klabu ya Bongo Movie ambayo inaundwa na baadhi ya wasanii wa filamu Swahiliwood imepasuka katikati kisa kikidaiwa kuwa ni lile tamko linalodaiwa kutolewa na mwenyekiti wa klabu hiyo, Vincent Kigosi ‘Ray’ kuwa mwanachama yeyote wa kundi hilo asitie miguu kwenye msiba wa baba mzazi wa mwenzao, Wema Sepetu, marehemu Balozi Isaac Sepetu. Tukio hilo la katazo lilitokea wakati wa maombolezo ya kifo cha mzee Sepetu kilichotokea Oktoba 27, mwaka huu katika Hospitali ya TMJ kwa ugonjwa wa kisukari ambapo msiba ulikuwa nyumbani kwake, Sinza Mori jijini Dar es Salaam. LAWAMA ZOTE KWA RAY Kufuatia madai hayo, baadhi ya wasanii kutoka klabu ya Bongo Muvi (majina tunayo) wamekuwa wakitoa lawama zao kwa Ray huku wengine wakidai wamejitoa kwenye kundi hilo kwa sababu halina umoja na limejaa unafiki. Maneno hayo yalianza kusambaa baada ya Wema kumaliza kumzika baba yake Oktoba 31, mwaka huu mjini Zanzibar. Wema Sepetu (katikati) baada ya kuwasili Zanzibar. Ku

Papa Francis akimuombea, kumbusu na kumkumbatia mgonjwa aliyejaa majipu mwili mzima.

Image
Act of kindness: Pope Francis (left) comforts a man covered in boils in Saint Peter's Square at the end of his General Audience in Vatican City Touching moment: The pontiff kissed the worshiper, who suffers from a rare disease called neurofibromatosis, which is genetic and not contagious   Show stealer: Last month, the pontiff allowed a young boy to remain on stage with him as he delivered a speech to 150,000 worshipers, occasionally patting the boy's head Pontiff's penitence: Pope Francis washes the foot of a prisoner at Casal del Marmo youth prison in Rome March 28, 2013 Pope Francis concluded Wednesday's general audience in St Peter's Square in Rome by kissing a man covered in boils and joining him in prayer. Photos of the pontiff embracing the severely disfigured man have gone viral online, with commenters praising the pope's for his compassion and kindness. In Ital

DKT. SENGONDO MVUNGI APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU ZAIDI

Image
  Dkt. Mugisha Clement Mazoko wa Kitengo cha Mifupa Muhimbili (MOI) (kushoto), Katibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Assaa Rashid (mwenye tai) na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Bw. James Mbatia (wa pili kulia) pamoja na ndugu na jamaa wa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dkt. Sengondo Mvungi wakiangalia wakati Mjumbe huyo akipandishwa ndani ya ndege kusafirishwa kwenda Afrika Kusini kwa matibabu zaidi. Dkt. Mvungi alivamiwa na kujeruhiwa na watu nyumbani kwake Kibamba jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia Jumapili, Novemba 3, 2013.  Mke wa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dkt. Sengondo Mvungi, …(kulia) pamoja na marafiki wakiomba dua leo (Alhamisi, Novemba 7, 2013) katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere dakika chache kabla na Dkt. Mvungi hajasafishwa kwenda Afrika Kusini kwa matibabu zaidi. Kushoto ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Bw. James Mbatia. Dkt. Mvungi alivamiwa na kujeruhiwa na watu nyumbani kwake Kibamba jijini Dar es Salaam usi