Posts

Papa Francis akimuombea, kumbusu na kumkumbatia mgonjwa aliyejaa majipu mwili mzima.

Image
Act of kindness: Pope Francis (left) comforts a man covered in boils in Saint Peter's Square at the end of his General Audience in Vatican City Touching moment: The pontiff kissed the worshiper, who suffers from a rare disease called neurofibromatosis, which is genetic and not contagious   Show stealer: Last month, the pontiff allowed a young boy to remain on stage with him as he delivered a speech to 150,000 worshipers, occasionally patting the boy's head Pontiff's penitence: Pope Francis washes the foot of a prisoner at Casal del Marmo youth prison in Rome March 28, 2013 Pope Francis concluded Wednesday's general audience in St Peter's Square in Rome by kissing a man covered in boils and joining him in prayer. Photos of the pontiff embracing the severely disfigured man have gone viral online, with commenters praising the pope's for his compassion and kindness. In Ital...

DKT. SENGONDO MVUNGI APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU ZAIDI

Image
  Dkt. Mugisha Clement Mazoko wa Kitengo cha Mifupa Muhimbili (MOI) (kushoto), Katibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Assaa Rashid (mwenye tai) na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Bw. James Mbatia (wa pili kulia) pamoja na ndugu na jamaa wa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dkt. Sengondo Mvungi wakiangalia wakati Mjumbe huyo akipandishwa ndani ya ndege kusafirishwa kwenda Afrika Kusini kwa matibabu zaidi. Dkt. Mvungi alivamiwa na kujeruhiwa na watu nyumbani kwake Kibamba jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia Jumapili, Novemba 3, 2013.  Mke wa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dkt. Sengondo Mvungi, …(kulia) pamoja na marafiki wakiomba dua leo (Alhamisi, Novemba 7, 2013) katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere dakika chache kabla na Dkt. Mvungi hajasafishwa kwenda Afrika Kusini kwa matibabu zaidi. Kushoto ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Bw. James Mbatia. Dkt. Mvungi alivamiwa na kujeruhiwa na watu nyumbani kwake Kibamba jijini Dar es S...

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII YAENDESHA SEMINA KWA WANAHABARI YA KUJADILI MWENENDO WA MILIPUKO YA MAGONJWA NCHINI

Image
 Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani  (WHO) nchini  Dk. Joyce Saguti (kulia), akitoa  mada kwenye semina hiyo. Mkuu wa Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma wa Wizara hiyo, Saidi Makora (kulia), akifafanua jambo kwenye semina hiyo. Wana habari wakiwa kwenye semina hiyo Wapiga picha wakichukua picha katika semina hiyo Dk. Vida Mmbaga wa Kitengo cha Epideniolojia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii (kulia), akitoa mada katika semina hiyo Wanahabari wakisikiliza kwa makini mada  zilizokuwa zikitolewa. Mtalaamu wa Kitengo Epideniolojia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii (kulia), Rogath Kishimba akitoa mada katika semina hiyo Mkuu wa  Kitengo cha Kudhibiti mbu waenezao malaria,  Charles Dismas Mwalimu akitoa mada katika semina hiyo. Na Dotto Mwaibale VYOMBO vya habari vimetakiwa kutoa taarifa za milipuko y...

Imesemekana kuwa Chupi ya kike, Sidiria na kifulana cha kike vyadaiwa ndio chanzo cha kuivunja ndoa ya Bob Junior

Image
  Ndoa ya mwanamuziki wa bongo flava, Raheem Nanji 'Bob Junior' na kinara wa filamu ya laptop, Halima Ali 'Ritha' imebainika kwenda mrama kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni muigizaji wa filamu za kiswahili wa Kenya, Ashuu Daniel 'Ashley Toto' mwenye makazi yake nchini ujerumani.  Kwa mujibu wa habari ambazo mwandishi  wetu amezipata, Ashley ambaye pia ni promota anayefanya kazi na wanamuziki wa afrika mashariki kwa kuwandalia maonesho nchini ujerumani, amekuwa akitajwa sana na mke wa Bob Junior kuwa ameingilia kati ndoa yake kwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mumewe. Mgogoro huo ulikuwa ukisababisha migongano ya mara kwa mara kati ya wanandoa hao kiasi cha kujikuta wakigombana mara kwa mara karibu kila siku na hasa inapotokea Bob Junior kuwasiliana kwa simu na Ashley kwa mazungumzo ambayo  yalikuwa na ashirio la kubemelezana kimapenzi baina yao.   Aidha, hivi karibuni mgogoro wa wanandoa hao ulikolea zaidi baada ya Bob Junior ...

ANGALIA PICHA KUTOKA MSIBANI KWA BAHATI BUKUKU ALIYEFIWA NA BABA YAKE

Image
Mchungaji akiongoza ibada ya kuaga mwili wa marehemu mzee Lwagha Bukuku. Baadhi ya waombelezaji wakiwa msibani. Mwimbaji wa nyimbo za injili, Bahati Bukuku (wa kwanza kulia) akiwa na baadhi ya ndugu zake msibani. Waombolezaji wakiwa msibani eneo la Tabata, Migombani jijini Dar es Salaam wakati wa kuaga mwili wa marehemu mzee Bukuku kabla ya safari ya kuelekea Mbeya. Mwili wa marehemu baba yake mdogo Bahati Bukuku, Mzee Lwagha Bukuku leo umeagwa eneo la Tabata Migombani jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kuelekea mkoani Mbeya kwa mazishi. Marehemu alifariki dunia juzi Jumanne katika hospitali ya Kardinali iliyopo Ukonga, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Irene Ndauka)

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIHUTUBUA TAIFA KUPITIA BUNGE MJINI DODOMA

Image
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akilihutubia Bunge mjini Dodoma leo. Rais Jakaya Kikwete akiendelea kulihutubia Bunge..  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed Gharib Bilal,akiwasili katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo Rais Jakaya Kikwete amelihutubia Bunge mjini Dodoma na kueleza kuwa Serikali ya Tanzania haiko tayari kujitoa katika Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.   Rais Kikwete alibainisha kwamba kumekuwa na vikao visivyo rasmi vinavyofanywa na baadhi ya viongozi wakuu wa Kenya, Uganda na Rwanda ambavyo vimekuwa vikipitisha mambo yao bila kushirikisha nchi nyingine ndani ya Jumuiya ambazo ni Tanzania na Burundi.   “Wenzetu wameshafanya vikao vitatu na kupitisha maamuzi manane ya kushirikiana, kwetu sisi tunadhani hizi ni fujo za kutaka kuhata...

Agness Masogange apiga picha za ufukwe baada ya kutoka gerezani na kuzua gumzo

Image
SIKU chache baada ya kutoka lupango kwa msala wa madawa ya kulevya, ‘video queen grade one’ Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ametupia picha za utupu mtandaoni.   Agnes Gerald ‘Masogange’ katika pozi. Masogange na mwenzake, Melisa Edward walikamatwa nchini Afrika Kusini Julai 5, mwaka huu wakidhaniwa kuwa na madawa haramu ya kulevya na baadaye mahakama kuu ya nchini humo ikawaachia kwa dhamana ikidai unga waliokutwa nao si madawa ya kulevya bali ni mali ghafi zijulikanazo kama Methamphetamine.   Baada ya kuachiwa huru, Masogange anayesifika kwa kuwa na figa matata, alitupia picha hizo katika mtandao wa Instagram akiwa amevalia sidiria na nguo ya ndani pekee hali iliyowafanya wafuasi wa mtandao huo wamshangae huku wengi wakimlaumu kuwa alichokifanya hakifanani na maadili ya Mtanzania. “Sasa huu upuuzi gani unatuwekea humu, kwani kila kitu unachofanya ni lazima sisi tuone? Hivi kwa nini mastaa wa Bongo wanapenda kujirahisi kiasi hiki?” a...

Blundering hunter leaves deer wandering with an arrow through its head

Image
'Shocked': Susan Darrah said she took this photo of a deer impaled by an arrow in her New Jersey back yard This horrifying picture was taken of a deer that wandered into a New Jersey garden. This deer with an arrow shot cleanly through its head was spotted and photographed by resident Susan Darrah.She says she was shocked to see the deer at her home in Boonton with a dart wedged through its muzzle. 'Want to know what sucks? THIS!' She posted on her Facebook page, 'Tried to capture him to no avail... he can eat, run and there's no blood, less chance of infection. I just feel so bad for him.' The animal wasn't bleeding and didn't appear to be frightened, she claimed. Ms Darrah immediately contacted animal control and they turned up the same day but were unable to catch the animal. She said the deer was a regular visitor to her back garden. Read mo...

PITIA MEZA YA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 07.11.2013

Image
PI MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI MAGAZETI YA UDAKU LEO